Arsenal, PSG zampigania Gibbs-White
Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/2026 imejirudia tena lakini safari hii ni katika vita ya...
Tanzania targets worldclass healthcare standards
DAR ES SALAAM: THE government has said its immediate priority is to ensure health services provided across the country are of high quality and responsive to citizens’ needs, following notable…
Russia trip opens new doors
DAR ES SALAAM: TANZANIA is set to strengthen bilateral trade and investment with Russia, following President Samia Suluhu Hassan’s recent State Visit to Moscow, as part of government efforts to…
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhe
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhe. Reuben Kwagilwa, amemuelekeza Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kushirikiana na…
Pakistan: Makabiliano kati ya waandamanaji na polisi yasababisha vifo vya watu saba Kashmir
Raia watatu na maafisa wanne wa polisi wameuawa katika makabiliano kati ya waandamanaji wa vuguvugu lililopigwa marufuku na polisi huko Kashmir inayosimamiwa na Pakistan, makabiliano ambayo pia yamesababisha watu kadhaa…
Neymar aipa imani Brazil akirejea mazoezini
Kocha Mkuu wa Brazil, Carlo Ancelotti, bado ana matumaini kuwa nyota wa timu hiyo, Neymar...
Paris, London, na Berlin zaunga mkono pendekezo la ‘mazungumzo ya kati ya Urusi na Ukraine
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza wameelezea kuunga mkono kwao siku ya Jumapili pendekezo la Volodymyr Zelensky la “mazungumzo ya moja kwa moja” kati ya Ukraine na Urusi, “pamoja na…
Magazetini: Uamuzi wa Mahakama Kuu Kufuatia Kesi ya Gachagua Watarajia Kubadilisha Karata ya Siasa
Mnamo Jumatatu Juni 8, magazeti ya kitaifa yaliangazia kwa upana kuhusu uamuzi unaotarajiwa kutolewa kuhusu kesi ya kubanduliwa kwa Rigathi Gachagua.
Uchunguzi mpya waangazia jukumu linalokua la Afrika Magharibi katika biashara ya kokeini duniani
Mapema Mei, meli ya mizigo iliyokuwa ikiondoka Sierra Leone ilikamatwa ikiwa na zaidi ya tani 30 za kokeini ndani yake. Usafirishaji huu wa kuvutia unaonyesha umuhimu unaoongezeka wa Afrika Magharibi…
Aguerd awapasua kichwa Morocco
Kocha mkuu wa Morocco, Mohamed Ouahbi, amesema bado haijulikani kama beki wa kati chaguo la...
Shauri la Tume ya Jaji Lila kusikilizwa leo
Rais Samia aliunda Tume hiyo kufuatia ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu...
Nigeria: Mamia ya watu waliotekwa nyara na Boko Haram wameachiliwa huru
Jeshi la Nigeria limetangaza Jumapili, Juni 7, kuachiliwa kwa mateka mia kadhaa waliokuwa wakishikiliwa na Boko Haram katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria, tangu mwanzoni mwa mwezi Machi.…
Sahara Magharibi: Staffan de Mistura azuru kambi za wakimbizi wa Sahrawi
Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Sahara Magharibi, mwanadiplomasia wa Italia mwenye asili ya Sweden Staffan de Mistura, alianza ziara ya siku mbili siku ya Jumapili katika…
Kuanzia kuuawa kwa Khamenei hadi tishio la Trump ”kuingamiza Iran”: Matukio 10 muhimu ya siku 100 za kwanza za vita
Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga uongozi wa juu wa Iran kuanzia mwanzo na kuenea haraka hadi kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz na nchi za Kiarabu katika eneo la Ghuba, na…
Afrika: Biashara yenye faida kubwa kuhusu maombi ya visa
Jina lake linasikika kote Afrika. VFS Global ni kampuni ya India inayojulikana sana barani Afrika: balozi nyingi duniani kote huikabidhi kazi ya kushughulikia maombi yao ya visa. Kwa ufupi, ikiwa…
Mshtuko, Eriksen akidondoka tena uwanjani na kuzimia
Mechi ya kimataifa ya kirafiki baina ya Denmark na Ukraine, leo Jumapili, Juni 7, 2026...
Jumla ya ndoa 130 zimefungwa kwa pamoja jijini Dar es Salaam katika ibada iliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma, tukio linaloleng…
Jumla ya ndoa 130 zimefungwa kwa pamoja jijini Dar es Salaam katika ibada iliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma, tukio linalolenga kuimarisha maadili na taasisi ya familia. Akizungumza baada ya ibada…
Chuki dhidi ya wageni: Ramaphosa alaani makundi yanayotaka ‘kuhatarisha usalama wa nchi’
Wakati tarehe ya mwisho ya Juni 30 iliyowekwa na makundi yanayopambana dhidi ya uhamiaji haramu nchini Afrika Kusini, ikikaribia—tarehe ambayo yanadai hatua kali kutoka kwa serikali—rais Cyril Ramaphosa amehutubia taifa…
DRC: Hukumu zaongezwa katika kesi ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa waliouawa Kasai
Mahakama Kuu ya Kijeshi nchini DRC imetoa uamuzi wake katika kesi ya mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa Michael Sharp, Mmarekani, na Zaida Catalan, raia wa Sweden mwenye…
Rwanda yaonya dhidi ya upendeleo katika upatanishi wa mzozo wa DRC
Nchi ya Rwanda, imeonya kile imesema upendeleo wa juhudi za Marekani katika upatanishi wa mgogoro wa mashariki mwa nchi ya DRC, kauli inayotolewa wakati huu Washington ikijaribu kuhakikisha mkataba wa…
Israeli yajibu mashambulio ya Iran
Jeshi la Israeli limetekeleza mashambulio mazito kulenga kambi za kijeshi Magharibi na eneo la Kati nchini Iran. Imechapishwa: 08/06/2026 – 05:49 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Israel imesema imefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga maeneo ya magharibi na katikati ya Iran
Hakukuwa na maelezo zaidi yaliyotolewa kuhusu idadi ya walioumia au waliouawa, wala maeneo halisi yaliyolengwa katika mashambulizi hayo.
Iran yashambulia maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, yatahadharisha kuhusu vipigo vikali zaidi’ iwapo mashambulizi dhidi ya Lebanon yataendelea
Vikosi vya ulinzi vya Iran jana usiku viliyatangwa kwa makombora maeneo kadhaa ya Israel, ikiwa ni katika kujibu mashambulizi yanayoendelea ya Israel dhidi ya Lebanon kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha…
Iran yasema misimamo ya Marekani “inayobadilika na kinzani” imekwamisha mazungumzo
Iran imesema mazungumzo yanayoendelea na Marekani bado yamekwama hasa kutokana na misimamo ya Washington inayobadilika mara kwa mara na yenye kauli zinazokinzana. Aidha Marekani inaendelea “kubadilisha vigezo vya mazungumzo.” Hata…
Kulazimisha Timu ya Taifa ya Iran kuingia na kutoka Marekani siku ya mechi si haki na ni janga
Kocha wa soka wa Iran na mchezaji wa zamani wa kimataifa ameishutumu serikali ya Marekani kwa kuingiza siasa katika michezo, akitaja vikwazo vya visa na matatizo ya kiutawala yanayowakabili wachezaji…
Vita dhidi ya Iran havikidhi vigezo vya “Vita vya Haki”, asema Papa Leo
Katika kauli yenye ukali dhidi ya sera za Rais wa Marekani Donald Trump, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesema kwamba vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran havina uhalali…
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na…
Nigeria: Mamia ya wanawake na watoto waliotekwa nyara na magaidi waachiliwa
Mamia ya wanawake na watoto waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria wameachiwa huru mwishoni mwa wiki.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JUNI 08, 2026:
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JUNI 08, 2026: (Feed generated with FetchRSS)
HABARI WIKIENDI | Fuatilia simulizi ya taarifa mbalimbali za kimataifa wiki hii zikisimuliwa na @ahimidiwe_olotu ambapo kubwa ni…
HABARI WIKIENDI | Fuatilia simulizi ya taarifa mbalimbali za kimataifa wiki hii zikisimuliwa na @ahimidiwe_olotu ambapo kubwa ni ndege isiyo na rubani iliyoshambulia mojawapo ya makazi ya watu nchini Sudan,…
Wakati dunia ikishuhudia siku 100 za tangu vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran, timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Iran imek…
Wakati dunia ikishuhudia siku 100 za tangu vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran, timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Iran imekubaliwa kupewa vibali vya kuingia nchini Marekani…
Ni kawaida katika maisha ya mwanadamu wakati kinapotokea kifo mtu hasa mwenye umri mdogo watu wengi hulia na kuhuzunika, lakini …
Ni kawaida katika maisha ya mwanadamu wakati kinapotokea kifo mtu hasa mwenye umri mdogo watu wengi hulia na kuhuzunika, lakini anapofariki mtu mwenye umri mkubwa zaidi, huzuni hiyo hugeuzwa kuwa…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kimetangaza kumvua uanachama mwanachama wake, Said Issa Moha…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kimetangaza kumvua uanachama mwanachama wake, Said Issa Mohammed, baada ya kupatikana na tuhuma za ukiukwaji wa nidhamu ya chama. Uamuzi…
Malengo ya JKT Marathon yaleta mafanikio kwa jamii
DODOMA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema SUMA JKT Marathon imefanikiwa kufikia malengo yake makuu matatu ya kuchangia huduma za afya, kutangaza bidhaa zinazozalishwa…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu lalamiko la mwanamke aitwaye Filomena Richard Mataris, Miaka 36,…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu lalamiko la mwanamke aitwaye Filomena Richard Mataris, Miaka 36, Mkazi wa Gongo la mboto, Dar es Salaam, kuhusu kubadilishiwa mtoto…
DRC | ” mara ya kwanza Afrika inashiriki Kombe la Dunia ilicheza Morocco”, Mkuu wa UFM Radio, @baruan_muhuza akizungumzia hist…
DRC | '' mara ya kwanza Afrika inashiriki Kombe la Dunia ilicheza Morocco'', Mkuu wa UFM Radio, @baruan_muhuza akizungumzia historia ya soka la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na namna…
KUOGELEA | Watoto zaidi ya 400 kutoka klabu mbalimbali wameshiriki msimu wa kumi wa mashindano ya mchezo wa kuogelea Tanzania
KUOGELEA | Watoto zaidi ya 400 kutoka klabu mbalimbali wameshiriki msimu wa kumi wa mashindano ya mchezo wa kuogelea Tanzania. Mashindano hayo yanayohusu watoto wenye umri chini ya miaka 12,…
Watu wawili wafariki dunia ajali baada ya magari kugongana uso kwa uso Daraja la Wami
Watu wawili wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso...
Tanroads Mbeya yafunga taa za kidijitali kusaidia wanafunzi kuvuka barabara
Kufuatia ajali zinazohusisha wanafunzi, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya...
Wawili wafariki dunia ajali ya magari kugongana Daraja la Wami
Watu wawili wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso...
Deti Yaishia kwa Aibu: Totoshoo Abaki na Bili Nono Hotelini Baada ya Kalameni Kutoweka
Kisura wa Nairobi kwa jina Juliette Awata aliachwa na bili ya hoteli ya KSh 10,000 baada ya mwanaume aliyemwalika kwenda naye deti Westlands kula kona
KOMBE LA DUNIA | Je, unaikumbuka mechi ambayo Cristiano Ronald alipiga #hattrick kwenye Kombe la Dunia
KOMBE LA DUNIA | Je, unaikumbuka mechi ambayo Cristiano Ronald alipiga #hattrick kwenye Kombe la Dunia Ni hii ambayo iko hewani muda huu, Ureno dhidi ya Hispania, mechi ya kundi…
Ziara ya Russia haitaathiri mahusiano yetu na nchi nyingine
Serikali imesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Russia haitaathiri uhusiano wa...
Robai Agufa: Mfanyabiashara maarufu wa Vihiga akata roho ghafla akihudhuria mazishi ya rafiki yake
Kaunti ya Vihiga inaomboleza mfanyabiashara maarufu Robai Agufa, ambaye inasemekana alizimia akihudhuria mazishi ya rafiki yake na baadaye kutangazwa kuwa amefariki.
SICPA Tanzania showcases fuel integrity solution at TBS 50th anniversary
DAR ES SALAAM: SICPA Tanzania participated as a strategic partner at the Viwango Business Forum held on Friday at the Mlimani City Conference Centre in Dar es Salaam, joining national…
NBC unveils strategy to deepen financial participation
DAR ES SALAAM: National Bank of Commerce (NBC) has launched a nationwide campaign, “Tunakuona Mbali,” aimed at expanding financial inclusion and increasing access to banking services for Tanzanians, particularly those…
Wahitimu Shule ya Msingi Oysterbay Wakabidhi mtambo wa kusafisha maji
Wanafunzi waliohitimu darasa la saba katika Shule ya Msingi Oysterbay 1985, wameikabidhi...