Nigeria: Wanajeshi wa Marekani kusaidia katika vita dhidi ya wanajihadi
Nchini Nigeria, wanajeshi 100 wa Marekani wapo nchini humo katika ushirikiano wa operesheni za kiusalama kupambana na makundi ya kijihadi na kigaidi katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Imechapishwa: 17/02/2026…
Hillary Clinton aishutumu serikali ya Trump kwa kuficha ukweli juu ya faili za Epstein
Mamilioni ya faili mpya zinazohusiana na Epstein ziliwekwa hadharani na idara ya sheria ya Marekani mapema mwezi huu
Karibia watu 30 wameuawa katika shambulio la droni kwenye soko
Watu karibu thelathini wameuawa katikati ya nchi ya Sudan, baada ya ndege isiyokuwa na rubani kushambulia soko, katika eneo ambalo wanajeshi na wanamgambo wa RSF wameendelea kupambana. Imechapishwa: 17/02/2026 –…
Kamishena wa EU kuhusu misaada ya kibinadamu anazuru DRC
Kamishena wa Ulaya anayehusika na Misaada ya Kibinadamu amewasili jijini Kinshasa ikiwa ni hatua ya kwanza katika ziara itakayompeleka katika nchi kadhaa katika eneo la Maziwa Makuu. Imechapishwa: 17/02/2026 –…
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Alexis Mac Allister kuhamia Manchester United?
Man Utd inamtaka Alexis Mac Allister wa Liverpool, Man City haina nia ya kumuuza James Trafford, Nicolas Jackson kurejea Chelsea kutoka Bayern Munich.
🔴#MAGAZETI:MWUZAJI MATUNDA, AELEZA ALIVYOJIUNGA NA LISSU KUKINUKISHA
🔴#MAGAZETI:MWUZAJI MATUNDA, AELEZA ALIVYOJIUNGA NA LISSU KUKINUKISHA
#BSSNextLevelRevolution | Mastori ya BSS Arusha, huyu Chalii alikuja siku ya kwanza akaondoka hata kabla zamu yake haijafika, si…
#BSSNextLevelRevolution | Mastori ya BSS Arusha, huyu Chalii alikuja siku ya kwanza akaondoka hata kabla zamu yake haijafika, siku ya pili akaomba kupewa namba mpya, akatoa na sababu zake 😅…
Viongozi na Watendaji wanaoendelea kukaa ofisini huku miradi wanayosimamia ikiwa imesimama muda mrefu
Viongozi na Watendaji wanaoendelea kukaa ofisini huku miradi wanayosimamia ikiwa imesimama muda mrefu. Je, wanastahili kulipwa mishahara
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 17, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 17, 2026
Kikosi cha Majini cha IRGC chafanya luteka Ghuba ya Uajemi, Hormuz
Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, Iran inadumisha ufuatiliaji kamili wa kijasusi wa saa 24 katika…
Je, pazia inayofunika eneo takatifu la Kaaba ilitumwa kwa Jeffrey Epstein?
Kutolewa kwa nyaraka zinazoonyesha kwamba vipande kadhaa vya pazia la Kaaba, eneo takatifu zaidi la Uislamu, vilitumwa kwa Jeffrey Epstein, mfadhili mashuhuri na mhalifu wa ngono, kumezusha wimbi la hasira…
Iran: Tumeingia katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kwa nia njema
Ismail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran imeingia katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kwa mtazamo wenye mwelekeo wa matokeo,…
Idadi ya waliofariki dunia kutokana na kimbunga nchini Madagascar imefikia 59
Idara yaMaafa ya Majanga ya Kimaumbile ya Madagascar imetangaza kuwa hadi sasa watu 59 wamefariki dunia kutokana na kimbunga cha Gezani kilichoathiri maeneo ya pwani ya mashariki mwa nchi hiyo…
Watu 3 wameuawa na 7 kujeruhiwa katika shambulio la droni la RSF hospitalini katika jimbo la Sennar, Sudan
Mashambulizi wa ndege zisizo na rubani (droni) ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)yameuwa watu watatu na kuwajeruhi wengine saba katika Hospitali ya Al-Mazmoum katika jimbo la Sennar…
Waziri Mkuu wa Ethiopia: Hatuna nia ya kujitanua ili kuifikia bahari
Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alisema kuwa nchi yake "haina nia ya kujitanua" na haina lengo la kuwatishia majirani zake. Amesema vipaumbele muhimu vya kitaifa ni kufikia njia ya baharini…
Mijibizo dhidi ya njama za Israel za kuendeleza uporaji na ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Ukingo wa Magharibi
Makundi ya Wapalestina na nchi kadhaa za eneo zimetoa mjibizo kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuvamia na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo…
Jumanne, 17 Februari, 2026
Leo ni Jumanne 28 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 17 Februari 2026.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 17, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Maskini Bala Hatun
Maskini Bala Hatun (Feed generated with FetchRSS)
#SPECIALINTERVIEW: Usikose Kipindi cha Mahojiano Maalum na Kaimu Balozi wa Marekani, nchini Tanzania Bw.Andrew Lentz, akizungumz…
#SPECIALINTERVIEW: Usikose Kipindi cha Mahojiano Maalum na Kaimu Balozi wa Marekani, nchini Tanzania Bw.Andrew Lentz, akizungumzia mahusiano kati ya Marekani na Tanzania, katika nyanja za Diplomasia, Uchumi na Biashara. Usikose…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 16, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 16, 2026
Kumekucha Somaya tena kwa Sara, #AzamTWO
Kumekucha Somaya tena kwa Sara, #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Baadhi ya Wananchi na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwawezesha fedha k…
#HABARI: Baadhi ya Wananchi na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwawezesha fedha kwa wakati, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) ili waweze…
Watu wana mipango bwana… #ZoraSeries
Watu wana mipango bwana... #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
Katika kuboresha Maeneo ya kuswalia kwa waumini wa kiisalamu katika Manispaa ya Musoma Mkoani Mara Mbunge wa Viti Maalum Mkoani …
Katika kuboresha Maeneo ya kuswalia kwa waumini wa kiisalamu katika Manispaa ya Musoma Mkoani Mara Mbunge wa Viti Maalum Mkoani humo Agness Mathew amekabidhi Busati za kufanyia ibaada katika misikiti…
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amepokea rasmi ombi la Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe la kutak…
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amepokea rasmi ombi la Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe la kutaka Nzega ipandishwe hadhi na kuwa mkoa na kuahidi kulifikisha…
Chande ataka ubunifu kutangaza vivutio malikale
DODOMA: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amehimiza Idara ya Maliakale kuongeza ubunifu katika kutangaza vivutio vya maliakale na makumbusho ya kihistoria ili kuvutia watalii wengi wa…
WAZIRI MKUU ANUSA WIZI MWINGINE MUHEZA, AAGIZA KAMATI YA UJENZI WAKAMATWE
WAZIRI MKUU ANUSA WIZI MWINGINE MUHEZA, AAGIZA KAMATI YA UJENZI WAKAMATWE Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa…
#HABARI: Mamlaka ya kuangazia utendaji kazi wa polisi, imeanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio ambalo mtu mmoja alipigwa risasi …
#HABARI: Mamlaka ya kuangazia utendaji kazi wa polisi, imeanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio ambalo mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa wakati polisi walipovamia mkutano wa Seneta wa Kaunti ya Nairobi…
#HABARI: Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe
#HABARI: Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Festo Dugange, amezitaka ofisi za pande zote mbili za Muungano kulipa kipaumbele suala la Uchumi wa Buluu…
Katibu Mwenezi wa CCM Kenan Kihongosi amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mhe Dr Samia Suluh…
Katibu Mwenezi wa CCM Kenan Kihongosi amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mhe Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimefanya…
Hivi ndivyo funga inavyolinda afya
Waislamu na Wakristo duniani wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na...
#HABARI:Madiwani katika Jimbo la Busanda Mkoani Geita wameunganisha nguvu kufanya ukarabati wa dharura wa barabara zinazounganis…
#HABARI:Madiwani katika Jimbo la Busanda Mkoani Geita wameunganisha nguvu kufanya ukarabati wa dharura wa barabara zinazounganisha kata zao ili kunusuru hali ya usafiri na usafirishaji wa mazao kutoka mashambani wakati…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali azindua kliniki ya sheria bure Dar
Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani kujitokeza...
MOI kufanya upasuaji wa saratani ya ubongo
KWA Mara ya kwanza Taasisi ya Tiba ya Ubongo na Mifupa Muhimbili(MOI) inatarajia kufanya upasuaji wa kisasa wa kutoa uvimbe kwa saratani katika ubongo kwa kutumia rangi maalum kwa watu…
Huyu mgonjwa ana gubu 🙌 #ZoraSeries
Huyu mgonjwa ana gubu 🙌 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Serikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 70 kupitia tozo na ada mbalimbali kutokana na utekelezaji wa m…
#HABARI: Serikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 70 kupitia tozo na ada mbalimbali kutokana na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Naibu Waziri…
#HABARI: Takribani nyumba 10 za wakazi wa Mtaa wa Miwale, Kata ya Pangani mkoani Pwani, zimebomolewa na watu wanaodaiwa kuwa ni …
#HABARI: Takribani nyumba 10 za wakazi wa Mtaa wa Miwale, Kata ya Pangani mkoani Pwani, zimebomolewa na watu wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa eneo hilo, jambo lililowaacha wananchi hao bila…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 16, 2026 – MVUA ZASABABISHA MAAFA MBEYA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 16, 2026 - MVUA ZASABABISHA MAAFA MBEYA
Kihongosi atoa maagizo ujenzi chuo cha Veta Nzega
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuharakisha utoaji...
Wasichana 13,000 warejea shuleni
ZAIDI ya Wasichana 13,000 wenye umri kati ya miaka 13 na 21 waliokatisha masomo ya sekondari kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ujauzito, wamejisajili na kurudi shuleni kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amekutana na Prof. David Prologo kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Emory kwa ajili ya kuanza kambi maalumu…
#HABARI: Nyumba kadhaa katika Mitaa mbalimbali jijini Mbeya zimebomoka, kuezuliwa mapaa, na zingine zimejaa maji na tope, huku …
#HABARI: Nyumba kadhaa katika Mitaa mbalimbali jijini Mbeya zimebomoka, kuezuliwa mapaa, na zingine zimejaa maji na tope, huku vitu mbalimbali zikiwepo samani za ndani na vyakula, zikiharibika baada ya mvua…
#HABARI:Mbunge wa Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu Ado amefunga ndoa na Bi
#HABARI:Mbunge wa Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu Ado amefunga ndoa na Bi. Rachel Kimambo aliyekuwa Katibu wa Fedha na Uchumi wa Chama…
Wanafunzi urubani wapatiwe mikopo
KAMATI ya Bunge ya Miundo Mbinu imeishauri Serikali kuwaingiza kwenye mfumo wa mikopo wanafunzi wa urubani katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ili kupunguza changamoto ya ada kubwa na…