#HABARI: Mvua ilioambatana na upepo mkali ilionyesha kuanzia saa tisa jioni ya jana imeezua zaidi ya nyumba thelathini na tano z…
#HABARI: Mvua ilioambatana na upepo mkali ilionyesha kuanzia saa tisa jioni ya jana imeezua zaidi ya nyumba thelathini na tano zikiwemo nyumba ibada hali iliopelekea waumini kushindwa kufanya ibada siku…
#HABARI: Kijana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na tisa (19) Mwagala Sehemu Malando mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Uyowa…
#HABARI: Kijana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na tisa (19) Mwagala Sehemu Malando mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Uyowa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora amefariki dunia kwa…
Kagera yaweka rekodi mpya Championship
TIMU ya Kagera Sugar imeweka rekodi mpya katika Ligi ya Championship msimu huu, baada ya kikosi hicho kinachonolewa na Juma Kaseja kushinda mechi tisa mfululizo, ikifuatiwa na Geita Gold na…
Cheche aachia ngazi Chama la Wana
KLABU ya Stand United 'Chama la Wana', imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Idd Nassor 'Cheche', ikiwa ni baada ya kuiongoza timu…
Kocha Gunners akomalia nyota tisa
KOCHA Mkuu wa Gunners ya jijini Dodoma, Juma Ikaba, amesema kwa sasa wanapambana kuwaingiza wachezaji wapya tisa katika mfumo pindi dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi 2026, baada ya…
Siku ya uchaguzi nchini Guinea katikati ya muktadha mgumu
Vyama vya siasa vimesitishwa, vyombo vya habari vimefungwa, maandamano yalipigwa marufuku mwaka wa 2022, na viongozi wa upinzani na wanaharakati wa mashirika ya kiraia kukamatwa au kutoweka, muktadha wa uchaguzi…
Ally Ally achimba mkwara Geita Gold
BEKI wa kati wa Geita Gold, Ally Ally, amesema ubora na upana wa kikosi hicho ndio sababu ya kufanya vizuri msimu huu, licha ya kukiri ushindani umekuwa mkubwa, kutokana na…
Furahisha alivyoushinda mfupa uliowashinda wengi
Desemba 26, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Ware House uliopo Masaki mmoja kati ya pambano kumi...
Guinea: Uchaguzi wa urais unaoashiria kurudi kwa utaratibu wa kikatiba
Wapiga kura milioni 6.7 wa Guinea wanapiga Jumapili hii, Desemba 28, kwa ajili ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Uchaguzi huu, ambao utaashiria kurudi kwa utaratibu wa kikatiba…
Rais wa Uturuki apongeza ‘juhudi za ujenzi mpya’ wakati wa utoaji wa nyumba za waathiriwa 455,000
Recep Tayyip Erdogan anasema juhudi za ujenzi mpya zimevuka malengo, na kuzitaja kuwa miongoni mwa ahueni kubwa zaidi katika historia ya nchi.
Ronaldo akaribia rekodi ya mabao
Riyadh, Saudi Arabia. Cristiano Ronaldo ameendelea kung’ara baada ya kufunga bao lake la 40...
Wakati methali ya Kiswahili inasema “haba na haba hujaza kibaba”, Mshauri Mwenezi wa Stadi za Maisha, Siegfried Mbuya, amewakumb…
Wakati methali ya Kiswahili inasema “haba na haba hujaza kibaba”, Mshauri Mwenezi wa Stadi za Maisha, Siegfried Mbuya, amewakumbusha vijana na jamii kwa ujumla kuwa mafanikio ni safari inayohitaji subira,…
I still insist, Christmas should be held once in 10 years
DAE ES SALAAM: THERE is no season I fear more than the festive season, especially Christmas. And let me make this very clear before theologians start sharpening their pens: I…
Baraza la Usalama na Arab League kukutana kujadili hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimepanga kufanya mikutano tofauti wiki hii kujadili matokeo ya hatua ya Israel ya kulitambua rasmi…
Myanmar yafanya uchaguzi, lakini…
Myanmar imefanya uchaguzi wake wa kwanza tangu jeshi lilipompindua madarakani aliyekuwa Rais...
Diwani ashauri malezi bora
ARUSHA: DIWANI wa Viti Maalum Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema, amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi wa amani,uvumilivu na mshikamano, akisisitiza kuwa misingi hiyo ni muhimu katika kuwalea…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemzuia kuendelea na safari dereva wa lori la mizigo, Uwimpue Bonheur (33), raia wa …
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemzuia kuendelea na safari dereva wa lori la mizigo, Uwimpue Bonheur (33), raia wa Kigali nchini Rwanda, baada ya kukamatwa akiendesha akiwa katika…
NMB yaibeba Mapinduzi Cup kwa miaka mitano, SMZ yapongeza
WAANDAAJI wa mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026, wameitangaza Benki ya NMB kuwa mdhamini mkuu kwa kipindi cha miaka mitano, huku Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikipongeza.
Somalia yaikosoa Israel kuitambua Somaliland kama taifa huru
Serikali ya Somalia imeikosoa vikali hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland, eneo...
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwananchi mmoja kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea wilayani Kilosa baada y…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwananchi mmoja kwa tuhuma za mauaji yaliyotokea wilayani Kilosa baada ya ugomvi unaodaiwa kuchochewa na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Abiria SGR wasota stesheni, TRC yaeleza sababu
Wakati abiria wa treni ya kisasa (SGR) wakilalamika kusota kwa muda stesheni bila safari...
Putin atishia kutumia nguvu endapo mazungumzo yatakwama
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Ukraine haina haraka ya kutafuta amani, na kwamba ikiwa haitaki kumaliza mzozo wao kwa njia ya amani, Moscow itatimiza malengo yake yote kwa kutumia…
Baraza la Usalama kujadili Israel kuitambua Somaliland
Baraza la Usalama linatarajiwa kukutana kwa kikao cha dharura kuhusiana na uamuzi tata wa Israel kulitambua jimbo la Somaliland kuwa taifa huru, uamuzi ambao umezusha ukosoaji mkubwa wa kikanda na…
Kudos TASAF for PSSN
DAR ES SALAAM: YESTERDAY it was reported that the third phase of the Productive Social Safety Net (PSSN III) under the Tanzania Social Action Fund (TASAF) will start early next…
Myanmar yapiga kura ya kwanza chini wa utawala wa kijeshi
Wapiga kura wamejitokeza katika awamu ya kwanza ya uchaguzi mkuu Myanmar, wa kwanza kufanyika baada ya miaka mitano chini ya usimamizi wa serikali ya kijeshi huku vita vya wenyewe kwa…
CAR yapiga kura baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
Jamhuri ya Afrika ya Kati yashiriki uchaguzi wa rais, huku rais aliye madarakani, Faustin-Archange Touadéra, akitarajiwa kushinda muhula mwingine katika nchi hiyo iliyoathiriwa na migogoro.
Wanawake na watoto ni kati watu zaidi ya 200 waliouawa katika mauaji mapya ya kikabila huko Darfur
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa watu zaidi ya 200, wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi ya kikabila yaliyofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)…
AFCON: Matumaini ya Uganda kusonga mbele yafifia
Matumaini ya Uganda kufuzu kwa hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika yamefifia baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania, katika mchezo uliochezwa Rabat.
Uingereza inasema Angola, Namibia zimekubali kupokea wahamiaji waliofurushwa
Mikataba hiyo inaashiria mabadiliko makubwa ya kwanza chini ya mageuzi yaliyotangazwa mwezi uliopita, ambayo yanalenga kufanya hadhi ya ukimbizi kuwa ya muda.
Prof Fr Msafiri classifies eight principles that people should enter the New Year 2026 with
DAR ES SALAAM: WITH just a few days if not hours left until the end of the year 2025, people around the world in their respective time zones are looking…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wajadili matukio ya kikanda hasa hali ya Yemen
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar wamezungumza kwa njia ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya kikanda hususan matukio ya karibuni huko Yemene. Wamesema kuwa ipo…
Putin: Russia itatumia nguvu za jeshi iwapo Ukraine itakwamisha mazungumzo ya amani
Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kutumia nguvu za kijeshi kufikia malengo ya operesheni yake maalumu ya kijeshi iwapo Ukraine itaendelea kuchelewesha mazungumzo ya amani.
Jamhuri ya Afrika ya Kati yaendesha uchaguzi mkuu,Touadéra anawania muhula wa tatu wa urais
Raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameelekea kwenye masanduku ya kura katika zoezi la uchaguzi mkuu huku Rais Archange Touadéra akiwania kiti cha…
AFCON 2025: Nigeria yapata ushindi huku Senegal ikiambulia sare
Nigeria imeshinda Tunisia kwa 3-2 na kujipatia nafasi katika raundi ya 16.
Kimbia ndoa ya wanaume aina hii
Wapo wanaume ambao dalili zao huonekana mapema lakini hupuuziwa kwa jina la mapenzi, matumaini...
Girls thrive with women teachers: A study in Francophone Africa
AFRICA: OVER the past few decades most advanced countries have witnessed two striking reversals of the gender gap. First, teaching has become a profession dominated by women. This is particularly…
Young Africans, sexual health and social media: Which messages work, which don’t
AFRICA: The increasing use of social media, particularly in African countries, offers several opportunities to promote messages about sexual health behaviours among young adults on the continent. It can complement…
Sababu Azam vs URA kuahirishwa Mapinduzi Cup 2026
WAKATI leo Desemba 28, 2025 michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inafunguliwa kwenye Uwanja wa New Aman Complex uliopo Unguja, itapigwa mechi moja pekee badala ya mbili kama ilivyopangwa awali,…
Simulizi ya majeruhi ajali basi la Super Champion
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma baada ya kupata majeraha kwenye...
How Africa can respond to the seismic changes in the world: Lessons from history
AFRICA: Fundamental changes are taking place in the world: what are the implications for Africa A generation ago, newly appointed Organisation of African Unity (OAU) SecretaryGeneral Dr Salim Ahmed Salim…
Mzozo wa Sudan: Wanawake, watoto kati ya zaidi ya 200 wauawa katika mauaji mapya ya kikabila Darfur
Madaktari wa Sudan wanasema kuwa walionusurika waliripoti mauaji ya watu wengi Kaskazini na Magharibi mwa Darfur kufuatia mashambulizi ya Wanajeshi wa Rapid Support Forces.
#HABARI: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewatia moyo wachezaji wa Taifa Stars kuendelea kup…
#HABARI: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewatia moyo wachezaji wa Taifa Stars kuendelea kupambana katika Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) inayoendelea jijini Rabat, Morocco,…
Macho yote Mapinduzi Cup
Ile michuano maarufu zaidi ya Kombe la Mapinduzi inaanza leo Visiwani Zanzibar huku mwaka huu...
It’s hard to describe what it feels like to become a mum, but it has a name: Matrescence
“Completely life-changing”. “Nothing could have fully prepared me”. These are the sorts of phrases you often hear from women when they become a mother. These descriptions can point to the…
Katika kuadhimisha Siku ya Kumpigia Simu Rafiki, Mwanasosholojia Rehema Awadh amesisitiza umuhimu wa mawasiliano ya moja kwa moj…
Katika kuadhimisha Siku ya Kumpigia Simu Rafiki, Mwanasosholojia Rehema Awadh amesisitiza umuhimu wa mawasiliano ya moja kwa moja kama njia ya kujenga na kuimarisha mahusiano. Anasema kuwa, licha ya urahisi…
Dogg brings out Huntrix, Wilson for Netflix NFL Christmas halftime show
HOLLYWOOD: SNOOP Dogg took over for the NFL’s second-ever Christmas Halftime show on Thursday evening, enlisting a star-studded set of cameos from the likes of Lainey Wilson, the singers behind…
Jamii ya Waturuki yafungua msikiti mpya nchini Uganda
Msikiti huo utahudumia jamii inayouzunguka, pamoja na wanafunzi wa Shule ya Upili ya SENA, ambayo inatazamiwa kuanza kutoa mafunzo kwa wanafunzi Februari mwaka ujao.