RC Mbeya amwagiza RPC kuongeza kasi kudhibiti ubakaji, ulawiti
Malisa amesema jamii inapaswa kuhakikisha watoto wanalindwa na kupata haki za msingi na kuwa...
Ujumbe, video iliyovuja yamuonyesha mwanamke akimkaripia Mrusi anayetrend kumrekodi kisiri
Mazungumzo yaliyovuja na video yenye msisimko yanaonyesha jinsi mwanamke alivyogundua anarekodiwa na kumkabili raia wa Urusi Yaytseslav anayevuma mitandaoni.
Samia azungumza na wanahabari juu ya kutokomeza malaria
RAIS Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari juu ya ufadhili endelevu wa kutokomeza Malaria pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini…
Hemed ahimiza uanzishaji mabaraza ya Kiswahili EAC
Hemed ametoa wito kwa nchi wanachama kuhakikisha wanaweka mkazo katika kuanzisha mabaraza ya...
Katibu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji amewahimiza wanajamii kutowaficha watoto wenye u…
Katibu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji amewahimiza wanajamii kutowaficha watoto wenye ulemavu wa akili na badala yake wawasaidie kuwaunganisha na taasisi zinazowahudumia…
UWT kuibeba ajenda ya bima ya afya kwa wote
Dodoma. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda amesema...
Waziri Mkuu akagua mradi wa maji Kwamaligwa
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 amekagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilaya ya Kilindi mkoani Tanga ambao utagharimu sh bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake. Mradi…
Viongozi wa dini wataka wananchi kuliombea Taifa
Viongozi wa dini mkoani Mbeya wamewaomba wananchi kutumia vyema mwezi wa Ramadhan na Kwaresima...
CAFCL: Mtangazaji @kenedymosestz na jopo lake la wachambuzi, tayari wapo studio wakizichambua mechi za leo za Ligi ya Mabingwa A…
CAFCL: Mtangazaji @kenedymosestz na jopo lake la wachambuzi, tayari wapo studio wakizichambua mechi za leo za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Saa 10:00 jioni kuna mechi mbili ikiwemo Mamelodi Sundowns…
Tanzania, Liberia forge maritime alliance to boost Africa’s blue economy
DAR ES SALAAM: TANZANIA has taken a bold step toward becoming a regional maritime powerhouse after signing a historic memorandum of understanding (MOU) with Liberia today, February 14, 2026, aimed…
Tanzania opts for drones to monitor the safety of its forest reserves
DODOMA: TANZANIA Forest Service Agency (TFS) Conservation Commissioner, Prof Dos Santos Silayo has said they have begun to strengthen the use of ICT in monitoring forest resources, including the use…
Tanzania pledges to deepen ties with the private sector at the launch of the Azampesa service
ARUSHA: THE Tanzanian government will continue to collaborate with the private sector, financial institutions and other stakeholders to ensure that digital payment systems continue to improve and be beneficial to…
Bodi ya STAMICO yaahidi neema mgodi wa STAMIGOLD
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Balozi Simon Sirro amesema bodi inafuatilia na kutatua changamoto za Mgodi wa STAMIGOLD ili kuongeza kiwango cha uzalishaji.…
TWCC: Wanawake tumieni ongezeko la watu nchini kujiinua kiuchumi
Amesema kila ongezeko la idadi ya watu linaongeza mahitaji ya chakula, mavazi, elimu, afya na...
KURASA ZA MWISHO | Mchambuzi wa soka @charlesabel24, ambaye pia ni mwandishi wa habari za michezo amebainisha namna idadi kubwa …
KURASA ZA MWISHO | Mchambuzi wa soka @charlesabel24, ambaye pia ni mwandishi wa habari za michezo amebainisha namna idadi kubwa waandishi ilivyowakosha wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya chombo hicho…
TCB banks on Selous Marathon to boost domestic tourism, economy
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Commercial Bank (TCB) has for the first time joined the Selous marathon as a title sponsor, heading to its official flag off on June 20,…
NBA All Star 2026
NBA All Star 2026 Intuit Dome pale Los Angeles patakuwa hapatoshi ni 2026 NBA All Star Ni Team East wakiongozwa na Giannis Antetokounmpo na Jaylen Brown dhidi ya team West…
Yaytseslav: Jinsi jamaa Mrusi alivyorekodi kisiri akila uroda na wanawake akitumia miwani ya KSh 60k
Yaytseslav, mwanamume kutoka Urusi, amesutwa kwa kurekodi kisiri matukio ya faraghani sehemu tofauti na wanawake. Wengi wanaamini alitumia miwani mahiri ya Ray-Ban.
MAKALA: Jukwaa la WEIF Bahrain laweka wanawake katikati ya mabadiliko ya kiuchumi
Wanawake wajasiriamali lazima watambuliwe kama wabunifu na wasanifu wa mabadiliko ya kiuchumi si wanufaika tu wa fursa zinazotolewa.
AU ni muhimili wa ushirikiano wa kimataifa katika dunia iliyogawanyika: Guterres
Akihutubia hii leo Mkutano wa Muungano wa Afrika mjini Addis Ababa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito mkali wa kuhakikisha haki, mageuzi na kuimarishwa kwa ushirikiano…
Guterres: Afrika itabaki kuwa kipaumbele chetu cha kwanza
Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kandoni mwa Mkutano wa Muungano wa Afrika hii leo mjini Addis Ababa Ethiopi , Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa…
JWTZ, UN Women na wadau wazindua mpango wa kitaifa wa fursa kwa wanawake katika ulinzi wa amani
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ, kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya wanawake, UN Women Tanzania, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja…
#HABARI: Serikali imesema itaendelea kutumia Teknolojia ya kisasa ikiwa pamoja na Akili Unde (IA), katika kuboresha utoaji wa hu…
#HABARI: Serikali imesema itaendelea kutumia Teknolojia ya kisasa ikiwa pamoja na Akili Unde (IA), katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kuongeza ufanisi ndani ya taasisi za Umma hapa nchini.…
Viongozi wa migodi midogo wapewa mafunzo ya baruti
Serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya wachimbaji wadogo katika nyanja zote huku suala la...
Watu watatu waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji waachiwa huru
Warufani hao na mtu mwingine (ambaye aliachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia), walishtakiwa...
Kocha Mtibwa afichua kilichowaangusha
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mkenya Yusuf Chippo, ametaja sababu iliyowaangusha wakaambulia kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Mashujaa kuwa ni kutokana na wachezaji kukosa umakini katika eneo la kujilinda.
Mwanamke wa Gatundu Aliyezawadiwa Ngo’mbe Miaka 5 Iliyopita na Uhuru Sasa ni Landilady
Maisha ya Eunice Wanjiru yalibadilika baada ya kukutana na Uhuru Kenyatta. Kuanzia kwa bahati ya ufugaji wa ng'ombe, gundua safari yake ya kustahimili ustahimilivu.
OCPD reviews laws to align with Vision 2050
DODOMA: The Office of the Chief Parliamentary Draftsman (OCPD) is collaborating with the Attorney General’s Office and the Law Reform Commission to analyse and review laws that require improvement or…
Picha ya pamoja Wakuu wa Nchi AU
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wakuu wa nchi zinazounda Umoja wa Afrika (AU) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi…
Julio asaka msaidizi Mashujaa FC
KOCHA Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameanza kwa kishindo kazi ya kuinoa Mashujaa ya Kigoma baada ya juzi usiku kuizima Mtibwa Sugar ikiwa uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodoma kwa mabao…
JKT, Coastal yajirudia baada ya miaka sita
SARE ya kufungana bao 1-1 kati JKT Tanzania na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni ni ya kwanza timu hizo…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kwa Watanzania kutoruhusu ufa wa kubaguana kutokana na majukumu waliyonayo kwa kufanya hivyo kutaharibu nchi. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo…
Zawadi za mashada ya maua ya pesa taslim zinazungumziwaje?
Wafanyabiashara hujipatia pesa haraka, wakiuza maua ambayo ndio tu yametoka mashambani, hasa ukizingatia kuwa Kenya ni mojawapo ya wazalishaji wakuu wa maua duniani.
Umewahi kusikia msemo wa kuwa duniani hakuna kuchelewa wala kuwahi au msemo wa ‘Kutangulia si kufika’
Umewahi kusikia msemo wa kuwa duniani hakuna kuchelewa wala kuwahi au msemo wa ‘Kutangulia si kufika’. Hebu sikiliza mkasa huu kutoka Nigeria unaomuhusu Mama wa miaka 56 upate kuelewa ‘mambo…
Umekiona kilichomkuta mtu aliyejaribu kumvamia Rais wa Kenya, William Ruto alipokuwa akihutubia jukwaani?
Umekiona kilichomkuta mtu aliyejaribu kumvamia Rais wa Kenya, William Ruto alipokuwa akihutubia jukwaani? Hebu tazama mkasa huu. ✍Halima Abdallah Mhariri | @moseskwindi #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Wananchi 1,123 Ifakara wapewa kadi za bima ya afya kwa wote
Ifakara. Halmashauri ya Mji Ifakara imeendelea na mpango wa kugawa kadi za bima ya afya kwa...
Pesa walizotuma nyumbani Wakenya wanaoishi ughaibuni zilipugua kwa 3.8% kufuatia ushuru wa Trump
Pesa walizotuma Wakenya wanaoishi ughaibuni zilipungua kwa 3.8% Januari 2026 hadi $411.3m, kutoka $427.4m Januari 2025 kutokana na ushuru wa 1% na Donald Trump.
Je dunia kweli imekubali uongozi wa Marekani?
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amedai dunia imekaribisha nafasi ya uongozi wa Marekani.
Mechi za leo Jumamosi katika Laliga
Mechi za leo Jumamosi katika Laliga Big Game, Saa 5:00 usiku, Los Blancos, Real Madrid watakuwa nyumbani Bernabeu wakiwakaribisha Real Sociedad. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama laliga mwezi mzima…
#HABARI: Mtoto mchanga wa kike anayekadiriwa kuwa na umri wa mwezi mmoja amekutwa akiwa ametelekezwa ndani ya ofisi ya kukatia t…
#HABARI: Mtoto mchanga wa kike anayekadiriwa kuwa na umri wa mwezi mmoja amekutwa akiwa ametelekezwa ndani ya ofisi ya kukatia tiketi ya Kampuni ya Mabasi ya Super Feo, mjini Njombe…
Mikoa minne Tanzania kunufaika na mpango wa matumizi ya ardhi
Iringa. Katika kuhakikisha ardhi inatumika kwa tija, uwazi na kwa kuzingatia misingi ya...
JK urges AU nations to allocate adequate funding to the education sector
ADDIS ABABA: THE Former Tanzanian President, and the Chairperson of the Board of the Global Partnership for Education (GPE), Jakaya kikwete, has participated in a High-Level Meeting organized by the…
Kigogo arejea Mbeya City na ujumbe, mashabiki mzuka
ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City, Ally Nnunduma amesema licha ya timu hiyo kuanza msimu kwa matokeo yasiyoridhisha, lakini ina uwezo wa kumaliza kibabe Ligi Kuu Bara kutokana na mipango…
Kericho: Polisi waanzisha uchunguzi baada ya mahabusu aliyekuwa ametoroka kukutwa amefariki kituoni
Hali ya mshtuko imekumba kijiji cha Tiritap Moita huku Edmond Rono akipatikana amekufa katika Kituo cha Polisi cha Cheplanget. Uchunguzi umefichua hofu ya wakazi.
Tanzania joins global institutions in a renewed fight against child labour
MARRAKECH: TANZANIA says it will continue working closely with other institutions globally in the fight against child labour and abuse, the Deputy Minister for Labour, Employment and Industrial Relations, Rahma…
Reuters: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani itafanyika Jumanne, Geneva
Shirika la habari la Reuters limenukuu chanzo kimoja na kutangaza kuwa ujumbe wa Marekani unaojumuisha Steve Witkoff na Jared Kushner, utakutana na maafisa wa Iran mjini Geneva, Uswisi siku ya…
Ripota maalumu wa UN: Hujuma dhidi yangu si chochote kulinganisha na mateso ya Wapalestina
Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema, analengwa na hujuma za kumchafulia jina na kumtaja…
Katibu Mkuu wa UN: Lazima Afrika iwe na sauti na iweze kunufaika na rasilimali zake
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito mkali wa kuhakikisha haki na mageuzi yanatekelezwa na kuimarishwa ushirikiano wa kimataifa, huku akiutaja Umoja wa Afrika AU, kama “kinara…
BNP kutangaza serikali mpya ya Bangladesh Jumapili, kuitaka India imrudishe Hasina
Chama cha Taifa cha Bangladesh (BNP) kimetangaza kuwa kitaunda serikali mpya ifikapo kesho Jumapili, baada ya kupata ushindi wa kishindo wa theluthi mbili ya viti vya Bunge katika uchaguzi wa…
Rais Xi Jinping wa China: Tutaziondolea ushuru nchi za Afrika ifikapo mwezi Mei
Rais Xi Jinping wa China ametangaza kuwa, nchi yake itaziondolea ushuru nchi zingine za Afrika ifikapo mwezi Mei mwaka huu.