Kuchelewa matibabu kunavyochangia bodaboda kukatwa viungo
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), wametaja sababu za wagonjwa wengi hasa...
‘Kutoka migodini hadi kupewa tuzo Kimataifa’
KATIKA sekta ya madini Tanzania, ambako mara nyingi wanawake wamekuwa upande wa pili wa historia. Leminatha Cornel Kabigumila amefungua mlango wa matumaini na mabadiliko. Kutoka mwanzo wake mdogo, akiwa na…
MOI mguu sawa Afcon 2027
TAASISI ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imesema iko tayari kwa ajili kutoa huduma kwa wanamichezo watakaopatwa na madhira kwenye mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
Fursa mpya kwa wasomi CUoM ikijenga kituo cha michezo kuuza vipaji Mbeya
ILI kukuza na kuendeleza vipaji na kufungua fursa za uchumi na ajira kwa wasomi, Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kimesema kinatarajia kufungua kituo maalumu cha michezo ‘Academy’ mahsusi kwa wahitimu…
Uwanja wa Mkapa kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027
SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya…
Uwanja wa Mpaka kufungwa kupisha maandalizi AFCON 2027
SERIKALI imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia mwezi huu ili kupisha awamu ya mwisho ya ukarabati mkubwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa ya…
Kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz na Iran kutaiathiri vipi dunia
Takribani moja ya tano ya uzalishaji wa mafuta ghafi duniani hupitia njia hii nyembamba ya bahari, ambayo haina upana wa zaidi ya kilomita arobaini katika sehemu yake nyembamba zaidi.
Pipi, chokoleti na korosho zenye dawa za kulevya zakamatwa Zanzibar
Bidhaa hizo ziliuzwa katika maduka ya Popeyes UK Treatz na Shop N'GO katika mikoa ya Kusini...
Hatimaye Koffi Olomide Amuoa Cindy Baada ya Kumchuambia kwa Miaka 20
Mwanamuziki mashuhuri wa Congo Koffi Olomide alifunga ndoa na mpenziwe Cindy Le Coeur baada ya miaka 20 pamoja. Mashabiki walisherehekea harusi yao maridadi.
Mwenyekiti mpya CUF aanza ziara, atangaza mkakati wa miezi sita
Uchaguzi huo ulifanyika kutokana na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa, baada ya kutengua...
Vita ya nne bora kuendelea Ligi Kuu
Baada ya hekaheka za Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani...
Tanzania, Ghana zakubaliana haya
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania imeeleza viongozi hao wamejadili umuhimu wa kuongeza...
Mjane wa Jamaa Aliyefariki Pamoja na Mbunge Ng’eno Amwandikia Mambo ya Kugusa Moyo
Chepkoech Lidya ameandika salamu za heshima kwa mumewe, Sportpesa Ronoh, aliyefariki kwenye ajali ya helikopta Nandi, akiapa kulea watoto wao peke yao.
Iran: Idadi ya wanafunzi waliouawa katika shambulio yafikia 169
Mashambulio ya kijeshi nchini Iran, yaliyotekelezwa na jeshi la Marekani na Israel, yamesababisha vifo vya wanafunzi 165 baada ya kushambuliwa kwa shule yao, Kusini mwa Iran. Imechapishwa: 02/03/2026 – 11:07Imehaririwa:…
Dk. Mwigulu akagua jengo la mama na mtoto Haydom
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Machi 2, 2026, amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa…
Mashambulizi ya Israel na Marekani nchini Iran yameua zaidi ya watu 550 kwa siku mbili
Mashambulizi ya Israeli na Marekani yamewaua watu wasiopungua 555 nchini Iran tangu yalipoanza Jumamosi, Februari 28, Shirika la Hilali Nyekundu la Iran limetangaza leo Jumatatu, Machi 2. Mgogoro huo sasa…
Manufacturers encouraged to adopt national branding
DAR ES SALAAM: LOCAL manufacturers have been urged to adopt the national brand ‘Made in Tanzania’ as a strategic tool to increase product value, protect domestic markets and enhance competitiveness…
Maneno ya Mwisho ya Mbunge Johana Ng’eno Kabla ya Kuabiri Ndege Iliyoanguka na Kuwaka Moto
Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng’eno alifariki katika ajali ya helikopta. Video ya inaonyesha hotuba yake ya mwisho kuhusu uchaguzi wa 2027, amani na utendakazi
TIRA drives digital revolution in UHI
DAR ES SALAAM: DIGITAL transformation has become a cornerstone in supervising the implementation of Universal Health Insurance (UHI) in Tanzania, with the Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) playing a pivotal…
Faragha kipaumbele Galaxy S26 Ultra ikiingia sokoni
Dar es Salaam: Samsung Electronics imezindua rasmi Galaxy S26 series nchini Tikiongozwa na Galaxy S26 Ultra. Bidhaa hii inaleta ubunifu wa kipekee katika sekta ya simu za mkononi kupitia teknolojia…
Usajili Yanga wampa wasiwasi Tarimba
Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Yanga, Abbas Tarimba amesema hajafurahishwa na usajili wa...
Lupita Nyong’o alia na uvimbe kwenye kizazi
Mshindi wa tuzo ya Oscar, Mkenya Lupita Nyong’o amesema bado ana pambana dhidi ya ugonjwa wa...
Russia, Tanzania strengthen bilateral cooperation through defence and education
DAR ES SALAAM: RUSSIA and Tanzania continue to strengthen their longstanding diplomatic relationship, expanding cooperation in defence, education, trade and political engagement. The partnership, which dates back to December 11,…
Wildlife, culture, growth, Northern Tanzania’s winning formula
NGORONGORO: NORTHERN Tanzania unfolds like a living travel diary where every mile northward from Dar es Salaam tells a different story. The long-distance bus journey from the humid coastline into…
Furaha, maumivu safari ya Zuchu kwenye muziki
Sauti yake iliposikika kwa mara ya kwanza, wengi waliiona kama ya kawaida lakini haikuchukua...
Kinachomsubiri Rais Samia akifungua mwaka wa Mahakama ya haki Afrika
Uamuzi wa Tanzania, kama nchi mwenyeji wa Mahakama, kuondoa tamko hilo uliibua mjadala mkubwa...
Vifo vya wagonjwa kifafa vyapungua
KATIKA wiki ya Kampeni ya Kifafa iliyofanyika Februari 5 hadi 9 mwaka huu, Chama cha Wataalamu wa Kifafa Tanzania (TEA) kilitangaza kuwa hatari ya wagonjwa wa kifafa kupoteza maisha imepungua…
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Chuka Amuua Mpenziwe kwa Kujiunga na Dhehebu la Kishetani
Claire, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Chuka, anadaiwa kumuua mpenziwe Kelvin kabla ya yake kupatikana amefariki. Aliacha barua zinazoeleza mkasa huo na kilichotokea.
WWF Tanzania unveils 150bn/- strategy to combat environmental degradation
DAR ES SALAAM: WORLD Wide Fund (WWF) Tanzania has officially launched its five-year Country Strategic Plan (CSP-III), backed by a substantial financial commitment of 150bn/- to tackle Tanzania’s urgent environmental…
Honouring humble life of servant of all
DAR ES SALAAM: THE nation stood in solemn silence this past Saturday at the Pugu Pilgrimage Centre as Cardinal Polycarp Pengo, the Archbishop Emeritus of Dar es Salaam and one…
Mbuni ang’ara shindano la ndege wa mwaka
SHIRIKA lisilo la kiserikali (NGO) la Nature Tanzania linalojihusisha na uhifadhi wa viumbe hai nchini limemtangaza mbuni kuwa Ndege wa Mwaka 2026 Tanzania baada ya kupata kura 303 zilizopigwa mwaka…
Maxime ahofia kitu kwa kikosi chake akiisubiri Fountain Gate
WAKATI Mbeya City ikitamba kuendeleza ubabe Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonyesha hofu ya kukaa muda mrefu bila kucheza akidai inaweza kuwaathiri kesho watakapoikabili Fountain…
How your phone is redrawing the map of your home
DAR ES SALAAM: NOT too long ago, the boundaries of our homes were clear. You left them in the morning to go to school, to the shamba, or to the…
Kufunga kwampa mzuka Adeyum Saleh
BEKI wa kushoto wa Bigman, Adeyum Saleh, amesema siri ya kufunga mabao zaidi kwa sasa katika kikosi hicho ni kutokana na umakini mkubwa aliokuwa nao wa kumalizia nafasi, hususani anapokuwa…
Barberian FC yanyatia rekodi mbovu Championship
TIMU ya Barberian, inanyemelea rekodi mbovu msimu huu katika Ligi ya Championship, baada ya kikosi hicho ambazo zamani kilikuwa kinafahamika kwa jina la Kiluvya United, kushinda mechi moja tu hadi…
Picha za Mandhari ya Jumba la Kifahari la Marehemu Mbunge Johanna Ngeno Aliyeangamizwa na Chopper
Jumba la Marehemu Mbunge Johanna Ngeno lenye majengo ya kifahari ya ndani, nyasi zilizopambwa vizuri, na maeneo tulivu, ambayo aliacha baada ya ajali ya ndege
Richardson Ng’ondya atangaza vita mpya Geita Gold
KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha…
Masoud arithi mikoba ya Mingange Songea United
ALIYEKUWA Kocha wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud, amejiunga na Songea United ya Songea, mkoani Ruvuma, baada ya kuondoka kwa makubaliano ya pande mbili, Meja Mstaafu, Abdul Mingange,…
Ndugu wawili wafungua kesi dhidi ya marehemu Michael Jackson
Licha ya kwamba mwenyewe alishafariki dunia tangu Juni 25, 2009, lakini Michael Jackson ‘Wacko...
KCMC introduces rezum technology for prostate treatment
KILIMANJARO: THE Moshi-based KCMC Zonal Referral Hospital (KCMC ZRH) has achieved a significant medical milestone after introducing Rezum technology for the treatment of prostate enlargement, marking the first time the…
TFC kuleta mbolea tani 20,000 wiki hii
KAMPUNI ya Mbolea Tanzania (TFC) imesema tani 20,000 za mbolea ya kukuzia aina ya Urea zinatarajiwa kuingia nchini wiki hii kutoka Uturuki kwa ajili ya kusambazwa kwa wakulima katika msimu…
Barnabas aanika mipango Transit Camp
KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya…
Barnabas aanika mipango Transit
KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya…
Angola kupata mkopo kutoka China kwa ajili ya kufadhili kiwanda cha kusafisha mafuta Lobito
Angola inageukia tena China kufadhili kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Lobito. Mradi huu wa kimkakati wa nishati ambao pia ni wa kijiografia na kisiasa, kwani bandari hii ya Atlantiki…
Common ostrich crowned Tanzania’s bird of the year 2026
ARUSHA: NATURE Tanzania, a nongovernmental organisation (NGO) dedicated to wildlife conservation, has officially declared the Common Ostrich as Tanzania’s Bird of the Year 2026 after securing the highest number of…
Watanzania waongezeka makumbusho Ngorongoro
IDADI ya Watanzania wanaotembelea Makumbusho ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai yaliyopo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuongezeka. Makumbusho hayo yalizinduliwa Oktoba 16 mwaka jana na Makamu wa Rais mstaafu, Dk…
Siku 22 za mshikemshike Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) haitaki kuchelewesha mambo. Imetoa ratiba mpya ya kuziba...
Shaffih Dauda aiponda Yanga: Wamehagaika sana Okello anahitaji muda, Simba ilistahili kushinda …!
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Innovative finance pilot to unlock investment
ARUSHA: TANZANIA has taken a major step towards financing forest and landscape restoration in the country with the launch of the Capitalisation of Financial Instruments (CFI) Pilot Project. CFI is…