Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia afya, Dkt
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia afya, Dkt. Jafar Seif, ameagiza kuhakikisha shughuli ya ulipaji fidia kwa kwa nyumba nane…
Kinachokwamisha wagonjwa wa kifafa kupata matibabu
Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kifafa kesho, Februari 9...
Bima ya afya kwa wote: Mafanikio ya awali, maswali na hatima ya haki ya afya Tanzania
Ndani ya siku 100 za utekelezaji wa awamu mpya ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali...
Fahamu kwanini hotuba ya Mfalme iliwatia wasiwasi raia wa kigeni Afrika Kusini
Mfalme wa Zulu Afrika Kusini, amezua gumzo baada ya kutoa matamshi ya kuwadhalilisha raia wa kigeni, na kuwataka waondoke nchini humo.
Serikali yasaini mkataba ajira kwa vijana nje ya nchi
DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, imesaini mikataba mitano itakayowawezesha vijana wa Kitanzania kupata ajira nje ya nchi, huku mikataba mingine 16 ikiwa…
Waungana kuinua biashara za wanawake Tanzania
Kuimarisha biashara ndogo na za kati (MSMEs) za wanawake, pamoja na kuwawezesha katika matumizi...
US-TZ partnership in maritime security gets fresh impetus
DAR ES SALAAM: THE United States and Tanzania marked a major milestone in their security cooperation with the official handover of a US -funded maritime facility to the Government of…
Mchina amburuza DPP, IGP kortıni
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta...
Video fupi ya William Ruto akijigamba kuhusu Uwanja wa Talanta yazua hisia: “Hii ni noma sana”
Rais William Ruto aliwacheka wakosoaji ambao hawakuamini kwamba angeweza kufanikisha uwanja wa Talanta. Alishiriki video inayoonyesha maendeleo, na kuzua hisia.
FCT yawajengea ujuzi wafanyabiashara Mwanza
MWANZA: Baraza la Ushindani (FCT) limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza, yakilenga kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa soko pamoja na taratibu za kupata haki katika shughuli…
KUTOKA ANGOLA: “Tulikuja hapa kwa ajili ya kupigania heshima ya Mnyama”
KUTOKA ANGOLA: “Tulikuja hapa kwa ajili ya kupigania heshima ya Mnyama” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anasema kama hatua ya makundi ingeanza sasa, basi timu hiyo…
Samatta, Msuva mambo magumu
LICHA ya nyota wawili Mbwana Samatta na Simon Msuva kuwa na umuhimu mkubwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars takwimu zinaonyesha msimu huu bado hawajaonyesha viwango vikubwa wakiwa…
Mabula akiri ngoma mzito Azerbaijan
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Shamakhi FK ya Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema mzunguko wa pili wa ligi hiyo umeanza kwa kasi kubwa, huku ushindani ukiwa mkali zaidi…
Zizou mzuka umepanda Sierra Leone
KIUNGO wa Mogbwemo Queens, Mtanzania Zuwena Aziz 'Zizou' amesema kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone wakiwa kileleni ni jambo lililowaongezea kujiamini na kuwapa nafasi nzuri…
RC Chalamila aapa kuzifungua barabara zote sokoni Kariakoo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema kuanza huduma katika Soko la...
Wafamasia kuongezewa ujuzi usimamizi bidhaa za afya
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kinatarajia kuanzisha mtaala mpya wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi wa Bidhaa za Afya (HSCM)…
Mohamed Badru: Shilla atang’aa Sweden
KOCHA wa zamani wa Azam FC, Mohamed Badru amesema anajivunia kuona vijana aliowafundisha kwenye timu za vijana wakipata nafasi kimataifa baada ya Mohamed Shilla kutambulishwa AIK ya Sweden.
Mambo 4 yaliyobadilika Venezuela tangu Maduro kuondolewa madarakani
Maduro na Flores wanasubiri katika seli zao katika Kituo cha Magereza cha Metropolitan huko Brooklyn (MDC), Machi 17, tarehe ya kufikishwa kwao mbele ya mahakama ya shirikisho.
Usikose kuangalia kipindi maalumu kitakacho angazia Ziara ya Waziri wa Mifugo na uvuvi Mhe
Usikose kuangalia kipindi maalumu kitakacho angazia Ziara ya Waziri wa Mifugo na uvuvi Mhe. Balozi Bashiru Ally Kakurwa ndani ya siku 100 za Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
“Mafanikio huanza kwa mtu kuwa na maono, mtu asiyekuwa na maono huwa anaenda popote na akifika popote anahisi amefanikiwa” Mshau…
“Mafanikio huanza kwa mtu kuwa na maono, mtu asiyekuwa na maono huwa anaenda popote na akifika popote anahisi amefanikiwa” Mshauri Mwelekezi wa stadi za maisha fedha na uchumi Mhandisi Kabenda…
Mfanyabiashara Lucy Oisso ameeleza kuwa utajiri wa mtu si wingi wa vitu alivonavyo, bali ni namna gani anafikiri kufikia malengo…
Mfanyabiashara Lucy Oisso ameeleza kuwa utajiri wa mtu si wingi wa vitu alivonavyo, bali ni namna gani anafikiri kufikia malengo yake. Oisso anasema ndoto za vijana wengi hazifanikiwi kwasababu hawapendi…
Maduka ya kisasa 31 yazinduliwa nchi nzima kuchochea upatikanaji wa huduma za kidigitali
Maduka ya kisasa 31 ya ‘Airtel Smart Shops’ yamezinduliwa nchini kote, ikiwa ni hatua muhimu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja wa unyang’anyi wa kutumia silaha uliofanyika Februari 4, 2…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja wa unyang’anyi wa kutumia silaha uliofanyika Februari 4, 2026, saa 4:00 asubuhi, eneo la Kisimani, Unyamwanga, Kata ya Tunduma, Wilaya…
Mgosi afichua changamoto duru la kwanza WPL
KOCHA msaidizi wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema changamoto kubwa kwa timu hiyo imekuwa ni kushindwa kumalizia vizuri msimu, licha ya kuanza kwa nguvu kila mwaka.
Kocha JKT Queens akiri shughuli nzito WPL
KOCHA wa JKT Queens, Kessy Abdallah amesema ushindani wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu ni mkubwa kiasi kwamba kosa dogo linaweza kuigharimu timu kisaikolojia.
Mastaa Ruangwa Queens wapewa siku 14
KIKOSI cha Ruangwa Queens kimewapa mapumziko ya wiki mbili wachezaji pamoja na benchi la ufundi kabla ya kurejea kambini Februari 25, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kujiimarisha zaidi kuelekea…
Bunda Queens washtukia jambo Ligi Kuu
KOCHA wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema tofauti ya ubora kati ya timu nyingi imekuwa ndogo msimu huu jambo linaloongeza ushindani.
KONA YA MZAZI: Kwa nini muhimu kumpeleka mtoto kwa bibi na babu
Dhana ya kuwapeleka watoto kuishi au kumtembelea bibi na babu imeanza kupungua, licha ya kuwa...
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Steffano Conte anaomba radhi kwa wadau wote wa mchezo wa #Vishada kwa mashindano hayo kushindwa kuanz…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Steffano Conte anaomba radhi kwa wadau wote wa mchezo wa #Vishada kwa mashindano hayo kushindwa kuanza jana Februari 7, kutokana na changamoto ya upepo. Uhondo sasa…
Uwezo wa kiuchumi wa Iran wa kushiriki katika masoko yanayoinukia
Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa pili wa masoko…
Carrick ataja ugumu kupita njia ya Solskjaer Man United
Kocha wa muda wa Manchester United, Michael Carrick, amesema klabu hiyo haitafanya maamuzi ya...
JKT TANZANIA vs MASHUJAA FC: “Tuna mchezo mgumu tena na muhimu kwenye idara zote…”
JKT TANZANIA vs MASHUJAA FC: “Tuna mchezo mgumu tena na muhimu kwenye idara zote…” Kocha wa timu ya JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema mchezo wao dhidi ya Mashujaa ni mgumu…
Iran kuokoa dola milioni 30 kwa kujizalishia aina 63 za dawa
Iran imezindua bidhaa mpya 63 za dawa zinazozalishwa ndani ya nchi—ikiwa ni pamoja na fomula 19 zinazozalishwa kwa mara ya kwanza hapa nchini—hatua inayotarajiwa kuifanya nchi hiyi iokoe kati ya…
UNICEF: Israel imeuwa watoto 37 wa Kipalestina katika mashambulizi Gaza mwaka huu
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeeleza kuwa watoto wa Kipalestinan wasiopungua 37wameuawa katika mashambuliiz ya Israel huko Gaza tangu kuanza mwaka huu wa 2026.
Afrika Kusini kuondoa wanajeshi wake katika kikosi cha kulinda amani cha UN, nchini Kongo
Afrika Kusini imesema kuwa itaondoa wanajeshi wake 700 waliokuwa wakihudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
Araqchi: Iran haiogopi kutumwa wanajeshi wa upande mwingine katika kanda hii
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu haiogopi vitisho vya kijeshi, akisema: "Iran ni nchi nchi inayofuata diplomasia na mantiki, na wakati huo huo iko…
Saad Kawemba aula Mbeya Kwanza
KLABU ya Mbeya Kwanza imefikia makubaliano ya kumuajiri, Saad Kawemba ili awe Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) baada ya pande mbili kufikia uamuzi huo, ikiwa ni pendekezo la mmiliki wa kikosi…
Mohamed Kijuso atangaza vita mpya mapema
KOCHA msaidizi wa Bigman FC, Mohamed Kijuso, amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kumaliza nafasi nne za juu, licha ya ushindani mkubwa uliopo hasa katika mechi za mzunguko…
Hatari ya kuwa mwanahabari ukiwa Urusi – Steve Rosenberg
Filamu ya BBC Panorama, inaangazia maisha ya wanahabari wa BBC mjini Moscow wakati ambapo Ikulu ya Kremlin inaendeleza vita vyake nchini Ukraine.
Majeraha yamtibulia Kapera Polisi Tanzania
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera, amejiweka kando na kikosi hicho, licha ya hivi karibuni kuanza mazoezi na timu hiyo, baada ya kusumbuliwa na jeraha la goti…
Maandalizi ufunguzi Soko Kuu Kariakoo yaridhisha
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo,…
Challe alia ufinyu wa kikosi KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema sababu ya timu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ni kutokana na ufinyu wa kikosi kilichopo, kwa sababu wachezaji wengi wanacheza maeneo…
Vijana wa UVCCM Kinondoni watakiwa kujiendeleza kielimu
Mbunge wa Kawe, Geofrey Timoth amewataka wajumbe wa Baraza la Kikanuni la Umoja wa Vijana wa...
Waziri wa Habari wa Somalia: Hatutaruhusu Israel kutumia ardhi yetu kuwatishia majirani
Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa Somalia, Daud Aweys Jama, amesema kwamba nchi yake imethibitisha mara kwa mara msimamo wake wa kupinga na kulaani ukiukaji wa wazi wa Israel…
Guardiola na kibarua kigumu Anfield
Timu pekee zilizotwaa taji la Ligi Kuu England katika misimu minane iliyopita zitakutana...
Tanzania, Uganda zafungua ukurasa mpya uchumi
TANZANIA na Uganda zimefungua ukurasa mpya wa kiuchumi huku zikisisitiza haja ya kuondoa vikwazo vya kiuchumi vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya kikanda. Hayo ni miongoni mwa masuala manane yaliyozungumzwa na…
Sita wanusurika kifo baada ya kupigwa radi
TABORA: WATU sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa…
Nchimbi awakumbusha viongozi wa dini wajibu kuombea taifa
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea taifa kama ambavyo Biblia Takatifu ilivyoelekeza. Dk Nchimbi aliyasema hayo wakati wa hafla…