Why the Tanzanian league has overtaken the Kenyan PL
NAIROBI: OVER the past decade, football in East Africa has taken two very different paths. While Tanzania has treated its domestic league as a serious business and cultural product, Kenya…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapongeza na kuwashukuru wastaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania kwa k…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapongeza na kuwashukuru wastaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania kwa kulitumikia Taifa kwa uadilifu na kujituma katika kipindi chote cha…
Washirika wa Oburu katika ODM wamuonya Winnie Odinga dhidi ya kumfuata Edwin Sifuna: “Amka”
Washirika wa kiongozi wa ODM Oburu Oginga wamemsihi Winnie Odinga kufikiria upya kuhusu kumuunga mkono Edwin Sifuna wakitupia jicho urithi wa Raila Odinga.
TTB yavipiga msasa vikundi 12 vya utamaduni Singida
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imevipatia mafunzo maalum vikundi 12 vya utamaduni wilayani Mkalama, mkoani Singida ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kufungua hazina za utalii wa utamaduni katika kanda…
TCA reflects on ICC U19 Cricket World Cup
DAR ES SALAAM: THE curtains have closed on Tanzania’s historic maiden appearance at the ICC Under-19 Cricket World Cup 2026, co-hosted by Namibia and Zimbabwe, marking a defining milestone in…
SAMIA @100 DAYS: Mining sector reforms in Tanzania deliver early gains as revenue tops 311bn/-
DODOMA: ONE hundred days into President Samia Suluhu Hassan’s second-term leadership, Tanzania’s mining sector is gaining strong momentum, driven by reforms aimed at accelerating revenue collection, strengthening mineral governance and…
#HABARI: Matumizi ya majiko banifu yameleta tumaini jipya kwa wananchi kwa kuwezesha upikaji wa haraka, salama, na usio na moshi…
#HABARI: Matumizi ya majiko banifu yameleta tumaini jipya kwa wananchi kwa kuwezesha upikaji wa haraka, salama, na usio na moshi unaokera ambao ni hatari kwa afya na mazingira. Teknolojia hii…
#HABARI: Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto (C-sema), kwa kushirikiana na UNFPA, kimeshiriki katika uzinduzi wa mpango mpya wa k…
#HABARI: Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto (C-sema), kwa kushirikiana na UNFPA, kimeshiriki katika uzinduzi wa mpango mpya wa kitaifa wa kutokomeza ukeketaji na mila zilizopitwa na wakati nchini.…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imekamata watu wawili wakiwa na Kilogr…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imekamata watu wawili wakiwa na Kilogramu 363.45 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi, ambazo zimeteketezwa…
Samia ashiriki mkutano wa Wakuu wa Nchi AU
RAIS Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) ambao unaongozwa na Kaulimbiu ya Mwaka 2026 inayosema: “Kuhakikisha Upatikanaji Endelevu wa Maji na Huduma…
Why Aristotle would hate Valentine’s Day – and his five steps to love
US: VALENTINE’S Day is traditionally a time of heartshaped balloons, overpriced roses and fully-booked restaurants. Couples kiss and hold hands, smiling selfies celebrate a day of public displays of devotion.…
Wataalamu wa mifugo waongezewa ujuzi kudhibiti magonjwa
Mafunzo hayo yanawapatia wataalamu ujuzi wa vitendo wa kugundua magonjwa ya mifugo mapema kabla...
Police Family Day yawashika mkono wahitaji Ruvuma
ASKARI wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma wametembelea Kituo cha Kulelea Waathirika wa ugonjwa wa Ukoma kilichopo kata ya Litisha Halmashauri ya Songea Vijijini na kuwapatia…
Aliyekuwa OCS wa Likoni ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumuua mwanamume aliyekuwa hana silaha
Aliyekuwa OCS wa Likoni Yunus Athman amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa muaji ya Mbaraka Maitha Omar mwenye umri wa miaka 20 mwaka 2018 aliyekuwa hana silaha.
Marking the 67 years of the discovery of the skull of Early Man at Olduvai Gorge
ARUSHA: FOR many years, we have been trying to solve a big question about the origin of man and the secrets behind creation of humans which we all belong. Heading…
Anko Kitime: Joseph Mkwawa mfamasia aliyekuwa mwanamuziki
Katika ulimwengu wa sanaa kwa ujumla, huwa kunatokea watu ambao hupata umaarufu mkubwa japo...
Marekani: Mahakama ya Shirikisho inalinda haki za wakimbizi wa Sudan Kusini
Jaji wa Shirikisho Patti Saris alizuia uamuzi wa utawala wa Trump siku ya Alhamisi, Februari 12, 2026, wa kukomesha ulinzi wa muda dhidi ya kufukuzwa kwa wakimbizi wa Sudan Kusini.…
DRC: Mkuu wa MONUSCO ajadili utaratibu wa ufuatiliaji wa kusitisha mapigano na AFC/M23
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, unaendelea na maandalizi yake ya kuanzishwa kwa utaratibu wa ufuatiliaji wa uwezekano wa kusitisha mapigano ambao unaweza kufuata mipango ya hivi karibuni…
Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini…
Magazeti ya Kenya: Ida Odinga apuuzilia mbali kung’atuliwa kwa Sifuna, asisitiza angali SG wa ODM
Siasa ndani ya ODM zimemwagika katika familia ya marehemu Raila Odinga, na kufichua mipasuko mikali ya kiitikadi inayotishia moja ya nasaba za kisiasa za Kenya.
Serikali yazindua programu, mkakati wa kazi za staha
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amezindua Programu ya Nchi ya Kazi za Staha Awamu ya Tatu ya Mwaka 2025/2026 – 2029/2030…
Chad: Mfaransa aliyetoweka katika eneo la Amdjarass apatikana amefariki
Mtalii, raia wa Ufaransa, amepatikana amekufa katika oasisi (chemchemi) ya Bachikélé, yapata kilomita 100 kutoka Amdjarass, mji mkuu wa jimbo la Ennedi Mashariki nchini Chad. Mstaafu huyo mwenye umri wa…
Mwanamume wa Urusi aachia video za siri za wanawake aliopiga nao sherehe, wengine wao wake za watu
Mwanaume kutoka Urusi Yaytseslav amezua hasira kwenye mitandao ya kijamii kwa kushiriki video za faragha za wanawake barani Afrika, akiibua wasiwasi kuhusu ridhaa.
Samia’s First 100 Days: Building Tanzania’s economic foundations
DAR ES SALAAM: IN my view, Dr Samia Suluhu Hassan’s administration over these 100 days has pursued pragmatic policy measures with measurable impacts on jobs, investment, industrialisation and long-term economic…
Uganda: Wabunge watoa wito wa uchunguzi kuhusu uhalifu unaowezekana dhidi ya binadamu
Bunge la Ulaya limepitisha azimio kuhusu hali ya baada ya uchaguzi nchini Uganda. Siku ya Alhamisi, Februari 14, 2026, Wabunge wa Umoja wa Ulaya walipiga kura kuunga mkono nakala inayolaani…
Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika wafunguliwa katikati ya mgogoro unaoongezeka
Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika unafunguliwa leo Jumamosi asubuhi, Februari 14, huko Addis Ababa, Ethiopia. Wakuu wa nchi na serikali zaidi ya hamsini wanashiriki. Wakati wa sherehe ya…
‘Koti Jeupe’ Premieres in Dar, Starring Rihama Ally and Bi Staa
DAR ES SALAAM: BONGO Movie actresses Rihama Ally and Shamila Rashid, popularly known as Bi Staa, are set to feature in a new film titled Koti Jeupe, scheduled to premiere…
Tehran yahimiza marekebisho ‘makubwa’ katika mbinu ‘zisizojenga’ za EU
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Umoja wa Ulaya unahitajika kufanya marekebisho makubwa katika mbinu zake "zisizo za kujenga" kuhusu Tehran.
Rais Samia ashiriki mkutano wa Italia, Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Italia na Nchi za Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umewakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano…
See Zuchu, Mbosso, Diamond command the Valentine’s Day hit parade
DAR ES SALAAM: POETIC Swahili lyrics speak the best of Tanzanian love affairs as the country joins the globe to celebrate Valentine’s Day. Though there is no particular song picked…
Algeria yaanza operesheni ya kwanza ya kusafisha maeneo ya majaribio ya nyuklia ya Ufaransa
Algeria jana Ijumaa ilianza kusafisha baadhi ya maeneo ya majaribio ya silaha za nyuklia yaliyofanywa na Ufaransa katika jangwa la nchi hiyo katika kipindi cha ukoloni, miaka ya 1960.
Ulinzi wa Raia Gaza: Miili 8,000 ya mashahidi wa mauaji ya kimbari bado imefunikwa na vifusi
Idara ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza inasema kuwa maelfu ya miili ya Wapalestina waliouawa katika mashambulizi ya Israel bado imezikwa chini ya magofu ya majengo yaliyoharibiwa katika…
UN yaituhumu RSF kuwa imefanya “uhalifu wa kivita” huko El Fasher
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba uhalifu unaofanywa na wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces (RSF) huko El Fasher nchini Sudan ni sawa…
🔴WATOTO WETU LIVE SHOW: ….FEBRUARI 14, 2026
🔴WATOTO WETU LIVE SHOW: ....FEBRUARI 14, 2026
Ni vipi Diamond atampiku tena Davido?
Ni vigumu kuzungumzia mafanikio ya staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz (36) katika anga la...
Guardiola awatetea wahamiaji akijibu matamshi ya kibaguzi ya mmiliki wa Manchester United
Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola, amejibu maoni ya mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe kuhusu uhamiaji, akisema kwamba kuna haja ya "kukumbatia tamaduni zingine ili kuifanya…
Ndani ya boksi: Miaka 20 ya ‘Class of 2006’
2006 ndio mwaka ambao Kamati ya Miss Tanzania. Chini ya ‘Anko’ Hashim Lundenga (RIP)...
Palestine Action yapata ushindi muhimu wa kisheria dhidi ya ukandamizaji wa serikali ya Uingereza
Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa pigo kubwa la kisheria kwa jitihada za serikali ya nchi hiyo za kunyamazisha uungaji mkono wa wazi watu kwa Palestina, baada ya kutoa uamuzi kwamba…
Tanzania, Liberia kushirikiana sekta ya bahari
Wawakilishi wa mataifa hayo wamesema ushirikiano huo utachochea mabadiliko makubwa katika...
Al Houthi: Iran ni ngome imara inayokwamisha njama za Marekani na Israel
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Isael zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi…
Chungu, utamu wa Valentine’s Day
Umewahi kujiuliza nini maana ya upendo? Binafsi ninatafsiri upendo kama hisia za kumjali...
Heche asimulia maumivu aliyopitia katika siasa-2
Katika siasa za Tanzania, miongoni mwa majina yanayoibua hisia kali ni la John Heche, makamu...
Uchungu na utamu wa Valentine’s Day
Umewahi kujiuliza nini maana ya upendo? Binafsi ninatafsiri upendo kama hisia za kumjali...
Je, wajua hatari ya kutumia dawa za kupunguza maumivu bila ushauri wa daktari?
Matumizi ya Brufen kwa wingi huleta uvimbe wa tumbo na baadaye vidonda vya tumbo
🔴#MAGAZETI: MWIGULU ACHARUKIA WATENDAJI WAZEMBE/CAF YASISITIZA AFCON 2027….FEBRUARI 14, 2026
🔴#MAGAZETI: MWIGULU ACHARUKIA WATENDAJI WAZEMBE/CAF YASISITIZA AFCON 2027....FEBRUARI 14, 2026
#SWALILAKIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa na wawekezaji kwa jamii zinazowazunguka
#SWALILAKIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa na wawekezaji kwa jamii zinazowazunguka. Je, zinafuatiliwa utekelezaji wake kuepusha migogoro?"
Hatma ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ni ipi?
Baadhi ya ajenda za Starmer zinatiliwa shaka na Wabunge wa Labour, kwani amekua akifanya maamuzi ambayo yameleta mabadiliko makubwa yenye utata.
Trump asema mabadiliko ya utawala Iran yanaweza kuwa ‘jambo bora’
Marekani inataka mazungumzo ya nyuklia na Iran pia yagusie usaidizi wa nchi hiyo kwa makundi yenye silaha katika eneo hilo na jinsi watu wa Iran wanavyotendewa.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 14, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 14, 2026