Tanzania-Egypt Investment Forum moves to bolster investment opportunities in tourism, trade
CAIRO: THE Tanzanian government has participated in the opening of the Tourism, Trade and Investment Forum between Tanzania and Egypt taking place in Cairo, bringing together government leaders, tourism institutions,…
Somali soccer referee denied US entry, will miss World Cup debut
The United States has denied entry to soccer referee Omar Abdulkadir Artan, who had been expected to be the first Somali to officiate at a match in the World Cup.…
Free education, universal health insurance reflect socialist ideals, says Wasira
MOSHI: RULING party CCM National Vice-Chairman, Stephen Wasira has said socialism remains the foundation of Tanzania’s development policies and programmes, dismissing claims that the ideology has become obsolete. Speaking to…
Kwa nini Iran iliamua kuishambulia Israel?
Kwa mujibu wa taarifa za maafisa wa kijeshi nchini Iran, shambulio hilo lilikuwa la " kulipiza kisasi mashambulizi ya Israel dhidi ya vitongoji vya Beirut."
Mume jela miaka 12 kwa kumuua mkewe bila kukusudia
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Evaristo Longopa Juni 5, 2026, na nakala yake kuwekwa kwenye...
Polisi Pwani yafafanua uvumi wa miili sita kuonekana Mto Ruvu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambazwa kwenye...
Kaya maskini 20,000 Tanga zaanza kunufaika na bima ya afya kwa wote
Zaidi ya wanufaika 20,000 kutoka kaya 7,816 wameshapatiwa kadi za bima, na wanufaika hao...
Wizara yawanoa waandishi Lindi huduma mtandao kwa wananchi
Zaidi ya waandishi wa habari 30 wa Mkoa wa Lindi wamepata mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa...
ICC yamsimamisha Kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu kwa tuhuma za utovu wa nidhamu wa kingono
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemsimamisha kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan, kwa madai ya utovu wa nidhamu wa kingono na msaidizi wake.
Juma Kakere afichua siri kudumu kwenye muziki
'Pole kwa Safari' ndio ngoma iliyomtambulisha nguli huyu wa muziki wa dansi, Juma Kakere. Tangu...
Mahakama yabariki Gachagua kufutwa kazi, kulipwa Sh1 bilioni
Mkakati huo unaweza kumsaidia kuimarisha uungwaji mkono kutoka kwa wafuasi wake, hasa katika...
Miaka 13 ya EnDev: Mapinduzi ya nishati safi yanavyobadili maisha ya mamilioni ya Watanzania
Kwa kipindi cha zaidi ya muongo mmoja sasa, mapinduzi ya kimyakimya lakini yenye nguvu kubwa...
Kombe la Dunia 2026: Viwanja vitakavyotumika kwenye mashindano
Kombe la Dunia la FIFA 2026 litaandaliwa Marekani, Canada na Mexico katika viwanja 16 vya kiwango cha dunia ukiwemo uga wa MetLife. Mashindano yatakuwa na timu 48.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JUNI 09, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JUNI 09, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Ufumbuzi mpya wa kukabiliana na upara unamaanisha nini kwa wanawake?
Wanasayansi nchini Japan wanaamini kuwa wanakaribia kubadilisha hali ya upotezaji wa nywele kwa mamilioni ya watu.
#HABARI: Zaidi ya watu 20,000 wamelazimika kuhama makazi yao kufuatia tetemeko kubwa lililotokea kusini mwa Ufilipino, ambalo pi…
#HABARI: Zaidi ya watu 20,000 wamelazimika kuhama makazi yao kufuatia tetemeko kubwa lililotokea kusini mwa Ufilipino, ambalo pia limesababisha vifo vya watu 37. Mamlaka za usimamizi wa maafa nchini humo…
“Katika kuimarisha usalama wa chakula katika nchi zote mbili katika muelekeo huu nimeikaribisha Singapore kuwekeza nchini katika…
“Katika kuimarisha usalama wa chakula katika nchi zote mbili katika muelekeo huu nimeikaribisha Singapore kuwekeza nchini katika kilimo cha uzalishaji kupitia utaratibu wa kuzalisha nje ya nchi,” Rais Dkt. Samia…
Kenyan police crack down on protest against US Ebola quarantine facility
NANYUKI: Kenyan police fired tear gas on Tuesday and detained protesters demonstrating against a quarantine centre for Americans exposed to Ebola that the U.S. has raced to build despite Kenyan…
“…Nimemfahamisha kuhusu dira yetu ya taifa ya maendeleo 2050 ya kwamba katika dira hiyo muelekeo mkubwa au dira kubwa tumepele…
"...Nimemfahamisha kuhusu dira yetu ya taifa ya maendeleo 2050 ya kwamba katika dira hiyo muelekeo mkubwa au dira kubwa tumepeleka kwenye shughuli za vijana kwa sababu wao ndio watakaokuwa wanaongoza…
SMZ yakiri changamoto ya kurundikwa vifusi mbele ya nyumba za watu
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri wananchi kuathirika na vifusi vinavyowekwa mbele ya...
Fishermen still struggle despite progress in Tanzania’s fisheries sector
TANZANIA: THE fisheries sector remains one of the key pillars of Tanzania’s economy, contributing significantly to employment, food security, trade and foreign exchange earnings. Tanzania is endowed with vast water…
Msumbiji: Unyang’anyi wa maliasili unachochea ugaidi wa al-Shabaab
Kwa karibu miaka 10, Kundi la wapiganaji wa Kiislamu Al-Shabaab, limekuwa likitishia eneo hili la kaskazini mwa Msumbiji. Likiwa na utajiri wa maliasili, Cabo Delgado inasalia kuwa jimbo maskini zaidi…
GCLA stresses stronger control of hazardous chemicals
ARUSHA: THE government has reaffirmed the importance of effective management of industrial and household chemicals to safeguard public health and protect the environment from the misuse of hazardous substances. Speaking…
Refarii kutoka Afrika anyimwa idhini kuingia Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026
Omar Artan, refarii kutoka Somalia, aliyezuiwa kuingia Marekani, kulazimishwa kurudi Istanbul, atakosa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia la 2026.
Youths urged to champion fight against drug abuse
ARUSHA: COMMISSIONER General of the Drug Control and Enforcement Authority (DCEA), Mr Aretas Lyimo has called on young people to become ambassadors in the fight against drug abuse by educating…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, akikagua gwaride maalum aliloandaliwa na mwenyeji wake, Rais Dkt
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, akikagua gwaride maalum aliloandaliwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 09, 2026, Ikulu Dar es Salaam. Powered by…
Minister assures farmers of fertiliser availability in 2026/27 season
DAR ES SALAAM: THE government has assured farmers nationwide over the availability of fertiliser to meet their demand in the coming 2026/2027 farming season. “There shouldn’t be any fear or…
Gharama za maji Kigoma Ujiji zapanda
KIGOMA: MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma Ujiji (KUWASA) imefanya mabadiliko ya gharama ya bei za maji kwa wateja wake. Akitangaza mabadiliko hayo leo Juni 9, Ofisa Mipango…
Bibi wa Miaka 121 Aliyefariki Akisubiri Chakula Azikwa Kwa Sherehe Badala ya Maombolezo
Familia na marafiki walimuenzi Helena Zakayo Masura kwa mazishi ya furaha, wakisherehekea maisha yake ya imani, bidii na upendo kupitia ushuhuda wa kugusa moyo.
Dodoma to achieve universal water access by 2030, says CCM
DODOMA: THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has said it is committed to ensuring that all residents of Dodoma Region have access to clean and safe water by 2030, as…
Invest loans wisely, Uhuru Torch leader tells youths
DODOMA: THE National Uhuru Torch Race leader for 2026, Mr Wazo Mwang’onda has urged young people to make productive use of the 10 per cent loans provided by local government…
Shule binafsi zataka mazingira rafiki kuelekea 2028
WAKATI Tanzania ikiendelea kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, wadau wa elimu wameonya kuwa mafanikio ya sekta hiyo hayatapatikana kwa juhudi za serikali pekee, bali kwa ushirikiano wa dhati…
MPs press govt to scale up TARURA funding
DODOMA: MEMBERS of Parliament have called on the government to increase funding for the Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) in their constituencies, citing deteriorating road conditions, expanding economic…
Government recognises TAP as key tourism stakeholder
DODOMA: DEPUTY Minister for Natural Resources and Tourism, Mr Hamad Chande, has affirmed that the government recognises the Tanzania Association of Porters (TAP) and has been working closely with it…
Ndani ya Kenyatta Trust: Jinsi Bintiye Uhuru Anavyogeuza Elimu kuwa Silaha ya Ukombozi
Ngina Kenyatta anaongoza Kenyatta Trust, ikiwezesha vijana wasiojiweza nchini Kenya kupitia ufadhili wa masomo, ushauri nasaha, na msaada wa kiuchumi
Aunt Ezekiel bado ni ajenda kwa Mose Iyobo
Kama kuna jambo ambalo limekuwa likijirudia kila Mose Iyobo anapoketi kufanya mahojiano, basi...
Zanzibar targets 70,000 decent jobs for youths in 2026/27 budget
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has announced plans to facilitate the creation of 70,000 decent jobs for youths and economically empower 28,339 citizens through soft loans worth 47.3bn/- in the 2026/2027…
Kapinga: Jetour itachochea ajira, ukuaji uchumi
DAR ES SALAAM:Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ujio wa magari ya Jetour utafungua ukurasa mpya wa fursa za kiuchumi, hasa kuzalisha nafasi za ajira kwa vijana wa…
Maajabu aliyofanya Tupac ndani ya miaka saba
Kutoka kuwa mwanafunzi wa ushairi na sanaa mjini Baltimore, Tupac alianza kuonekana katika...
Authorities step up campaign against counterfeit seeds
DODOMA: THE government has intensified efforts to combat the sale of counterfeit seeds in the country through the use of digital verification systems, regular inspections and farmer education programmes, measures…
Kombe la Dunia la 2026: Mwamuzi kutoka Somalia afukuzwa alipotua Marekani
Omar Abdulkadir Artan alipangwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia, litakaloanza siku ya Alhamisi wiki hii. Alifukuzwa alipowasili nchini Marekani, afisa mmoja wa Somalia ameliambia shirika la habari la AFP…
Je, huu ndio mwisho wa Rigathi Gachagua katika siasa za Kenya
Majaji watatu wa mahakama kuu nchini Kenya Anthony Mrima, Eric Ogola na Freda Mugambi walichukuwa zaidi ya saa kumi Jumatatu ya Juni 8 kutoa uamuazi wao kuhusu hatima ya kisiasa…
Z’bar projects 8.05tri/- revenue in 2026/27 budget
ZANZIBAR: MINISTER for Finance and Planning, Dr Juma Akili, has unveiled an ambitious budget framework projecting government revenue of 8.05tri/- for the 2026/27 financial year, representing a 23 per cent…
Diamond Platnumz anampango wa kuoa mke wa pili?
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameingia katikati ya mjadala wa mitandaoni baada...
Marefa wa Dabi ya Kariakoo wapewa Kombe la Dunia
Marefa wawili waliochezesha mechi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 baina ya Yanga...
Mikakati ya d.light katika kuinua kipato cha Watanzania, kuunga mkono ajenda ya nishati safi
Miongo kadhaa nyuma, mwanga hafifu wa vibatari ndiyo ulikuwa chanzo pekee cha mwanga kwa...
Magazeti ya Kenya: Yanayofuata kwa Gachagua baada ya korti kutupa nje kesi ya kutimuliwa serikalini
Mahakama Kuu ilitoa uamuzi kuhusu kuondolewa kwa Rigathi Gachagua, na kuathiri mustakabali wake wa kisiasa na kuunda uchaguzi wa 2027 ambapo alitaka kuwania urais.
Kajala atoa kauli kuhusu tetesi za kuachana na Harmonize
Tetesi za kuwepo kwa mgogoro wa kimapenzi kati ya mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Kajala...
Arraigned TTU president, seven officials face 14 charges
DODOMA: PRESIDENT of the Tanzania Teachers’ Union (TTU) Suleiman Ikomba was yesterday arraigned before the Resident Magistrate’s Court in Dodoma, charged with 14 offences, including economic sabotage, leading a criminal…