Skip to content
  • Tue. Jul 7th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’ Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki -Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa Paris, Ufaransa Ajali ya basi yaua sita Tabora, 11 wajeruhiwa
HABARILEO

‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’

July 7, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki

July 7, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa

July 7, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Paris, Ufaransa

July 7, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ajali ya basi yaua sita Tabora, 11 wajeruhiwa

July 7, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’
HABARILEO
‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’
Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki
TUKO SWAHILI NEWS
Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki
-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa
ASTV TANZANIA
-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa
Paris, Ufaransa
ASTV TANZANIA
Paris, Ufaransa
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’
HABARILEO
‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’
Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki
TUKO SWAHILI NEWS
Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki
-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa
ASTV TANZANIA
-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa
Paris, Ufaransa
ASTV TANZANIA
Paris, Ufaransa
IDHAA YA DUNIA TRT SWAHILI

Benin yaifunga Botswana kwa ushindi wa kwanza kabisa katika AFCON

December 28, 2025 mjombazecoder

Hatimaye Benin inasherehekea ushindi katika shindano la bara katika jaribio la 16 kufuatia mechi yao ya kwanza mwaka wa 2004.

HABARI ZA KIPEKEE

Iran: Tumejiandaa kutoa jibu chungu zaidi kwa wavamizi

December 28, 2025 mjombazecoder

Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameonya kwamba, kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kitakabiliwa na jibu la haraka na la kuumiza zaidi, akisisitiza utayarifu wa Vikosi vya…

HABARI ZA KIPEKEE

Dunia yaendelea kulaani hatua ya Israel ya ‘kuigawa vipande’ Somalia

December 28, 2025 mjombazecoder

Nchi za dunia na taasisi mbali mbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutambua eneo la Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru…

HABARI ZA KIPEKEE

Russia yasisitiza haja ya kuundwa taifa huru la Palestina

December 28, 2025 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kwamba, Moscow ingali inaunga mkono suuala la kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina.

HABARI ZA KIPEKEE

WHO: Unywaji wa pombe unaua watu 800,000 kila mwaka Ulaya

December 28, 2025 mjombazecoder

Unywaji wa pombe unasababisha vifo vya watu zaidi ya 800,000 kila mwaka barani Ulaya, na kusababisha kifo kimoja kati ya kila vifo kumi na moja, kwa mujibu wa ripoti ya…

Uncategorized

Hii familia ya Yavut ina mambo mazito sana

December 28, 2025 mjombazecoder

Hii familia ya Yavut ina mambo mazito sana. Dah hawana utu hata kidogo. Jemo, Yusuf na Jevdet wajivika ujasiri kumuokoa Aziza. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku…

HABARILEO

Mambo ya Msuva Afcon hayo!

December 28, 2025 mjombazecoder

MOROCCO; Simon Msuva mfungaji wa bao la Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo dhidi ya Uganda (The Cranes) uliofanyika Desemba 27, 2025 fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akishangilia…

MWANANCHI

Mageuzi Jeshi la Polisi yaja, yamulike haya

December 28, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa..

MWANANCHI

Ujirani wa Tanzania, Uganda ulivyohamia AFCON, Msuva aandika rekodi

December 28, 2025 mjombazecoder

Tanzania na Uganda wamebakisha mchezo mmoja kwa kila timu ambao ndio utaamua hatima yao kwenye...

Uncategorized

🔴#KUMEKUCHA: 28 DESEMBA 2025- AFU ZA KIUSTAWI ZA KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI

December 28, 2025 mjombazecoder

🔴#KUMEKUCHA: 28 DESEMBA 2025- AFU ZA KIUSTAWI ZA KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria

December 28, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika…

MWANANCHI

Sababu Hospitali ya Temeke kufanyiwa uchunguzi

December 28, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Sababau Hospitali ya Temeke kufanyiwa uchunguzi

December 28, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

Uncategorized

🔴 #ITVMAGAZETINI: CHANZO CHA MVI MAPEMA HIKI HAPA- 28 DISEMBA 2025

December 28, 2025 mjombazecoder

🔴 #ITVMAGAZETINI: CHANZO CHA MVI MAPEMA HIKI HAPA- 28 DISEMBA 2025

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia

December 28, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya…

Uncategorized

Mbolea ya ruzuku inayotolewa na Serikali

December 28, 2025 mjombazecoder

Mbolea ya ruzuku inayotolewa na Serikali. Je, inawafikia wakulima kwa wakati kuendana na msimu wa kilimo ?

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DISEMBA 28, 2025

December 28, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 28, 2025

MWANANCHI

Mungu akikupa baraka kuishi mwaka 2026 utamfanyia nini?

December 28, 2025 mjombazecoder

Wako watu wengi ambao walitamani kuishi mwaka tunaomaliza 2025 lakini hawakupata hiyo nafasi...

HABARI ZA KIPEKEE

Somalia yaitaka Israel ifute uamuzi wake wa kuitambua Somaliland

December 28, 2025 mjombazecoder

Somalia imeitaka Israel kubatilisha hatua yake ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili. Somalia imelaani hatua hiyo na kuitaja kuwa…

HABARI ZA KIPEKEE

Guinea Conakry kufanya uchaguzi wa urais wa kihistoria leo Jumapili; Mamadi Doumbouya anashiriki

December 28, 2025 mjombazecoder

Guinea Conakry leo Jumapili inatarajiwa kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa urais tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021. Zoezi hili linayoashiria hatua muhimu katika kipindi cha uongozi wa…

HABARI ZA KIPEKEE

Trump adai: Zelensky hana mpango wowote kwa ajili ya amani ya Ukraine

December 28, 2025 mjombazecoder

Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine hana mpango wowote hadi yeye Trump aidhinishe.

HABARI ZA KIPEKEE

China yaweka vikwazo kwa makampuni ya Marekani kwa sababu ya mauzo ya silaha kwa Taiwan

December 28, 2025 mjombazecoder

China imeyawekea vikwazo makampuni 20 ya ulinzi ya Marekani na watendaji wake 10 wakuu kutokana na shehena kubwa zaidi ya mauzo ya silaha za Marekani kwa Taiwan.

HABARI ZA KIPEKEE

Jumapili, 28 Disemba, 2025

December 28, 2025 mjombazecoder

Leo ni Jumapili mwezi 7 Rajab 1447 Hijria mwafaka na 28 Disemba 2025 Miladia.

HABARI ZA KIPEKEE

Kwa nini utawala wa Kizayuni unaogopa uhuru wa vyombo vya habari?

December 28, 2025 mjombazecoder

Bunge la utawala ghasibu wa Israel (Knesset) limelipa idhini baraza la mawaziri la utawala huo kufunga kanali za televisheni za kigeni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kwa muda wa miaka…

HABARILEO

Matukio mbalimbali mechi ya Taifa Stars Afcon

December 27, 2025 mjombazecoder

MOROCCO;MOROCCO; PICHA za matukio mbalimbali mchezo wa Kundi C fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kati ya Uganda (The Cranes) dhidi ya Tanzania (Taifa Stars) uliochezwa usiku wa…

Uncategorized

Aaaah Binti Msumi mwamba bwana kapindisha 🙌😅

December 27, 2025 mjombazecoder

Aaaah Binti Msumi mwamba bwana kapindisha 🙌😅

Uncategorized

Tony amemchukua mtoto wake…Ila Nadia 😅

December 27, 2025 mjombazecoder

Tony amemchukua mtoto wake...Ila Nadia 😅

Uncategorized

Likizo ya kazi kwa waajiriwa ni nafasi nzuri ya kupumzika na kujipanga upya kwa aijli ya kurejea na nguvu, ari, hamasa na mtazam…

December 27, 2025 mjombazecoder

Likizo ya kazi kwa waajiriwa ni nafasi nzuri ya kupumzika na kujipanga upya kwa aijli ya kurejea na nguvu, ari, hamasa na mtazamo bora zaidi wa kufanya kazi huku wengi…

Uncategorized

Wakazi wa manispaa ya Mtwara Mikindani wamesema ubovu wa miundombinu ya barabara unawaathiri katika shughuli zao za kila siku hu…

December 27, 2025 mjombazecoder

Wakazi wa manispaa ya Mtwara Mikindani wamesema ubovu wa miundombinu ya barabara unawaathiri katika shughuli zao za kila siku huku wakiziomba mamlaka ziwatatulie tatizo hilo. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi

Uncategorized

Kikao kizito kabisa 🙌😅

December 27, 2025 mjombazecoder

Kikao kizito kabisa 🙌😅

Uncategorized

Bei za baadhi ya bidhaa za vyakula katika soko la Mawenzi, mkoani Morogoro zimepanda kwa zaidi ya asilimia 50 hali iliyochangiwa…

December 27, 2025 mjombazecoder

Bei za baadhi ya bidhaa za vyakula katika soko la Mawenzi, mkoani Morogoro zimepanda kwa zaidi ya asilimia 50 hali iliyochangiwa na sababu mbalimbali kama inavyoeleza taarifa ya Theresia Mwanga.…

HABARILEO

Ngajilo Bonanza 2025 yazinduliwa mjini Iringa

December 27, 2025 mjombazecoder

IRINGA: Bonanza kubwa la michezo lililoandaliwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, lijulikanalo kama Ngajilo Bonanza 2025, limezinduliwa rasmi leo katika Uwanja wa Samora, Manispaa ya Iringa, huku likitarajiwa…

Uncategorized

Kuna kitu Chioma hakijui? 😅

December 27, 2025 mjombazecoder

Kuna kitu Chioma hakijui? 😅

Uncategorized

🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 27, 2025 – NAMTUMBO YAPOKEA SHEHENA YA MBOLEA ZA RUZUKU

December 27, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 27, 2025 - NAMTUMBO YAPOKEA SHEHENA YA MBOLEA ZA RUZUKU

DW SWAHILI IDHAA YA DUNIA

Rais wa Ivory Coast atafuta wingi wa viti bungeni

December 27, 2025 mjombazecoder

Ivory Coast imefanya uchaguzi wa wabunge, miezi miwili baada ya Alassane Ouattara mwenye umri wa miaka 83 kushinda uchaguzi wa urais na kuongeza muda wa utawala wake hadi miaka 14.

DW SWAHILI IDHAA YA DUNIA

Italia yakamata watu tisa kwa tuhuma za kuifadhili Hamas

December 27, 2025 mjombazecoder

Mamlaka za Italia zimewakamata watu tisa wanaohusishwa na mashirika matatu ya misaada kwa tuhuma za kukusanya mamilioni ya euro ili kulifadhili kundi la wanamgambo wa Kipalestina, Hamas.

DW SWAHILI IDHAA YA DUNIA

UN yatarajia makubaliano ya kudumu Thailand-Cambodia

December 27, 2025 mjombazecoder

Mkuu wa Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amesema anatumai kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Thailand na Cambodia hatimaye yataleta amani na kuimarisha…

DW SWAHILI IDHAA YA DUNIA

AFCON: Benin yaponyoka na ushindi dhidi ya Botswana

December 27, 2025 mjombazecoder

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea kurindima nchini Morocco, huku kila timu ikiendelea kujipambanua kutafuta tiketi ya raundi ya mtoano.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

China: Kampuni zingine za Marekani zawekewa vikwazo kwa kuhusika na mauzo ya silaha kwa Taiwan

December 27, 2025 mjombazecoder

China imetangaza vikwazo siku ya Ijumaa, Desemba 26, dhidi ya kampuni 20 ya Marekani katika sekta ya ulinzi, ikiwa ni pamoja na kituo cha Boeing. Beijing inalipiza kisasi dhidi ya…

MWANANCHI

Adaiwa kujinyonga hadi kufa kisa kushindwa kulipa mahari

December 27, 2025 mjombazecoder

Taarifa zinaeleza kuwa Oiso, aliyekuwa fundi wa kuchomelea alikuwa akiishi na mkewe Anderika...

MWANANCHI

Watoto wa Diogo Jota warejea Anfield

December 27, 2025 mjombazecoder

Watoto wawili wa staa wa zamani wa Liverpool Diago Jota leo wamerejea kwenye Uwanja wa Anfield...

MWANASPOTI

Jinsi Mashabiki wa Mpira Tanzania Wanavyogundua Jackpot za Casino

December 27, 2025 mjombazecoder

Ukweli unaonekana wazi katika ulimwengu wa michezo Tanzania: mashabiki wa mpira wanaendelea kugundua jackpot za casino. Ni maendeleo ya kawaida mashabiki wanaobeti mechi za Simba SC dhidi ya Young Africans…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Abuja na Washington watafautiana kuhusu shambulio la jeshi la Marekani nchini Nigeria

December 27, 2025 mjombazecoder

Makundi ya jihadi yaliyolengwa na mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Nigeria siku ya Alhamisi hayakujulikana siku ya Jumamosi, huku Washington na Abuja zikitoa maelezo tofauti kidogo kuhusu matukio hayo.…

MWANANCHI

Abdulla aiagiza Wizara ya Afya kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa

December 27, 2025 mjombazecoder

Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ameiagiza Wizara ya Afya...

Uncategorized

🔴HAPA NA PALE KUTOKA – DISEMBA 27, 2025

December 27, 2025 mjombazecoder

🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE - DISEMBA 27, 2025

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Chad: Jeshi lataja shambulio la kijeshi la Sudan kama ‘uchokozi usio na msingi’

December 27, 2025 mjombazecoder

Chad imelaani shambulio la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa mpakani kati ya nchi hizo mbili, ambalo limesababisha vifo vya wanajeshi wawili wa Chad. Imechapishwa: 27/12/2025 –…

Uncategorized

#HABARI: Mwili wa Afisa Usafirishaji kupitia pikipiki, Hamisi Ramadhan (18) mkazi wa Kata ya Isevya Wilaya ya Tabora umekutwa um…

December 27, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mwili wa Afisa Usafirishaji kupitia pikipiki, Hamisi Ramadhan (18) mkazi wa Kata ya Isevya Wilaya ya Tabora umekutwa umetelekezwa kwenye mtaro wa maji katika mtaa na Kata ya Malolo…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Sudan: Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wazuru El-Fasher miezi miwili baada ya RSF kuteka mji

December 27, 2025 mjombazecoder

Kitengo cha Sudan cha Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kimetangaza siku ya Ijumaa, Desemba 26, 2025, kwamba kilizuru mji wa El-Fasher, ambao ulitekwa Oktoba…

MWANASPOTI

Pazia la Mapinduzi Cup 2026 lafunguliwa na mambo mawili

December 27, 2025 mjombazecoder

KWA namna waandaaji wa Kombe la Mapinduzi 2026 walivyopanga ratiba ya ufunguzi ni wazi waliangalia mambo mawili.

MWANASPOTI

Mtibwa SUGAR yataka straika wa kimataifa

December 27, 2025 mjombazecoder

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema hautakurupuka kufanya usajili katika dirisha dogo, lakini moja ya nafasi zitakazofanyiwa kazi ni eneo la ushambuliaji ukilenga kushusha straika mmoja wa kimataifa anayejua kufunga mabao…

Posts pagination

1 … 635 636 637 … 1,042

Recent Posts

  • ‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’
  • Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki
  • -Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa
  • Paris, Ufaransa
  • Ajali ya basi yaua sita Tabora, 11 wajeruhiwa

Recent Comments

  1. Phillippaica on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARILEO

‘Tutafute mbinu mpya kueneza Kiswahili’

July 7, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Yaya wa Jackie Matubia Afunguka, Adai Alishuhudia Blessing Akifukuzwa na Mfuko wa Plastiki

July 7, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa

July 7, 2026 mjombazecoder
ASTV TANZANIA

Paris, Ufaransa

July 7, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS