Shule ya watoto wenye Usonji ya Mali inawaleta wanafunzi na wazazi kwenye elimu
Katika mkakati wa kuhakikisha wazazi wanaolea watoto wenye Usonji au Autism wanalea watoto wao bila kubaguliwa shuleni ,kwenye jamii au kukosa nafasi bora za elimu,shule maalum ya Mali jijini Nairobi…
Why family still matters in women’s empowerment
DODOMA: ACROSS Tanzania, more women are starting businesses, accessing loans, joining economic empowerment groups and taking on leadership roles in their communities. This progress is transforming lives, boosting household incomes…
“Tulikuwa Tumelala na Mabibi Zetu”: Video ya Jamaa Akisimulia Kuhusu Ajali ya Mabanga Yasisimua Watu
Video ya jamaa akisimulia kuhusu ajali ya Mabanga imepepea mitandaoni na kuibua ucheshi. Alisema wakati wa kisa walikuwa wamelala na wake zao waliposikia kishindo.
Besigye amshtaki mwanawe Museveni, Muhoozi, kwa kutishia kumnyonga siku ya Mashujaa
Dkt. Kizza Besigye amemshtaki Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwa vitisho vya kifo na ukiukwaji wa haki za kikatiba, akisubiri hukumu ya kesi ya kijeshi.
Alkhamisi, Juni 11, 2026
Leo ni Alkhamisi 25 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 11 Juni 2026.
Jumatano, tarehe 10 Juni, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 24 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 10 Juni 2026.
Why OTR’s ISO Certification strengthens future public investment management
DAR ES SALAAM: AS public institutions face growing demands for accountability, efficiency and measurable results, quality management has become more than a compliance requirement-it is now a strategic necessity. Around…
Jumanne, Juni 9, 2026
Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria sawa na Juni 9 mwaka 2026.
Jumatatu, 08 Juni, 2026
Leo ni Jumatatu 22 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria sawa na 8 Juni 2026.
Utekelezaji wa Dira 2050 kupimwa kwa KPIs
“Kufuatia kukamilika kwa nyenzo hizo za utekelezaji wa Dira 2050, kazi iliyo mbele yetu sasa ni...
Mzee Onyango afariki dunia, chanzo chatajwa
Kwa mujibu wa familia, msiba upo Kawe Triple Seven jijini Dar es Salaam ambako ndugu, jamaa na...
Foreign trips open doors, entrepreneurs must enter
DAR ES SALAAM: TANZANIA is standing at a promising crossroads. Across continents, President Samia Suluhu Hassan is meeting investors, promoting national strengths and presenting Tanzania as a reliable destination for…
Bungoma: Shahidi aeleza aste aste jinsi watu 5 walivyoangamia katika ajali ya trela na matatu
Familia tano zinaomboleza baada ya ajali iliyotokea Webuye kusababisha vifo. Mgongano ulikuwa kati ya matatau ya Eldoret na trela. Kunadaiwa kuwepo tukio la wizi.
Mwakinyo afunguka sababu za kupoteza pambano la IBO
Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, amesema udhaifu wa mwili na kushindwa kucheza katika kiwango chake cha kawaida ndiyo sababu kubwa iliyochangia kupoteza pambano lake la kuwania mkanda wa IBO…
Tikiti maji lina nguvu sawa na Viagra – Utafiti
Tikiti maji lina kemikali inayoitwa citrulline, ambayo ina sifa zinazofanana na Viagra. Sifa gani hizo?
Wasira: Russia’s visit is part of non-aligned policy
SAME: CCM Vice-Chairperson for Mainland Tanzania, Stephen Wasira, has said President Samia Suluhu Hassan’s recent visit to Russia reaffirms Tanzania’s long-standing commitment to a non-aligned foreign policy rooted in national…
Mahakama yaruhusu familia ya Rachel Wandeto kumzika, yaangusha chini ombi la mumewe
Kifo cha kusikitisha cha Rachel Wandeto kimezua utata kuhusu mipango ya mazishi, huku migogoro ya kifamilia ikiibuka. Wakenya wazungumziia tukio hili la kuhuzunisha.
Samia to grace top taxpayers at TRA 30th anniversary
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to honour outstanding taxpayers during the climax of the Tanzania Revenue Authority (TRA)’s 30th anniversary celebrations on July 1 this year, in recognition…
Wanasayansi wanaonya ongezeko la joto duniani linatarajiwa kufikia 1.5°C ifikapo mwaka wa 2030
Katika utafiti uliochapishwa mnamo Juni 11, muungano wa watafiti unabainisha kwamba lengo kuu zaidi la Mkataba wa Tabianchi wa Paris huenda likavukwa ndani ya miaka minne ijayo. Imechapishwa: 11/06/2026 –…
MPs push for stronger statutory funds guard
DODOMA: THE government will today provide clarification on the management and utilisation of various statutory funds established to finance the development, maintenance and expansion of key public sector projects. Minister…
Ebola huko Ituri: ‘Wagonjwa wanakufa kwa kukosa usafiri’
Dk. Mark Godeschalk – au “Dk. Mark” – ni daktari mmisionari kutoka Uholanzi. Amekuwa DRC tangu mwaka 2018 na anafanya kazi kwa jumuiya ya Emmanuel CE39, kanisa la Kiprotestanti katika…
Mwanasesere Natasha afufua mjadala wa dhulma mitandaoni, ni ubaguzi au burudani?
Fang Zengquan, ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha uelewa wa mtandaoni kwa watoto China, ameonya kuwa kuendelea kuhusisha taswira ya watoto wachanga na vitendo vya ukatili au uharibifu kunaweza kupunguza…
Sanaa za maonesho na ubunifu fursa kwa wahitimu vyuoni
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la vijana...
Makamu wa Rais wa Marekani akiri ‘kutofautiana’ na Benjamin Netanyahu
Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amekiri “kutofautiana” na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye “amefanya makosa” katika vita vya Mashariki ya Kati, kulingana na dondoo zilizochapishwa siku…
Michuano ya soka kuwania kombe la dunia inaanza leo
Michuano ya soka kuwania kombe la dunia, inaanza leo nchini Marekani, Mexico na Canada. Imechapishwa: 11/06/2026 – 06:40Imehaririwa: 11/06/2026 – 06:47 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Fox News: Iran imeomba Marekani kusitisha mashambulizi katika ardhi yake
Iran imeiomba Washington kusitisha mashambulizi katika eneo lake, mwandishi wa habari wa Fox News amebainisha, akimnukuuRais wa Marekani Donald Trump. Imechapishwa: 11/06/2026 – 06:28 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Itumbi ‘atumbuiza’ kwa kudai Kalonzo amemchagua Sifuna kuwa mgombea mwenza 2027
Denis Itumbi amedai Kalonzo Musyoka amemchagua Edwin Sifuna kuwa mgombea mwenza 2027 na atakuwa akiwania urais kupitia muungano wa Ukombozi Linda Mwananchi.
Jeshi la Marekani linasema limefanya mfululizo mwingine wa mashambulizi dhidi ya Iran
Jeshi la Marekani limetangaza kufanya mfululizo mwingine wa mashambulizi dhidi ya Iran katika taarifa iliyotolewa kwenye mtandao wa kjamii wa X. Imechapishwa: 11/06/2026 – 06:15Imehaririwa: 11/06/2026 – 06:18 Dakika 1…
Kuwait yafunga anga yake kutokana na mashambulizi ya Iran
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kuwait imetangaza “kufungwa kwa muda kwa anga ya nchi ” hiyo kufuatia mashambulizi ya Iran, kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya anga ya Marekani.…
Madkatari wa Sylimed nchini DRC wameanza mgomo
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Muungano Huru wa Madaktari (Sylimed), chama cha tatu kwa ukubwa cha madaktari nchini humo, umeitisha mgomo usio na kikomo katika sekta ya umma, kuanzia…
Tehran yalenga kambi za Marekani katika nchi za Ghuba baada ya majeshi ya Marekani kuanzisha mashambulizi mapya
Kwa mujibu wa ripoti za hivi karibuni, Marekani ilifanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya maeneo kadhaa nchini Iran, ikisema kuwa yalikuwa jibu kwa kile ilichokiita "uchokozi unaoendelea" wa Iran.
Magazeti ya Kenya: Jinsi fujo mashuleni, madai ya kutoelewana na Waziri Ogamba yalivyomtongea Bitok
Magazeti ya Kenya yanaangazia mabadiliko ya kisiasa kabla ya uchaguzi wa 2027, utata wa bajeti na msisimko wa Kombe la Dunia la FIFA kama mada muhimu mnamo Juni 11.
Tehran yaapa kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz
Jeshi la Iran limetangaza usiku wa Jumatano Juni 10, kuamkia Alhamisi, Juni 11, kwamba sasa litalenga meli yoyote inayopita Mlango-Bahari wa Hormuz. Kwa upande wake, jeshi la wanamaji la nchi…
Watu 12 wameuawa kwa kupigwa risasi Johannesburg
Polisi nchini Afrika Kusini wanawatafuta watu waliowapiga risasi na kuwauwa watu 12 jijini Johannesburg siku ya Jumanne. Imechapishwa: 11/06/2026 – 05:59Imehaririwa: 11/06/2026 – 06:05 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Tanzania emerges as global economic magnet through strategic diplomacy
DAR ES SALAAM: TANZANIA is increasingly positioning itself at the centre of global economic engagement, as major world powers, international financial institutions and regional blocs intensify partnerships with the East…
Refarii Msomali Omar Artan alakiwa kishujaa kwao baada ya Marekani kumzuia kuchezesha Kombe la Dunia
Mwamuzi Msomalia Omar Artan, ambaye alikataliwa kuingia Marekani kushiriki Kombe la Dunia la FIFA la 2026, amewasili kwao na kukaribishwa kishujaa.
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran yaamuru kufungwa Mlango Bahari wa Hormuz kwa meli zote baada ya mashambulizi mapya ya Marekani
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran imeamuru kufungwa Mlango-Bahari wa Kistratejia wa Hormuz muda mfupi baada ya kuanza hujuma mpya ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, licha ya Jamhuri…
IRGC yaangusha droni ya kivita ya Marekani aina ya MQ 9 karibu na Hormuz
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema kuwa liliangusha droni ya kivita ya Marekani aina ya MQ 9 karibu na Mlango Bahari wa Hormuz, wakati mvutano wa kijeshi…
Marekani yashambulia kigaidi kituo cha maji ya kunywa Hormuzgan, Iran
Marekani yashambulia kigaidi kituo cha maji ya kunywa Hormozgan, Iran
Iran yaongoza miongoni mwa nchi bora duniani katika Mikroelektroniki
Iran imejitokeza kama taifa linaloongoza kwa uzalishaji wa kisayansi katika nyanja ya mikroelektroniki miongoni mwa nchi za Kiislamu, huku ikishika nafasi ya kwanza katika matawi mengi muhimu ya sekta hiyo…
Rais Samia: Russia inashiriki katika juhudi za maendeleo Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Russia ina nia ya kusaidia Afrika kujenga mpangilio mpya wa uchumi wa dunia na inaendelea kujitolea kuunga…
Ni lini nchi ya Afrika itashinda Kombe la Dunia
"Kama kuna kitu nataka kukiona kabla Mungu hajanipeleka peponi au motoni, ni kuona taifa la Afrika likishinda , kwa sababu haya ni mashindano ambayo sote tunayapenda sana barani Afrika."
Mwinyi courts Singapore investors
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Ali Mwinyi has invited Singaporean investors to explore opportunities in the blue economy, energy, tourism and technology sectors, describing stronger economic cooperation as the next…
2026/27 BUDGET: What makes it unique
DODOMA: TANZANIA today joins six other East African Community (EAC) member states in unveiling its 2026/27 national budget, a key fiscal blueprint expected to chart the country’s economic and development…