Nanauka stresses youth linkage to national programmes
DODOMA: YOUTH Development Officers across the nation have been strongly encouraged to prioritise the accurate collection and maintenance of data regarding young people in their local communities. This data should…
‘Tree-planting campaigns transform capital city’
DODOMA: DODOMA Regional Commissioner Rosemary Senyamule has said that ongoing tree-planting campaigns are transforming the capital into a greener city. The regional boss made the remarks recently while leading a…
AzamTV inawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2026
AzamTV inawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2026. #AzamTVBurudaniKwaWote
Govt receives preliminary report on Education Act review
DODOMA: THE Ministry of Education, Science and Technology, in collaboration with the Prime Minister’s Office (Regional Administration and Local Government -PO-RALG), has received a preliminary report from the Committee for…
Malori yazua usumbufu Barabara ya Mandela
Foleni ya magari iliibuka Barabara ya Mandela, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 asubuhi...
“Umoja wa kitaifa ni ajenda yetu kuu tunapouanza mwaka 2026” – Rais Dkt
“Umoja wa kitaifa ni ajenda yetu kuu tunapouanza mwaka 2026” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wakati Watanzania wakiuanza mwaka mpya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026 Seri…
Wakati Watanzania wakiuanza mwaka mpya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini. Dkt Samia ameeleza hayo…
“Tusikubali tofauti za kiitikadi au kimtazamo zitugawe na kutupotezea malengo ya Taifa” – Rais Dkt
“Tusikubali tofauti za kiitikadi au kimtazamo zitugawe na kutupotezea malengo ya Taifa” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kutoka pande za Tabora hivi ndivyo wananchi wanauelezea mwaka 2025 kabla ya kuupokea mwaka mpya wa 2026
Kutoka pande za Tabora hivi ndivyo wananchi wanauelezea mwaka 2025 kabla ya kuupokea mwaka mpya wa 2026. #CloudsDigitalupdates
“Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea” – Ujumbe wa faraja wa Rais Dkt
“Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea” – Ujumbe wa faraja wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika salamu za Mwaka Mpya 2026
“Tulichukua hatua za haraka kutatua changamoto ya maji jijini Dar es Salaam
“Tulichukua hatua za haraka kutatua changamoto ya maji jijini Dar es Salaam. Mvua zinazoendelea kunyesha zitarejesha upatikanaji wa maji” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa leo Desemba 31,…
Umoja wa Mataifa (UN) umeutangaza mwaka 2026 kuwa wa kimataifa wa mkulima mwanamke na jamii za wafugaji kutokana na mchango wao …
Umoja wa Mataifa (UN) umeutangaza mwaka 2026 kuwa wa kimataifa wa mkulima mwanamke na jamii za wafugaji kutokana na mchango wao katika mifumo ya chakula cha kilimo pamoja na ufugaji.…
Usafirishaji wa makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka mkoani Ruvuma unatarajiwa kupata ahueni baada ya kukamilika kwa daraja la mc…
Usafirishaji wa makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka mkoani Ruvuma unatarajiwa kupata ahueni baada ya kukamilika kwa daraja la mchepuko linalotarajiwa kuzinduliwa Januari mosi, 2026 na kuruhusu upitaji wa…
Alichosema Rais Samia akiaga mwaka 2025
Oktoba 29, 2025 wakati wa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais ziliibuka vurugu...
Zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2 za mauzo ya korosho zimekusanywa mkoani Mtwara huku msimu wa mauzo ya zao hilo ukitarajiwa kukami…
Zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2 za mauzo ya korosho zimekusanywa mkoani Mtwara huku msimu wa mauzo ya zao hilo ukitarajiwa kukamilika mwezi Machi mwaka 2026. Mwenzetu John Kasembe ameangazia mafanikio…
TRC yasitisha safari za SGR Morogoro–Dodoma kwa muda, yataja sababu
Hatua hiyo, ilisababisha abiria wanaotumia usafiri huo kulazimika kusubiri kwa muda usiojulikana.
#HABARI: Baada ya kituo cha televisheni cha ITV kuripoti habari za kusikitisha kuhusu maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa wilay…
#HABARI: Baada ya kituo cha televisheni cha ITV kuripoti habari za kusikitisha kuhusu maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa wilayani Handeni, wadau mbalimbali wameanza kujitokeza kutoa misaada kwa wahanga. Taarifa hiyo…
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania limetoa taarifa ya kusitisha safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia Disemba 31, 2025 kati ya …
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania limetoa taarifa ya kusitisha safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia Disemba 31, 2025 kati ya Morogoro – Dodoma na Dodoma – Morogoro kutokana…
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 31, 2025 – JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI MKESHA WA MWAKA MPYA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 31, 2025 - JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI MKESHA WA MWAKA MPYA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 31/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 31/12/2025
Mwandishi wa fasihi kutoka Nigeria, Chimamanda Ngozi Adichie anasema ‘Mitandao ya Kijamii Inaua Uwezo Wetu wa Kufikiria lakini F…
Mwandishi wa fasihi kutoka Nigeria, Chimamanda Ngozi Adichie anasema 'Mitandao ya Kijamii Inaua Uwezo Wetu wa Kufikiria lakini Fasihi Inafanya Kinyume Chake'. Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2025 na tukitarajia…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, leo Desemba 31, 2025, amepiga marufuku vitendo vya uchomaji wa matairi wakati wa kusherehekea mkesha wa Mwaka Mpya. Akizungumza na waandishi…
Mabingwa watetezi Mapinduzi Cup wanapigwa tu
MLANDEGE FC ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, lakini ilichofanya mechi mbili za hatua ya makundi, yenyewe imeshindwa kujitetea. Inabondwa tu.
Mashariki mwa DRC: Hali ya Uvira ina athari kubwa kwa uchumi wa Burundi
Mvutano bado unaripotiwa huko Uvira, katika mkoa wa Kivu Kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Ingawa wapiganaji wa AFC/M23 walipaswa kuondoka katika eneo hilo mnamo Desemba 16,…
Tazama Jiji la Sydney – Australia lilivyoupokea mwaka mpya kwa fataki na shangwe
Tazama Jiji la Sydney – Australia lilivyoupokea mwaka mpya kwa fataki na shangwe. #AzamTVUpdates ✍ Warda John Mhariri | @moseskwindi
Chalamila aeleza mafanikio, changamoto mwaka 2025 Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameainisha mafanikio na changamoto...
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari kali kwa wananchi dhidi ya vitendo vya kuchoma matai…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari kali kwa wananchi dhidi ya vitendo vya kuchoma matairi barabarani pamoja na kupiga baruti au fataki katika…
Uganda: Wakili maarufu na mwanaharakati akamatwa kabla ya uchaguzi
Wakili maarufu wa Uganda na mwanaharakati wa haki za binadamu, Sarah Bireete, amekamatwa na polisi wa Uganda, shirika lisilo la kiserikali analoliongoza limeshutumiwa mnamo Desemba 30, 2025. Kipindi hiki cha…
Mambo sita duru la kwanza Ligi Kuu Zanzibar 2025/26
WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu.
#HABARI: Mali na Burkina Faso zimesema zinaweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa Marekani, kama jibu la hatua sawia iliyotangaz…
#HABARI: Mali na Burkina Faso zimesema zinaweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa Marekani, kama jibu la hatua sawia iliyotangazwa na utawala wa Trump mapema mwezi huu. Katika taarifa tofauti…
Sudan Kusini: Raia watakiwa kuondoka katika maeneo yanayokaliwa na waasi
Serikali ya Sudan Kusini imeagiza raia kuondoka katika maeneo yanayodhibitiwa na makundi yaliyojihami katika jimbo la Jonglei ili kuepuka kutumika kama ngao wakati wa mapambano, wakati serikali ikiendelea kupambana na…
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imeanza rasmi zoezi la upimaji wa ardhi katika Kata za Buigiri na Chamwino, likiwa n…
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imeanza rasmi zoezi la upimaji wa ardhi katika Kata za Buigiri na Chamwino, likiwa na lengo la kurasimisha umiliki wa ardhi, kulinda vyanzo vya…
No fireworks celebrations to welcome the New Year, Tanzania insists
DAR ES SALAAM: AS the New Year approaches, the Tanzanian government has banned the use of fireworks and the burning of tyres, citing concerns that such activities could cause panic…
Tunapoaga 2025, tunaacha nyuma mzigo wa huzuni na kubeba mbele hazina ya hekima
Tunapoaga 2025, tunaacha nyuma mzigo wa huzuni na kubeba mbele hazina ya hekima. Tunapoukaribisha 2026, tunasema karibu mwaka wa mwanga, karibu mwaka wa hatua, karibu mwaka wa ushindi. Mwenyezi Mungu…
Laki tano yaongeza mzuka kwa mastaa Mapinduzi Cup 2026
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) lina msemo wake maarufu ‘Play Fair, Be Positive’ ukiwa na maana kwamba ‘Cheza kwa Haki, Kuwa Chanya’.
Kinara wa mabao ZPL amepania kinoma
MBONI Steven Kibamba amepania kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja.
Raia wa Marekani kuzuiliwa kuingia katika nchi za Burkina Faso na Mali
Mataifa ya Mali na Burkina Faso yamesema yatawazuia raia wa Marekani kuzuru mataifa hayo, ikiwa ni hatua ya kujibu Marekani baada ya kuorodhesha raia wa mataifa hayo mawili kama wale…
Rais Samia atoa zawadi za mwaka mpya kwa wenye mahitaji maalumu Moshi
Nderiananga amesema, ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais ameendelea kuleta faraja, upendo...
Mapinduzi CUP 2026: Kocha aanika mikakati ya URA
MABINGWA mara moja wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA wameanika mikakati yao katika mashindano hayo yaliyoanza Desemba 28, 2025 yakichezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja.
Israel kupiga marufuku mashirika 37 ya kutoa misaada Gaza
Israel imetangaza kuwa inapiga marufuku mashirika 37 yakiwemo ya Kimataifa, yanayojihusisha na kutoa misaada ya kibanadamu kwenye ukanda wa Gaza, kuanzia siku ya Alhamisi. Imechapishwa: 31/12/2025 – 15:24 Dakika 1…
DRC: Waasi wa M23 wakabiliana na Wazalendo Masisi na Walikale
Mapigano mapya yamezuka kati ya waasi wa AFC/M23 na wapiganaji wa Wazalendo, wanaoungwa mkono na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika wilaya za Masisi na Walikale. Imechapishwa: 31/12/2025…
RC Tabora apiga marufuku vibali vya ujenzi mabondeni
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Tabora pamoja na Idara...