Skip to content
  • Thu. Jul 16th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni? Alkhamisi, tarehe 16 Julai, 2026
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?

July 16, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Alkhamisi, tarehe 16 Julai, 2026

July 16, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu
Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso
Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu
IDHAA YA DUNIA
Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
IDHAA YA DUNIA
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
MWANANCHI
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu
Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso
Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu
IDHAA YA DUNIA
Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
IDHAA YA DUNIA
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
TUKO SWAHILI NEWS

Baba Levo: Mbunge wa Tanzania atangaza mipango ya kujiunga na kidato cha kwanza

February 12, 2026 mjombazecoder

Baba Levo, mwimbaji huyo ambaye amegeuka kuwa mwanasiasa, alifichua mipango ya kujiunga na Kidato cha Kwanza, akitaja changamoto za elimu na usaidizi wa Diamond.

HABARILEO

Vyama vya siasa vyashauriwa kipaumbele wanawake

February 12, 2026 mjombazecoder

OFISI ya msajili wa vyama vya siasa imevitaka vyama vya siasa nchini kuzingatia masuala ya jinsia kwa kuhakikisha vinatoa fursa na nafasi ya wanawake kushiririki kwenye masuala mbalimbali na kufanya…

MWANANCHI

Mastaa Yanga wawekewa mamilioni wakisonga mbele Caf

February 12, 2026 mjombazecoder

Uongozi wa Yanga umepanga kukipa kikosi chao nusu ya fedha ambazo timu hiyo itapata kutoka...

TUKO SWAHILI NEWS

Maseneta Sifuna, Cherargei wadaiwa walikuwa wakiitisha hongo kutoka kwa Magavana waliofika mbele yao

February 12, 2026 mjombazecoder

Baraza la Magavana (CoG) liliorodhesha maseneta wanne wanaoshutumiwa kwa kupenda rushwa. Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na Samson Cherargei wa Nandi ni miongoni mwao

MWANANCHI

Nyota Yanga kuoga mamilioni ya CAF

February 12, 2026 mjombazecoder

Uongozi wa Yanga umepanga kukipa kikosi chao nusu ya fedha ambazo timu hiyo itapata kutoka...

HABARILEO

Tanzania yashiriki mkutano Baraza la Mawaziri Afrika

February 12, 2026 mjombazecoder

Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya…

TUKO SWAHILI NEWS

Video ya William Ruto akiahidi kumwadhibu Edwin Sifuna yaibuka tena baada ya kuondolewa kwake

February 12, 2026 mjombazecoder

Rais William Ruto aliahidi kuitisha mkutano wa kumtimua aliyekuwa SG wa ODM Edwin Sifuna kwa kumshambulia kufuatia kubuniwa kwa serikali pana....

MWANANCHI

Majadiliano kumaliza migongano Simba

February 12, 2026 mjombazecoder

Wadau wa soka wamesema kuwa njia ya majadiliano ndio sahihi kwa sas inayoweza kumaliza...

TUKO SWAHILI NEWS

Oburu Oginga Abadilisha Kauli, Asisitiza Wanafuata Kiti cha Kithure Kindiki: “Ndio Tunalienga Sana”

February 12, 2026 mjombazecoder

Kiongozi wa ODM Oburu Oginga amefafanua nia ya chama kujadili kuhusu afisi ya naibu rais, akisisitiza mamlaka ya umma kuhusu ushindani wa kibinafsi.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ushuru wa Canada: Wabunge wa Republican wampinga Donald Trump

February 12, 2026 mjombazecoder

Wabunge kadhaa wa chama cha Republican kutoka Baraza la Wawakilishi la Marekani wamepinga Donald Trump siku ya Jumatano na kupiga kura ya kufuta ushuru kwa Canada, jambo ambalo pigo kubwa…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

EU inataka kuharakisha mageuzi yake ya kiuchumi ili kukabiliana na China na Trump

February 12, 2026 mjombazecoder

Nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya, EU, zinakutana leo Alhamisi nchini Ubelgiji ili kuharakisha mageuzi yanayolenga kurejesha ushindani wa uchumi wa Ulaya, uliozidiwa na ushindani mkali wa China na…

TUKO SWAHILI NEWS

Edwin Sifuna: Ruth Odinga apakia picha ya mafumbo akiwa katika mawazo tele wakati wa mkutano wa ODM

February 12, 2026 mjombazecoder

ODM ilimtimua SG Edwin Sifuna katika mkutano wa NEC uliokumbwa na utata huku kukiwa na mijadala kuhusu haki na uadilifu. Catherine Omanyo aliteuliwa kuwa kaimu SG

HABARI ZA KIPEKEE

Maandamano ya tarehe 22 Bahman, ishara ya mwamko, kuwa macho, umoja na mshikamano wa watu wa Iran.

February 12, 2026 mjombazecoder

Ikiwa ni katika kuadhimisha mwaka wa 47 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, maandamano ya tarehe 22 Bahman sawa na tarehe 11 Februari yamefanyika mjini Tehran sambamba na miji mingine…

HABARI ZA KIPEKEE

Admeri Shamkhani asisitiza: Mpango wa makombora wa Iran hautajadiliwa katu

February 12, 2026 mjombazecoder

Uwezo wa makombora ya balestiki ya Iran ni "mstari mwekundu" ambao hautawekwa katu kwenye meza ya mazungumzo. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa ulinzi wa Jamhuri ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Baada ya mkutano wake na Netanyahu, Trump asema mazungumzo na Iran inapasa yaendelee

February 12, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza baada ya kukutana na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba mkutano huo ulikuwa "mzuri sana" na akasema: "nimesisitiza kwamba…

HABARI ZA KIPEKEE

Serikali ya Kenya yamuongezea mchungaji Mackenzie mashtaka kwa vifo vya watu wengine 52

February 12, 2026 mjombazecoder

Paul Mackenzie, kiongozi wa tapo la kikristo nchini Kenya aliyewaamuru wafuasi wake wajiue kwa njaa wao na watoto wao ili waende mbinguni amesomewa shtaka jengine jipya yeye na wenzake saba…

HABARI ZA KIPEKEE

Wabangladesh washiriki katika uchaguzi wa kihistoria tangu kuangushwa utawala wa Hasina

February 12, 2026 mjombazecoder

Upigaji kura unaendelea nchini Bangladesh katika uchaguzi muhimu unaoonekana kama mtihani muhimu wa kurejea kwa demokrasia nchini humo baada ya vuguvugu la umma lililoongozwa na wanafunzi kumng'oa madarakani kiongozi wa…

HABARI ZA KIPEKEE

China: Marekani ndiyo sababu kubwa zaidi ya kuvurugika nidhamu ya nyuklia duniani

February 12, 2026 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa mjibizo kwa madai ya Marekani kwamba nchi hiyo ilifanya jaribio la nyuklia mnamo mwaka 2020 na kusisitiza: "Marekani ndiyo chanzo…

TUKO SWAHILI NEWS

Edwin Sifuna avunja ukimya baada ya kutimuliwa kwenye wadhifa wa katibu mkuu wa ODM

February 12, 2026 mjombazecoder

Seneta Edwin Sifuna amevunja ukimya baada ya kuondolewa kwenye wadhifa wa ODM, amesema amezidiwa na uungwaji mkono na atahutubia wanahabari baadaye.

TZSPORTS

NBC Premier League leo Alhamis

February 12, 2026 mjombazecoder

NBC Premier League leo Alhamis Saa 1:00 usiku,Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha TRA United. Je, ni walima Zabibu ama wakusanya mapato nani kuondoka na alama tatu? Mchezo…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ramaphosa na Putin wajadili suala la kuajiri raia wa Afrika Kusini katika vita dhidi ya Ukraine

February 12, 2026 mjombazecoder

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amezungumza kwa simu siku ya Jumanne, Februari 10, na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin. Miongoni mwa mada zilizojadiliwa kati ya wakuu hao wawili wa…

TUKO SWAHILI NEWS

IMF yatoa kauli madai imemjibu Gachagua kwa ukosoaji wake kuhusu mradi wa NYOTA

February 12, 2026 mjombazecoder

Benki ya Dunia ilikanusha kumkosoa naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua kuhusu kauli yake dhidi ya programu ya NYOTA ya Kenya Kwanza yenye thamani ya KSh 5 bilioni.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Wapiganaji wa Kiafrika Urusi: Majina yaliyofichuliwa na AEOW yathibitisha ukubwa wa tukio

February 12, 2026 mjombazecoder

Katika “Biashara ya kukata tamaa,” kundi la uchunguzi la All Eyes on Wagner linachunguza mitandao inayowaajiri wapiganaji wa Kiafrika kwa ajili ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Kwa mara ya…

TUKO SWAHILI NEWS

Oburu Oginga adokeza kuhusu lini ODM watamtema Ruto ili kuwa na mgombea urais wao 2027

February 12, 2026 mjombazecoder

Kiongozi wa ODM Oburu Oginga amesema chama cha ODM hakijajitolea kwa serikali au upinzani, akisema bado kinatafuta washirika wanaofaa wakati unaofaa.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Kundi lenye kusini mwa Libya ladai shambulio la pili dhidi ya vikosi vya Marshal Haftar

February 12, 2026 mjombazecoder

“Wanamapinduzi wa Libya Kusini” wanadai kushambulia msafara wa Jeshi la Kitaifa la Libya (LNA) uliokuwa ukisafirisha mafuta kwenda Sudan siku ya Jumatatu, Februari 9. Siku chache mapema, Januari 31, wapiganaji…

TUKO SWAHILI NEWS

Edwin Sifuna atangaza mkutano wake wa kwanza wa kisiasa baada ya kumvuliwa kofia ya katibu mkuu ODM

February 12, 2026 mjombazecoder

Katibu mkuu wa zamani wa ODM Edwin Sifuna ana mkutano wa kisiasa Jumapili hii, Februari 15, huko Kitengela, kaunti ya Kajiado, wa kwanza baada ya kuvuliwa ubosi.

IDHAA YA DUNIA

Kisiwa ambacho wenyeji hawaruhusiwi kujivinjari katika fukwe zake

February 12, 2026 mjombazecoder

Wavuvi waliokuwa wakiishi karibu na eneo hilo ghafla walizuiwa kuchota hata maji mahali ambapo walikuwa wakiegesha boti zao kwa vizazi.

TUKO SWAHILI NEWS

Magazeti ya Kenya, Feburuari 12: Ndani ya mkutano mrefu wa ODM faraghani ulioafikia kumtimua Sifuna

February 12, 2026 mjombazecoder

Kuvuliwa kofia ya katibu mkuu wa ODM kutoka kwa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kulitiwa muhuri katika mkutano wa saa nyingi wa Kamati Kuu ya Kitaifa (NEC).

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Morocco: Wakulima wanakaribisha kurudi kwa mvua licha ya mafuriko

February 12, 2026 mjombazecoder

Baada ya miaka saba ya ukame, hali inarudi kwenye asili yake nchini Morocco. Mvua nyingi za wiki za hivi karibuni zimewapa wakulima matumaini mapya. Kwa takwimu, milimita 121 za mvua…

TUKO SWAHILI NEWS

Ruto amkemea Gachagua kisa kumzomea kuhusu mikutano ya mradi wa Nyota: “Idler and Jobless”

February 12, 2026 mjombazecoder

Rais William Ruto ametetea jukumu la kusambaza fedha za NYOTA dhidi ya madai ya Gachagua ya kuchochea siasa, akisisitiza uwezeshaji wa vijana na uundaji wa ajira.

MWANANCHI

Nottingham Forest yamtimua Sean Dyche

February 12, 2026 mjombazecoder

Klabu ya Nottingham Forest imemtimua kazi kocha wake, Sean Dyche kufuatia Suluhu dhidi ya...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Kenya: Mchungaji Paul Mackenzie ameshtakiwa kwa vifo vingine 52

February 12, 2026 mjombazecoder

Tayari anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya Shakahola, ambayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 450 mwaka wa 2023, mwanzilishi wa Kanisa la Good News International pia ameshtakiwa kwa “ugaidi,”…

IDHAA YA DUNIA

Mwisho wa enzi za ODM na mwanzo wa mtikisiko wa siasa za Kenya

February 12, 2026 mjombazecoder

Chungwa lililokuwa tamu na kukata kiu ya wengi waliokuwa wanafungamana nalo kisera, leo limegeuka kuwa chungu kwao.

MWANANCHI

Sababu mikoa hii kuongozwa na askari

February 12, 2026 mjombazecoder

Kwa zaidi ya muongo sasa, magwanda ya kijeshi na taaluma ya ulinzi , imeshuhudiwa ikichukua...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Madagascar: Kimbunga Gezani chaua zaidi ya thelathini

February 12, 2026 mjombazecoder

Zaidi ya watu 30 wamefariki baada ya Kimbunga Gezani kupiga Madagasar kwa kasi kubwa siku ya Jumanne, na kuacha angalau theluthi mbili ya jiji la pili kwa ukubwa la kisiwa…

MWANANCHI

Wadau wachora ramani hatma ya bajaji, boda za umeme Tanzania

February 12, 2026 mjombazecoder

Wadau wa sekta za usafirishaji na uzalishaji wametoa wito wa kuboreshwa kwa mifumo ya usajili...

MWANANCHI

Mvutano kifo cha mtuhumiwa

February 12, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Kifo kingine cha utata mikononi mwa Polisi

February 12, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Mafaili ya Epstein yanavyobeba hatima ya jela kwa wanasiasa, matajiri – 2

February 12, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA

Ujerumani: Makombora ya Iran yanatishia sio Israel pekee bali hata Ulaya

February 12, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema nchi yake imejitolea kupata suluhu la kidiplomasia kati ya Marekani na Iran kuhusu mipango ya nyuklia na makombora ya Tehran.

IDHAA YA DUNIA

Watoto wa marais waliopitia masahibu baada ya wazazi wao kutoka Ikulu

February 12, 2026 mjombazecoder

Mwanafalsafa Aung San Suu Kyi alisema ''Si mamlaka yanayoharibu, bali ni hofu. Hofu ya kupoteza mamlaka huwaharibu wale wanaoyashikilia."

HABARI ZA KIPEKEE

Viongozi wa dunia watoa salamu za pongezi kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

February 12, 2026 mjombazecoder

Viongozi wa nchi mbalimbali wametuma jumbe kwa Rais wa Iran wakimpongeza kwa mnasaba wa Siku ya Taifa ya Iran na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za soka Ulaya: Bayern, Chelsea zinapigana vikumbo kwa Verbruggen

February 12, 2026 mjombazecoder

Bayern Munich na Chelsea zinamwania kipa Bart Verbruggen majira ya kiangazi, John Stones anaelekea kuondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika, huku Atletico Madrid wakipanga kumsajili Marc Cucurella.

HABARI ZA KIPEKEE

Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha ‘zilizoyeyusha’ maelfu ya Wapalestina Ghaza

February 12, 2026 mjombazecoder

Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya Al Jazeera ya Qatar umefichua kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel umetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zenye joto kupindukia katika vita vya mauaji ya kimbari…

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia atahadharisha kuhusu unyonyaji wa madola ya kigeni, ahimiza umoja wa Afrika

February 12, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia ametoa wito wa kuwepo Afrika yenye nguvu na mshikamano zaidi ili kulilinda bara hilo dhidi ya 'hatua za unyanyasaji' na ukandamizaji za pande…

HABARI ZA KIPEKEE

Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni ‘watoto wadogo’

February 12, 2026 mjombazecoder

Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini…

HABARI ZA KIPEKEE

Alkhamisi, tarehe 12 Februari, 2026

February 12, 2026 mjombazecoder

Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Februari 12 mwaka 2026.

HABARI ZA KIPEKEE

Kimbunga Gezani chaikumba Madagascar, chaua 20 na kujeruhi 33

February 12, 2026 mjombazecoder

Kimbunga cha Tropiki cha Gezani kimepiga mji wa bandari wa Toamasina ulioko kwenye pwani ya mashariki mwa Madagascar, na kuua watu wasiopungua 20 na kujeruhi wengine 33 katika jiji hilo…

HABARI ZA KIPEKEE

Kashfa ya Epstein ilivyofichua mmomonyoko wa kimaadili katika nchi za Magharibi

February 12, 2026 mjombazecoder

Wimbi la kujiuzulu linaloshuhudiwa huko Downing Street, kuanzia mkuu wa wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hadi mkurugenzi wake wa mawasiliano, ni ishara za nje za mgogoro mkubwa…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 12, 2025

February 11, 2026 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…

Posts pagination

1 … 489 490 491 … 1,067

Recent Posts

  • Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu
  • Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso
  • Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu
  • Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
  • Alkhamisi, tarehe 16 Julai, 2026

Recent Comments

  1. RikaCug on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Joiealigo on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ShenNeich on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. Ernestaxorn on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Wiiamcheaf on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Uganda: Besigye awakataa mawakili walioteuliwa na mahakama kuu

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Wanadiplomasia wawili wa EU watakiwa kuondoka Burkina Faso

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Marekani yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku Trump akiionya Tehran kuishi kwa nidhamu

July 16, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA

Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?

July 16, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS