Sharia ya unyonyeshaji inayoharamisha kuoana
Unyonyeshaji wa watoto wengine hutengeneza uhusiano wa kindugu sawa na ule wa damu (kinasaba)...
Larijani: Kuunga mkono umoja wa Umma wa Kiislamu ni mojawapo ya vipaumbele vikuu vya Iran
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kulinda na kutetea umoja wa Umma wa Kiislamu ni miongoni mwa vipaumbele vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu.
Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita
Jeshi la Israel limezindua mradi mkubwa wa akili mnemba (AI), unaojulikana kama Morpheus, ili kuzuia askari wake kuchapisha ushahidi wa uhalifu wa kivita uliofanyika huko Gaza kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa nini Afrika inataka kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Bara la Afrika, kwa miaka kadhaa sasa, limekuwa likitafuta kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Mchango wa SBL kufikia Tanzania bora na endelevu
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imewasilisha Ripoti yake ya tano ya Uendelevu, hatua muhimu...
Why Tanzanian youths must safeguard national values
DAR ES SALAAM: YOUTHS are the lifeblood of any nation, and their engagement in shaping the future is critical. A country’s peace, stability and development are fragile achievements that require…
Mikutano yaandaliwa kujaribu kuvimaliza vita vya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wajumbe wa nchi yake na wale wa Marekani watakutana wiki hii ili kujadili kwa kina mpango wa kusitisha mapigano na Urusi uliopendekezwa na rais…
RC urges action on antimicrobial resistance
MWANZA: PHARMACY professionals in the country have been urged to take immediate measures in addressing the increasing antimicrobial resistance by providing proper education to the public on the safe and…
Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa akimbilia Senegal
Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani Umaro Sissoco Embaló amekimbilia katika nchi jirani ya Senegal.
Idadi ya vifo yaongezeka kufuatia ajali ya moto Hong Kong
Idadi ya vifo imeongezeka na kufikia watu 94 kufuatia ajali ya moto katika jengo la makazi huko Hong Kong.
Ijumaa, Novemba 28, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 7 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na Januari 28 Novemba mwaka 2025 Milaadia.
Papa Leo XIV aanza ziara yake nchini Uturuki
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV yuko nchini Uturuki na amekutana na Rais Recep Tayyip Erdogan katika mji wa Ankara.
Tanzania eyes pharma hub role
ALGIERS: TANZANIA has expressed readiness to collaborate with other African countries to reduce reliance on imported health commodities and position itself as a key regional player in the manufacture of…
Child stunting drops by 34pc in Bukombe
BUKOMBE: BUKOMBE District Council in Geita Region has successfully reduced the challenge of child stunting by 34 per cent, dropping from an average of 23 children in 2024 to an…
Government moves to shield local traders
DAR ES SALAAM: THE government has unveiled a comprehensive review of business laws to pinpoint areas requiring reform and to foster a more conducive environment for traders nationwide. Minister for…
28.11.2025
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo wa 14 (XIV) yuko nchini Uturuki na amekutana na Rais Recep Tayyip Erdogan katika mji wa Ankara+++Mwaka huu wa 2025, maandamano ya vijana…
28.11.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mikutano kadhaa inatarajiwa kufanyika ili kujaribu kuvimaliza vita vya Ukraine. Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani na jeshi akimbilia Senegal. Papa Leo wa XIV awasili Uturuki na kisha ataelekea nchini Lebanon.
Border surveillance nets 76 illegal immigrants
KAGERA: THE Police force, in collaboration with the Immigration Department, has arrested 76 foreigners for entering the country without following the required immigration procedures. Kagera Regional Police Commander, Senior Assistant…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 28, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
DC stresses peace as foundation for national development
MOROGORO: MOROGORO District Commissioner, Mr Mussa Kilakala has urged Tanzanians to safeguard the peace and stability of the nation, saying that without peace, essential development activities, both personal and national…
ZEC chief calls for transparency, collaboration
ZANZIBAR: THE Chairperson of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC), Justice George Kazi has stressed the importance of transparency, professionalism and collaboration in strengthening electoral management in Zanzibar. Speaking at a…
Ngono River project revival raises hope
BUKOBA: RESIDENTs of Mwanza, Geita, Kagera, Mara, Simiyu and Shinyanga regions have expressed joy following reports that the government is finalising plans to revive the long-awaited Ngono River project. Daudi…
Government, private sector join forces to boost tourism
MOROGORO: MINISTER for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji has said the government is strengthening partnerships with private investors to expand accommodation capacity within national parks, in response to…
2VP orders completion of Zanzibar Port projects by January
ZANZIBAR: Zanzibar’s Second Vice-President, Mr Hemed Suleiman Abdulla has directed contractors building the Isles’ new passenger and cargo ports to ensure all projects are completed before January 2026. He issued…
Mara nyingi kilio kikubwa cha wanunuzi wa bidhaa kwenye masoko huangukia katika maeneo matatu muhimu; ubora wa bidhaa, ubunifu u…
Mara nyingi kilio kikubwa cha wanunuzi wa bidhaa kwenye masoko huangukia katika maeneo matatu muhimu; ubora wa bidhaa, ubunifu unaofanywa kwenye bidhaa yenyewe na bei ambayo hupaswa kuendana na viiili…
#HABARI: Wadau mbalimbali wametakiwa kuendelea kutoa elimu mashuleni kwa watoto juu ya namna ya kujikinga dhidi ya vitendo vya u…
#HABARI: Wadau mbalimbali wametakiwa kuendelea kutoa elimu mashuleni kwa watoto juu ya namna ya kujikinga dhidi ya vitendo vya ukatili na kuhakikisha wanatoa taarifa pale wanapohisi kutaka kufanyiwa ukatili au…
Uturuki yalaani shambulio katika uwanja wa gesi wa Khor Mor nchini Iraq
Eneo hilo ni muhimu kwa usambazaji wa umeme na usalama wa nishati katika eneo hilo.
Uturuki yatoa pole kwa Hong Kong kufuatia tukio la moto lililoua makumi ya watu
Ankara imesema imesikitishwa sana na janga la moto lililolikumba jengo la makazi eneo la Tai Po, na kusababisha vifo vya angalau watu 83 na kuwajeruhi wengine wengi.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27 NOVEMBA 2025
Umoja wa Afrika wataka Rais wa Guinea-Bissau aachiwe mara moja
Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuachiliwa “mara moja na bila masharti” kwa Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, baada ya jeshi kuchukua mamlaka ya nchi hiyo kwa nguvu.
🔴#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?”
🔴#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?"
Utafiti uliofanywa na mwanafunzi wa shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu ongezeko la maradhi ya mlipuko…
Utafiti uliofanywa na mwanafunzi wa shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu ongezeko la maradhi ya mlipuko ikiwemo Malaria, Dengue na Chikungunya, umebaini kuwa kuna mazalia…
Rais Kagame aishutumu DRC kwa kuchelewesha makubaliano ya amani ya Washington
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameishutumu serikali ya Congo kwa kuchelewesha kutia saini makubaliano ya amani yenye lengo la kumaliza mzozo katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa Jamhuri…
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dennis Lazaro Londo, amewahakikishia waandishi wa habari nchini kuwa Serikali itaendelea kulinda uhuru wao wa kujieleza pamoja na kuhakikisha wanatimiza…
#HABARI: Vijana jijini Mbeya wameiomba Serikali kuwashirikisha kwenye mchakato wa marekebisho ya Katiba Mpya ili waweze kutoa m…
#HABARI: Vijana jijini Mbeya wameiomba Serikali kuwashirikisha kwenye mchakato wa marekebisho ya Katiba Mpya ili waweze kutoa mawazo yao chanya ambayo yatasaidia kuleta Maendeleo katika nchi na kuendana na wakati.…
Baadhi ya wajasiriamali nchini wamekuwa wakionesha juhudi kubwa katika shughuli zao, lakini ukosefu wa mtaji umekuwa ukiwakwamis…
Baadhi ya wajasiriamali nchini wamekuwa wakionesha juhudi kubwa katika shughuli zao, lakini ukosefu wa mtaji umekuwa ukiwakwamisha kutimiza ndoto zao za kibiashara. Hata hivyo, mkoani Mbeya hali ni tofauti, kwani…
Mfumo mpya wa uangalizi wa wagonjwa wa maradhi yasiyoambukiza Zanzibar, ikiwemo kisukari na shinikizo la damu, umesogezwa karibu…
Mfumo mpya wa uangalizi wa wagonjwa wa maradhi yasiyoambukiza Zanzibar, ikiwemo kisukari na shinikizo la damu, umesogezwa karibu na wananchi kupitia vikundi maalumu vya wagonjwa vinavyoratibiwa na wahudumu wa afya…
Nini kinaitafuna Simba
Kuna nini Simba Hili ndiyo swali ambalo mashabiki wa timu hiyo wanajiuliza zikiwa zimebaki...
Kutokana na gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa juu, wadau mbalimbali wamesema kuwa endapo ahadi iliyotolewa na …
Kutokana na gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa juu, wadau mbalimbali wamesema kuwa endapo ahadi iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, ya serikali kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya…
EACJ yatupilia mbali zuio mradi wa EACOP
Mahakama ya Rufaa ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imeitupili mbali rufaa iliyokuwa inapinga...
#HABARI: Jeshi la Polisi jijini Mwanza limesema halitaweka mikono nyuma katika kupambana na wahalifu wenye lengo la kutengeneza …
#HABARI: Jeshi la Polisi jijini Mwanza limesema halitaweka mikono nyuma katika kupambana na wahalifu wenye lengo la kutengeneza himaya ya uhalifu katika mkoa huo, huku likiwataka wananchi kutoa taarifa za…
Mapya yaibuka mwanafunzi aliyejiua kisa kamari
Bakari Kabuga, baba mzazi wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Said Kabuga...
Madereva wa Serikali walaumu mabosi uvunjaji sheria
Wakati Serikali ikiwaonya watumishi na wasimamizi wa sera wanaokiuka kanuni za usalama...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 27 NOVEMBA 2025-
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU- 27 NOVEMBA 2025-
Chadema yaja na mambo matano kulikwamua Taifa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimependekeza mambo matano kinachoamini...
Mashahidi 55 kutoa ushahidi kesi ya kuporomoka jengo la Kariakoo
Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Desemba 3 na 4, 2025 kwa ajili ya Jamhuri...
Tanzania yajipanga kuongoza uzalishaji dawa Afrika
Tanzania imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya sekta ya dawa barani Afrika baada ya Waziri...
Erdogan asifu ziara ya Papa nchini Uturuki kama hatua muhimu ya kuimarisha misingi ya pamoja
Papa Leo XIV yuko Uturuki hadi Jumapili katika ziara yake ya kwanza ya nje ya nchi, na anatarajiwa kutembelea miji kadhaa, ikiwemo Istanbul na Iznik, iliyokuwa ikijulikana kama Nicaea.
Mgombea Bodi ya Ligi aachia ngazi TFF kwa lazima
MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB), Hosea Lugano amejiuzulu nafasi zote alizokuwa anazishikilia TFF.