China yaahidi msaada mpya wa kibinadamu kwa Ukraine: Hatua ya kimkakati
China inaahidi msaada mpya wa kibinadamu kwa Ukraine. Beijing inazungumzia haswa wakati diplomasia kuhusu vita ikiwa katika hali tete zaidi. China imetoa msaada wa dharura wa kibinadamu (chakula, dawa) kwa…
Kibu Denis na maisha ya kistaa Libya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kibu Denis amejiunga na Al Nasr ya Libya baada ya timu...
Rais Samia ajizatiti malengo Dira 2050
RAIS Samia Suluhu Hassan ameendeleza nafasi ya Tanzania katika jukwaa la Afrika na kimataifa kama sehemu ya kuimarisha diplomasia ya kiuchumi ili kufi kia malengo ya Dira ya Taifa ya…
Maafisa wa Polisi Wauawa Baada ya Gari Lao Kuanguka Huko Machakos
Watu wanne waliopoteza maisha wakiwemo polisi watatu, katika ajali iliyotokea katika Barabara ya Matuu-Mwingi. Maelezo ya tukio yanaonyesha kushindwa kwa mitambo.
President reflects on advancing health systems in Africa
ADDIS ABABA: AT the headquarters of the African Union in Addis Ababa, President Samia Suluhu Hassan, sat down for an exclusive interview following her endorsement as the African Union Champion…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu inaendelea leo Febru…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu inaendelea leo Februari 16, 2026 na hivi ndivyo alivyowasili katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya…
Ethiopia: Mamlaka ya shirikisho yalaani makubaliano kati ya makundi ya waasi ya Amhara na Tigray
Nchini Ethiopia, wakati mvutano huko Tigray ukiongezeka, serikali ya shirikisho inapoteza nguvu katika eneo la Amhara. Katika vita na serikali kwa miaka mitatu, waasi katika eneo la Amhara, pia wanajulikana…
Tanzania regional peace model-UN
ADDIS ABABA: UNITED Nations Deputy Secretary General, Amina Mohammed, has commended Tanzania for its long-standing record of peace and stability, describing the country as a model of tranquility in Africa.…
Wapiganaji wa Kiafrika kwa ajili ya Urusi: Mtandao wa uajiri unailenga hasa Cameroon
Cameroon ni mojawapo ya nchi kuu za asili ya wapiganaji wa Kiafrika wanaohudumu katika jeshi la Urusi nchini Ukraine, kulingana na matokeo ya uchunguzi uliofanywa na kundi la All Eyes…
Msanii Bahati Akutana na Mwanamke Aliyedai Ndiye Mama Aliyemzaa
Mwimbaji Bahati alikutana na Judith Makokha, aliyedai kuwa mamake. Muungano wao wa kihisia ulizua hisia mseto mtandaoni, wa mshtuko na mashaka juu ya madai yake.
CCWWT waiomba serikali, wadau kuwainua kiuchumi wajane
BAGAMOYO: Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT) kimeiomba Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kuwasaidia wajane kwa kuwapatia mitaji na vitendea kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao.…
Tebboune: Tunao ushahidi unaothibitisha ukatili wa jinai za kikoloni za Ufaransa
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, ametangaza kwamba nchi yake iko tayari kuwasilisha nyaraka, ushahidi na ushuhuda kwa vyombo vya kisheria vya Afrika ambavyo "vinathibitisha uhalifu mbaya" wa ukoloni wa Ufaransa…
Palestina yapongeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Afrika uliounga mkono uanachama wake UN
Palestina imekaribisha matokeo ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, ambao umesisitiza tena upinzani wa bara hilo dhidi ya mipango ya kuwafukuza Wapalestina katika nchi yao…
Watu 10 wauawa katika mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Burkina Faso
Vyanzo vya usalama vimesema kwamba mashambulizi ya waasi wenye silaha yamewaua watu wasiopungua 10 kaskazini na mashariki mwa Burkina Faso.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasili Geneva kwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amewasili katika miji wa Geneva nchini Uswisi kwa ajili ya duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu Februari 16, 2026 katika Mahaka…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo ipo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….FEBRUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 16, 2026
Msemaji wa serikali ya Afghanistan: Tutaiunga mkono Iran kama itakabiliwa na uadui
Msemaji wa serikali ya Afghanistan amesisitiza kwamba watu wa Afghanistan wataonyesha mshikamano na kutoa aina mbalimbali za misaada kwa Iran iwapo kutatokea uchokozi wowote dhidi ya nchi hiyo.
Winni =e Odinga Atuma Ujumb wa Kumchongoa Mjomba Wake Oburu
Mbunge wa EALA Winnie Odinga amechapisha mstari mmoja wa Biblia kuhusu utamaa huku malumbano ya uongozi wa chama cha ODM yakiongezeka na mjombake Oburu Oginga.
Ghana yataka UM kutambua biashara ya utumwa Afrika kama ‘uhalifu mbaya zaidi dhidi ya binadamu’
Ghana itawasilisha azimio kwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Machi ili kutaja biashara ya utumwa barani Afrika kama “uhalifu mbaya zaidi dhidi ya binadamu,” Rais wa Ghana John…
Matiangi Atimuliwa Upinzani kwa Madai ya Kuwa Mradi wa Ruto
Nyufa katika Muungano wa Upinzani ziliongezeka huku washirika wa Kalonzo Musyoka wakimshutumu Fred Matiang'i kwa kuhujumu uteuzi wa pamoja wa mgombea urais wa 2027.
Nchi za Afrika Mashariki zakemea uvuvi haramu wa meli Bahari ya Hindi
Nchi za Afrika Mashariki zimeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea kwa uvuvi haramu unaofanywa...
Mkutano wa Umoja wa Afrika watamatika: ‘Hakuna uvumilivu kwa mapinduzi kinyume cha Katiba’
Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika sasa umekamilika. Kwa siku mbili, wakuu wa nchi na serikali, wanachama wa Umoja wa Afrika, walijadili migogoro mikubwa inayoathiri bara hilo. Rais wa…
#HABARI: Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Seneta wa Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifun…
#HABARI: Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Seneta wa Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, katika eneo la Kitengela, huku Gavana huyo akiwa miongoni…
#HABARI: Polisi nchini Nigeria wamesema wamewakamata washukiwa wanne wa utekaji nyara wa watoto tisa katika Kanisa Katoliki la M…
#HABARI: Polisi nchini Nigeria wamesema wamewakamata washukiwa wanne wa utekaji nyara wa watoto tisa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu John, waliokuwa wakisali kanisani hapo, eneo la Serikali ya Mtaa ya…
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema kwamba Muungano wa Upinzani kwa pamoja utarejea katika ofisi ya In…
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema kwamba Muungano wa Upinzani kwa pamoja utarejea katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kubaini hatua zilizo chukuliwa kwa…
Mataifa ambayo muda wa kufunga Ramadhan utakuwa mrefu zaidi 2026
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
Reza Pahlavi atoa wito wa kuingilia kati kijeshi ‘haraka’ nchini Iran
Mtoto wa Shah aliyeondolewa madarakani, Reza Pahlavi, ametoa wito tena kwa Donald Trump kwa kuingilia kati kijeshi “haraka” nchini Iran na akarudia pendekezo lake la kuhakikisha “mpito” wa kisiasa nchini…
Kenya : Mpasuko waendelea kushuhudiwa katika chama cha ODM
Nchini Kenya, mpasuko wa kisiasa ndani ya chama cha siasa cha ODM umeendelea ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, pande mbili zinazovutana kuhusu kumuunga mkono rais William Ruto, ziliandaa mikutano ya…
Mazungumzo kati ya Iran na Marekani: Netanyahu yaweka masharti ya makubaliano
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa wito siku ya Jumapili kwa “kuvunjwa” kwa uwezo wa urutubishaji wa uranium wa Iran, wakati wa hotuba mbele ya Mkutano wa viongozi wa…
Nyuklia, mafuta, gesi, madini… Kile Iran inapendekeza ili kurahisisha makubaliano na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameondoka Tehran Jumapili, Februari 15, kwenda Geneva kwa ajili ya duru ya pili ya mazungumzo na Marekani, yanayosimamiwa na Oman, ili kuzuia mashambulizi…
Kambi ya kijeshi yashambuliwa na kuporwa nchini Mali
Nchini BurkinaFaso, mji wa Titao, ambao hapo awali uliokolewa kutokana na mashambulio ya kigaidi, ulivamiwa na kundi la washambuliaji siku ya Jumamosi, Februari 14, 2026. Walishambulia na kupora kambi ya…
Makubaliano ya Marekani na Iran lazima yajumuishe kuharibu miundombinu ya nyuklia – Netanyahu
Netanyahu alisema ana mashaka kuhusu makubaliano lakini lazima yajumuishe kuondolewa kwa nyenzo zilizorutubishwa nchini Iran.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan akiitka mamlaka hayo kuongeza wigo…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan akiitka mamlaka hayo kuongeza wigo wa utoaji huduma. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda akiwa…
Ifahamu sumu ya chura iliyotumika kumuua kiongozi wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny
Sumu, epibatidine, inaweza kupatikana kwa vyura porini Amerika Kusini au kutengenezwa katika maabara.
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA…..FEBRUARI 16, 2026
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA.....FEBRUARI 16, 2026
Je, China ina msimamo gani kuhusu hatua mpya za utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi?
China sambamba na kuashiria kuidhinishwa kanuni mpya na baraza la mawaziri la usalama la Israel ili kuimarisha udhibiti wa Ukingo wa Magharibi, imeonya kuhusu matokeo mabaya ya hatua hiyo.
Jenerali Mousavi: Mapambano dhidi ya Iran yatakuwa funzo kwa Trump
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Donald Trump anapaswa kufahamu kwamba kuingia katika mapambano ya kijeshi na Iran kutakuwa funzo lenye athari kubwa,…
Palestina yataka uingiliaji kati wa walimwengu kusitisha mashambulizi ya Israel
Mamlaka ya Ndani ya Palestina, imetoa radiamali kwa uamuzi wa baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kutaifisha ardhi za Ukingo wa Magharibi na kuitaka jamii ya…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Murillo kuondoka Nottingham Forest?
Murillo anawaniwa na vilabu vya soka vya London, mchezaji mwenzake wa Nottingham Forest Morgan Gibbs-White huenda akaelekea Manchester City, na Everton inafukuzia Harry Wilson Fulham
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara. Je, wanyang'anywe leseni kuwadhibiti?
Jumatatu, 16 Februari, 2026
Leo ni Jumatatu 27 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 16 Februari 2026.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
Iran yaingia kwenye klabu ya mataifa yenye bidhaa za juu za tiba ya seli
Taasisi ya Utafiti ya Royan Research ya Iran imezindua bidhaa sita mpya zilizotengenezwa ndani ya nchi katika nyanja ya tiba ya seli na uhandisi wa tishu, hatua inayoiweka Iran miongoni…
Umoja wa Afrika wapitisha “Azimio la Algiers” kuhusu uhalifu wa kikoloni barani Afrika
Kikao cha 39 cha kawaida cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kilichofanyika Jumapili jijini Addis Ababa kimepitisha “Azimio la Algiers” kuhusu uhalifu wa kikoloni barani…
Wapalestina 10 wauawa katika mashambulizi ya Israel Gaza licha ya usitishaji vita
Vikosi vya Israel vimewaua angalau Wapalestina 10 katika mashambulizi mapya yaliyofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji mwingine wa makubaliano ya usitishaji vita yaliyoratibiwa na Marekani na…