Mechi za leo Jumamosi katika Laliga
Big Game, Saa 5:00 usiku, Los Blancos, Real Madrid watakuwa nyumbani Bernabeu wakiwakaribisha Real Sociedad.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama laliga mwezi mzima mbashara kupitia AzamSports4HD.
@laliga

(Feed generated with FetchRSS)