Babu Owino atangaza vita baada ya Sifuna kutimuliwa katika wadhifa wa ODM
Babu Owino atangaza vita katika ODM kuhusu kuondolewa kwa Edwin Sifuna. Amelaani uharamu na kuwataka wanasiasa kuchagua upande wao katika mzozo unaozidi kupamba moto
Bongo Fleva kwenye utawala wa ‘masista duu’
Kwa kipindi kirefu, tasnia ya Bongo Fleva ilitawaliwa na sauti za wanaume, huku wanawake...
Chalinze yaja na bajeti ya Sh76.3 bilioni kuimarisha huduma za jamii
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani wanatarajiwa kunufaika na maboresho...
Dk Mwigulu ataka ushirikiano wa kikanda mapambano dhidi ya saratani
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa Afrika haiwezi kushinda vita dhidi ya saratani ikiwa kila nchi itafanya kazi peke yake. Amesema kuwa ili kufikia malengo ya mapambano dhidi ya…
NEMC suspends Juye Concrete operations on pollution claims
DAR ES SALAAM: THE National Environment Management Council (NEMC) has shut down JUYE Concrete Company Ltd, a concrete manufacturing plant located in Mikocheni, Dar es Salaam, following allegations of environmental…
Kina cha maji, mizigo chanzo MV Mapinduzi II kushindwa kufanya kazi
Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 200 za mizigo ilianza kufanyiwa...
Babake Kelvin Kiptum asema anatatizika kumlipia karo ya shule mjukuu wake: “Sijui tufanye nini”
Mzee Samson Cheruiyot anaomboleza kifo cha ghafla cha mwanawe Kelvin Kiptum, akielezea uchungu wake kutokana na kutengwa na usimamizi na mjane Asenath.
Dr Samia off to Ethiopia for AU Heads of State Summit
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has left the country today for Addis Ababa, Ethiopia to attend the 39th African Union (AU) Heads of State and Government Summit scheduled…
UN watoa $750,000 kukabiliana na mlipuko mkali wa kipindupindu nchini DRC
Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na mlipuko mkali wa ugonjwa wa kipindupindu huku Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Misaada ya…
Pamoja na faida za AI iwapo itatumika vibaya inaweza kuchochea itikadi kali na ugaidi
Leo tarehe 12 Februari ni siku ya Kimataifa ya Kuzuia Itikadi Kali Zinazochochea Ugaidi, ikiwa ni maadhimisho ya nne tangu kuanzishwa kwake na mwaka huu kauli mbiu inasema “Kuzuia ugaidi…
Pamoja na kuingia kwa teknolojia ya AI imani yangu inasalia kwenye redio: Luhemwe Erickson
Kuelekea siku ya Siku ya Redio Duniani iliyotangazwa mwaka wa 2011 na Nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO na kupitishwa na Baraza…
Kuanzia maeneo ya vita hadi anga za mbali, Redio bado ni muhimu
Hata wakati dunia ikiendelea kuvutiwa na runinga zenye mwanga mkali na mitandao ya kidijitali inayopanua wigo kila uchao, redio inaendelea kudumu kwa uthabiti wa kipekee, ikiunda namna tunavyoshirikishana uzoefu na…
Nchini Bahrain: kazi, utu na kuibuka taratibu kwa biashara za asili majumbani
Kuanzia sindano ya kufuma sweta katika sebule moja jijini Cairo nchini Misri hadi masoko ya kidijitali yanayovuka mipaka, wanawake wajasiriamali wanaonesha jinsi ubunifu, ustahimilivu na msaada mahsusi vinaweza kubadilika na…
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameielekeza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kutoa adhabu zinazolingana na athari an…
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameielekeza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kutoa adhabu zinazolingana na athari anazozipata mtu pale picha au taarifa zake za faragha zinapovujishwa…
Mkutano wa mwaka wa mawakala wakubwa wa Azam TV kutoka mikoa mbalimbali nchini unaendelea kufanyika jijini Tanga, ukiwaleta pamo…
Mkutano wa mwaka wa mawakala wakubwa wa Azam TV kutoka mikoa mbalimbali nchini unaendelea kufanyika jijini Tanga, ukiwaleta pamoja wadau wakuu wa huduma hiyo kwa lengo la kujadili mwelekeo wa…
IGP Wambura abana matumizi, anyooshea kidole maeneo matatu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ametaja maeneo matatu yanayopaswa...
Tukubali mwaka huu tuliteleza -Ahmed
“Tukubali kiroho safi kwamba mwaka huu tuliteleza, tukishafungua nafsi maana yake kila Mwanasimba tarehe 14 atakuja uwanjani kiroho safi,” anasema Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally. Ahmed ametoa kauli hiyo…
Ni nini kinachosababisha ongezeko la meli zilizotelekezwa baharini?
Meli hizi hujaribu kufanya kazi kwa siri ili kusaidia nchi kama Urusi, Iran na Venezuela kuuza mafuta yao nje licha ya vikwazo vya Magharibi.
Mama C, msanii mwenye miaka 75 anayetikisa jukwaani
Ule msemo wa ng'ombe hazeeki maini, siyo uongo. Unadhihirishwa na mwanamuziki, mwandishi, na...
Tanzanian envoy attends AU’s 48th meeting on continent’s development, peace, security
ADDIS ABABA: TANZANIAN Foreign Affairs Minister and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo has joined other ministers from African nations in the 48th African Union Executive Council meeting underway in…
Pezeshkian apongeza hamasa kubwa ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya tarehe 22 Bahman
Rais Masoud Pezeshkian amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi "katika hamasa ya aina yake" katika maandamano ya kitaifa kote nchini ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka…
Catherine Omanyo: Wasifu wa Mbunge Aliyeteuliwa Kuwa Katibu Mkuu wa ODM baada Sifuna Kuondolewa
Catherine Omanyo amteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu wa ODM, na kuleta uzoefu na utetezi wa mashinani huku Edwin Sifuna akifukuzwa kutokana na mabadiliko ya uongozi.
Araqchi: Wairani waliandamana tarehe 22 Bahman kutangaza kuwa haki na utu wao haviuzwi
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa umati mkubwa wa wananchi wa walioshiriki katika maandamano ya kitaifa ya kuadhimisha kumbukumbu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Hamas yazionya US, Israel: Vita yoyote dhidi ya Iran ni sawa na kushambulia Ulimwengu mzima wa Kiislamu
Brigedi za al Qassam, tawi ila kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa vita yoyote dhidi ya Iran ni sawa na shambulio dhidi ya Umma…
Wazimbabwe watofautiana baada ya mawaziri kupitisha mswada wa kuongeza muda wa rais kusalia madarakani
Wazimbabwe wametofautiana kuhusu hatua ya baraza la mawaziri ya kuunga mkono muswada unaokusudia kubadilisha katiba ili kumruhusu Rais Emmerson Mnangagwa mwenye umri wa miaka 83 kubakia madarakani hadi angalau mwaka…
Libya yatoa leseni za kwanza za mafuta kwa makampuni ya nishati ya nje tangu kupinduliwa Gaddafi
Libya imetoa leseni kwa ajili ya uchimbaji na uzalishaji mafuta kwa makampuni kadhaa za nishati za kigeni, ikiwa ni pamoja na makampuni makubwa ya Chevron na BP kwa mara ya…
Takribani watu 23,000, wengi wao wakiwa ni kaya zisizo na uwezo katika Wilaya ya Sumbawanga, hususan vijijini, wanatarajiwa kupa…
Takribani watu 23,000, wengi wao wakiwa ni kaya zisizo na uwezo katika Wilaya ya Sumbawanga, hususan vijijini, wanatarajiwa kupatiwa bima za afya za bure ili waweze kupata huduma za matibabu,…
Rais Samia kushiriki mkutano wa 39 wa AU
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa,…
FCC urged to strengthen market oversight for consumer, investor protection
DAR ES SALAAM: THE Fair Competition Commission (FCC) has been urged to strengthen its oversight of market competition through tighter regulatory enforcement in both local and regional markets to promote…
Tanzanian golfers invited for Entebbe Ladies Open 2026
DAR ES SALAAM: TANZANIAN lady golfers have once again received an invitation to compete in the prestigious Entebbe Ladies Golf Open Championship 2026, scheduled for February 26–28 at the par-71…
Tanzania emerges Africa’s certified coffee leader
KILIMANJARO: TANZANIA has emerged as Africa’s leading producer of certified coffee after being ranked among the top producers globally, reaffirming the country’s growing influence in the international coffee market. Certified…
Singida silence Fountain Gate
DAR ES SALAAM: SINGIDA Black Stars punished Fountain Gate with a narrow yet deserved 1-0 victory in their Tanzania Mainland Premier League clash yesterday at Azam Complex in Dar es…
Masauni: Wabunge pingeni upotoshaji muungano
DODOMA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu muungano, hususan kupitia…
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “kuwatengenezea hamu ya mechi siku ya kesho…”
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “kuwatengenezea hamu ya mechi siku ya kesho…”. Kocha wa Coastal Union Mohamed Muya, amesema kuelekea mchezo wa wao dhidi ya JKT Tanzania watajilinda dhidi ya…
Jamhuri Stadium set for 5,500-seat upgrade
DODOMA: DODOMA’S CCM Jamhuri Stadium is set to undergo a major upgrade with the installation of 5,500 seats, stadium management has announced. Stadium Manager Hussein Mhando revealed the development during…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_ anasema kama wachezaji wapya wa TRA United watakuwa wamepata vibali vyote na kujumui…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_ anasema kama wachezaji wapya wa TRA United watakuwa wamepata vibali vyote na kujumuishwa katika kikosi kitakachocheza leo mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya…
STEM dreams propel women into maritime frontiers
WOMEN remain significantly underrepresented in technical roles within the global maritime workforce, and in Tanzania the gap is even more visible. Yet change is underway. From coding labs to ship…
Shared vision drives Tanzania China long- standing cooperation
DAR ES SALAAM: TANZANIA has reaffirmed its commitment to deepening bilateral relations with China, calling for broader and more structured cooperation in trade, investment, culture, education and tourism as both…
What 200bn/- will bring for youth, women
DODOMA: THE government has released 200bn/- to facilitate empowerment programmes for youth and women engaged in various economic sectors, part of President Samia Suluhu Hassan’s pledges in the first 100…
Mwigulu amwakilisha Rais Samia maadhimisho miaka 30 Ocean Road
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 12, 2026 amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani Ocean Road. Maadhimisho hayo yanayofanyika katika Kituo…
Rais Samia safarini Ethiopia kushiriki mkutano AU
Katika siku 101 tangu alipoapishwa kuiongoza Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya safari...
Women scientists putting communities at the heart of malaria research
DAR ES SALAAM: AS the world marked the International Day of Women and Girls in Science yesterday, February 11, the spotlight falls on two Tanzanian trailblazers who are proving that…
Tume ya maadili viongozi wa umma yapokea kesi 95 za uasharati, udhalilishaji kazini
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imepokea kesi 95 kutoka kwa watumishi wa umma zikihusiana...
How irrigation, innovation lifts 83,000 girls out of poverty
DAR ES SALAAM: THERE is a quiet revolution happening across ten regions of Tanzania, and it’s fueled by the dreams of young women who refused to let their backgrounds define…
SAMIA@ 100 DAYS: First 100 days lay the foundation for education sector reforms
DAR ES SALAAM: A PRESIDENT’S first 100 days in office may be too short to achieve major accomplishments, but it is a critical period that sets the tone for leadership,…
Nakuru: Kizaaza abiria wa kike katika basi kla Ena Coach akidaiwa kuchopoa simu ya mwenzake
Binti mmoja amenaswa akiiba simu kwenye basi la Ena Coach na kusababisha tafrani kwa abiria huku mjadala mkubwa ukizuka kwenye mitandao ya kijamii.
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “…Maandalizi yalikuwa kwenye vitengo hivyo viwili”
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “…Maandalizi yalikuwa kwenye vitengo hivyo viwili”. Kocha wa JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema maandalizi kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union yameenda vizuri…
Zimbabwe kubadilisha katiba kuongeza muda wa Rais madarakani
Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limepitisha rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo...
Why Suzane traded medicine for diplomacy
DAR ES SALAAM: IN the competitive hallways of Tanzania’s elite secondary schools, there is an unwritten rule often whispered among students, the smartest minds do science. For years, Suzane Sylvester…
‘Waliwachinja watoto wangu wanne’
Yameogo Aminata anasema watoto wake wa kiume walichinjwa na na binti yake hajulikani aliko.