Skip to content
  • Sat. Feb 28th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa” Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa Kilifi: Mwanamume aliyemuua mkewe kwa sababu ya Instagram asukumwa jela miaka 30
TUKO SWAHILI NEWS

Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Kilifi: Mwanamume aliyemuua mkewe kwa sababu ya Instagram asukumwa jela miaka 30

February 28, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
TUKO SWAHILI NEWS
Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
TUKO SWAHILI NEWS
Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
TUKO SWAHILI NEWS
Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
TUKO SWAHILI NEWS
Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
Uncategorized
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Uncategorized
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Uncategorized
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Uncategorized
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
TUKO SWAHILI NEWS
Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
TUKO SWAHILI NEWS
Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
TUKO SWAHILI NEWS
Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
TUKO SWAHILI NEWS
Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
LTV ENGLISH NEWS

Hundreds benefit from KCMC medical camp

February 10, 2026 mjombazecoder

KILIMANJARO: HUNDREDS of people have turned up for health screening and treatment at a special medical camp held at Kilimanjaro Christian Medical Centre Zonal Referral Hospital (KCMC ZRH) in Moshi,…

LTV ENGLISH NEWS

MUHAS boosts infrastructure to enhance global standing

February 10, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: THE Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is intensifying investments in infrastructure and academic facilities as part of broader efforts to sustain quality education, strengthen…

TUKO SWAHILI NEWS

Mtabiri wa hali ya hewa aonya kuhusu mvua katika maeneo 5, jua na anga kavu katika siku 7 zijazo

February 10, 2026 mjombazecoder

Idara ya Hali ya Hewa Kenya imetabiri hali ya jua na ukame nchini kote kuanzia Februari 10-16, huku mvua ikitarajiwa katika maeneo teule matano karibuni.

TUKO SWAHILI NEWS

Wajackoyah Afichua Jinsi Roho ya Raila Odinga Inavyoishi Ndani Yake

February 10, 2026 mjombazecoder

George Wajackoyah anadai kuwa mrithi wa kisiasa wa Raila Odinga, akisisitiza upako wa kiroho, huku akipinga madai ya wapinzani kama Oketch Salah.

HABARI ZA KIPEKEE

Rais Pezeshkian: Iran haitaki vita; mashinikizo ya kiuchumi yanalenga kuichafua serikali

February 10, 2026 mjombazecoder

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena msimamo wa Iran wa kuunga mkono amani, akisema kuwa nchi hii haijawahi kutaka kuanzisha vita, licha ya kukabiliwa na…

HABARI ZA KIPEKEE

Katibu Mkuu wa UN alaani mradi mpya wa Israel wa kunyakua maeneo ya Ukingo wa Magharibi

February 10, 2026 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonyesha wasiwasi mkubwa na kulaani uamuzi wa hivi karibuni wa Israel wa kuidhinisha hatua zinazorahisisha upanuzi wa makaazi ya walowezi wa Kizayuni…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran inaweza kupunguza kiwango cha urutubishaji urani iwapo ‘vikwazo vyote vitaondolewa’

February 10, 2026 mjombazecoder

Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa uwezekano wowote wa kupunguza kiwango cha urutubishaji wa urani ambayo sasa ni imefika hadi asilimia 60 utategemea kikamilifu…

HABARI ZA KIPEKEE

Türk: Janga la haki za binadamu Sudan linaweza kuzuilika

February 10, 2026 mjombazecoder

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwamba machafuko ya El Fasher, Sudan, ni “janga…

LTV ENGLISH NEWS

DODOMA: Post-harvest losses remain…

February 10, 2026 mjombazecoder

DODOMA: Post-harvest losses remain one of the biggest challenges facing Tanzania’s agricultural sector, with studies indicating that farmers lose up to 30–40 percent of their harvest annually due to poor…

HABARI ZA KIPEKEE

Msemaji wa Majeshi: Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani wakati wa mazungumzo

February 10, 2026 mjombazecoder

Iran haitasalimu amri wala kukubali mashinikizo au masharti ya Marekani huku ikiendelea na mazungumzo na Washington, amesema Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi, msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran, katika mahojiano…

HABARILEO

Ripoti: Kenya yazidi kuathiriwa na mihadarati

February 10, 2026 mjombazecoder

RIPOTI ya Global Organised Crime Index zinaonesha kuwa Kenya imeendelea kuwa miongoni mwa vituo vikuu vya usafirishaji wa dawa za kulevya, hususan kokeini, katika ukanda wa Afrika Mashariki, licha ya…

LTV ENGLISH NEWS

Samia sets benchmark

February 10, 2026 mjombazecoder

Tasks leaders to drive socio-economic transformation, Vision 2050 DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed the newly sworn-in leaders and those already in office to spearhead the country’s…

MWANASPOTI

Yanga kwenye presha, tatizo la kufunga likiwaandama CAFCL

February 10, 2026 mjombazecoder

Wakielekea kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF), Young Africans wanajua kuwa ni muujiza pekee ndio unaweza kuwaweka hai katika mashindano ya…

MWANANCHI

Grealish amaliza msimu kwa maumivu Everton

February 10, 2026 mjombazecoder

Mchezaji wa Everton anayekipiga kwa mkopo kutokea Manchester City, Jack Grealish, amethibitisha...

TUKO SWAHILI NEWS

Mfanyabiashara azua sarakasi Thika baada ya dalali kupiga mnada malori yake 2: “Uuuuui”

February 10, 2026 mjombazecoder

Taharuki ulitokea Thika baada ya Rufas Kiretai kupoteza malori yake mawili hii ni baada ya dalali kuyapiga mnada licha ya mgogoro wa kisheria. Alilia na watoto wake.

TUKO SWAHILI NEWS

Imam mkuu Omar Athman Omar Atuhumiwa kwa Wizi wa KSh 774,000

February 10, 2026 mjombazecoder

Imam mkuu Omar Athman Omar alikanusha mashtaka ya ulaghai ya Umrah ya KSh 774,000 wakati mahakama ikitathmini uamuzi wa dhamana katika Mahakama ya Milimani Nairobi.

TUKO SWAHILI NEWS

Kwa nini Arsenal haitashinda Ligi Kuu baada ya Manchester City kuwanyatia

February 10, 2026 mjombazecoder

Arsenal wanaongoza Ligi Kuu kwa kampeni kali, lakini changamoto kama vile mechi ngumu na ukosefu wa uzoefu zinaweza kukwamisha azma yao ya kutwaa ubingwa.

TUKO SWAHILI NEWS

Uchungu wa Baba Kuwapoteza Wanawe Wote 4 Wakiogelea Huko Kisumu

February 10, 2026 mjombazecoder

Familia ya ndugu wanne wa Kisumu waliozama kwenye machimbo yaomba msaada wa kufadhili mazishi yao, ikionyesha hitaji la dharura la hatua za usalama.

TUKO SWAHILI NEWS

Bomet: Afisa wa Kliniki Akamatwa Akimdhulumu Kingono Mama Mjamzito Wakati wa Kumkagua

February 10, 2026 mjombazecoder

Polisi wa Bomet walimkamata afisa wa kliniki anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mwanamke mjamzito wakati wa kukaguliwa kimatibabu. Mwathiriwa alikimbizwa hospitali

TUKO SWAHILI NEWS

Bungoma Goliath afanya amani na Oga Obinna mwaka baada ya YouTuber “Kumdhalilisha”

February 10, 2026 mjombazecoder

Goliath wa Bungoma amerekebisha uhusiano uliochacha na YouTuber Oga Obinna baada ya mwaka, walitafakari kuhusu maisha yao ya zamani na walipofikia sasa.

HABARILEO

NEMC yakifunga kiwanda cha HOOTA

February 10, 2026 mjombazecoder

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limekifunga kiwanda cha urejelezaji wa taka za plastiki cha HOOTA kilichopo Kata ya Vikindu mkoani Pwani kutokana na kutekeleza shughuli…

ASTV TANZANIA

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Evalist iliyopo kata ya Nyarugusu pamoja na Shule ya Sekondari Lwamudasa wilayani Geit…

February 10, 2026 mjombazecoder

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Evalist iliyopo kata ya Nyarugusu pamoja na Shule ya Sekondari Lwamudasa wilayani Geita wameondokana na adha ya kutembea kwa miguu zaidi ya kilometa…

HABARILEO

Man Fongo kutetea haki za wanawake watoto

February 10, 2026 mjombazecoder

MSANII wa singeli Man Fongo ameweka wazi kuwa anaandaa nyimbo zenye ujumbe maalum wa kutetea haki za Wanawake na Watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. The post Man Fongo kutetea…

MWANANCHI

Guardiola atoa maneno ya vitisho

February 10, 2026 mjombazecoder

Pep Guardiola ameapa kuwa Manchester City itaendelea “kupumua shingoni mwa Arsenal” baada ya...

MWANANCHI

Tunda la ufundishaji bora ni ujifunzaji bora

February 10, 2026 mjombazecoder

Hivi karibuni Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ilizindua Mkakati wa Kisayansi wa...

HABARILEO

Sauti za Busara 2027 kufanyika Machi

February 10, 2026 mjombazecoder

TAMASHA la Sauti za Busara linalofanyika kila mwezi Februari kwa mwaka 2027 litafanyika mwezi Machi ili kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa kuwa Februari. Mwenyekiti wa Tamasha hilo,…

HABARILEO

Serikali yalipa deni trilioni 4/- PSSSF

February 10, 2026 mjombazecoder

SERIKALI imelipa madeni ya zaidi ya Sh trilioni 4.27 za watumishi yaliyokuwa yanadaiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF,…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Senegal: Watu Kumi na wawili wakamatwa kwa madai ya ushoga

February 10, 2026 mjombazecoder

Nchini Senegal, kesi inayohusisha ushoga na shutuma za kusambaza VVU kimakusudi imeibua hisia kali kwenye vyombo vya habari na kisheria. Wanaume kumi na wawili—wakiwemo watu wawili mashuhuri—wamekamatwa na polisi kwa…

TUKO SWAHILI NEWS

Mbunge wa Zamani Ahusishwa na Wizi wa Gari la Kaunti ya Murang’a

February 10, 2026 mjombazecoder

Mbunge wa zamani kutoka kaunti ya Murang'a anazuiliwa na polisi kufuatia kukamatwa kwake na maafisa wa DCI kuhusiana na wizi wa magari katika kaunti hiyo.

HABARILEO

Salif Keita ashindwa kutumbuiza Sauti za Busara

February 10, 2026 mjombazecoder

MWANAMUZIKI Mkongwe Salif Keita ameshindwa kufika Zanzibar na kutumbuiza katika Tamasha la Sauti za Busara 2026 kutokana na kuugua. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa tamasha hilo, Journey…

MWANANCHI

Ronaldo amaliza mgomo Al-Nassr

February 10, 2026 mjombazecoder

Cristiano Ronaldo amemaliza mgomo wake ndani ya Klabu ya Al-Nassr baada ya uongozi wa timu hiyo...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Félix Tshisekedi akutana na Joao Lourenço na Faure Gnassingbe nchini Angola

February 10, 2026 mjombazecoder

Rais wa Kongo amefanya ziara katika mji mkuu wa Angola, Luanda siku ya Jumatatu, Februari 9, ambapo alijadili mgogoro unaoigawanya mashariki mwa DRC na wenzake wa Angola na Togo. Wakati…

HABARILEO

Nchimbi ahimiza mambo 3 ushirikiano vyuo, waajiri

February 10, 2026 mjombazecoder

MAKAMU wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza mambo matatu ili kuhakikisha mpango wa ushirikiano kati ya vyuo na viwanda unatekelezwa kwa tija. Dk Nchimbi alitoa maagizo hayo wakati wa uzinduzi…

HABARILEO

Treni 5 SGR kubeba mizigo bandarini Dar kwa siku

February 10, 2026 mjombazecoder

SERIKALI imetaja mikakati ya kupunguza msongamano wa makasha ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ikiwemo kuongeza safari za Treni ya Kisasa (SGR) ya mizigo. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame…

ASTV TANZANIA

Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 10, 2026 kwenye

February 10, 2026 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 10, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Watu 12 wafariki katika tukio la kuporomoka kwa mgodi wa chuma karibu na Kolwezi

February 10, 2026 mjombazecoder

Chini ya wiki mbili tu baada ya maporomoko ya ardhi katika mgodi wa madini ya coltan wa Rubaya katika mkoa wa Kivu Kaskazini, janga lingine kama hilo lilitokea mwishoni mwa…

MWANANCHI

Wazazi wanapogeuza shule ‘madampo’ kubwaga watoto

February 10, 2026 mjombazecoder

Wakati shule zilianzishwa ili kutoa elimu ya kitaaluma kwa watoto, hali imebadilika hivi sasa.

HABARILEO

Thamani mifuko hifadhi ya jamii yafikia tril 24/-

February 10, 2026 mjombazecoder

SERIKALI imesema thamani ya mifuko ya hifadhi ya jamii imeongezeka kutoka Sh trilioni 10.43 mwaka 2020 hadi Sh trilioni 24.20 Desemba mwaka jana. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Sudan: UM walaani ‘janga la kibinadamu ambalo lingeweza kuepukika’ El-Fasher

February 10, 2026 mjombazecoder

Ukatili uliofanywa huko El-Fasher, Sudan, mwezi Oktoba mwaka uliyopita ni “janga la kibinadamu ambalo lingeweza kuepukika,” Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza siku ya Jumatatu,…

IDHAA YA DUNIA

Kenya yapinga usajili wa raia wake katika jeshi la Urusi

February 10, 2026 mjombazecoder

Kenya inasema kuwa itazungumza na Urusi kuhusu ripoti zinazoongezeka kuwa raia wake wanasajiliwa kupigana vita nchini Ukraine, ikielezea kitendo hicho kama kisichokubalika.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Kenya: Mamilioni ya watu wakabiliwa na njaa kutokana na ukame, mifugo imeangamia

February 10, 2026 mjombazecoder

Hali ya ukame imesababisha zaidi ya watu milioni 2 kukabiliwa na njaa katika sehemu za Kenya, huku jamii za wafugaji kaskazini mashariki zikiwa zimeathiriwa zaidi, kulingana na Umoja wa Mataifa…

IDHAA YA DUNIA

Utawala wa Iran hauwezi kuangushwa kwa shambulio la anga – Uturuki

February 10, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, alisema kuwa kwa maoni yake, serikali ya Iran “haitaangushwa kwa shambulio la anga, bali mfumo utadhoofishwa na huenda usiwe tena na…

MWANANCHI

Siri kufanikiwa mkakati wa KKK hii hapa

February 10, 2026 mjombazecoder

Mkakati huu si wa kawaida, bali ni wa aina yake kwa kuwa umejikita katika misingi ya kisayansi,...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Eritrea yafutilia mbali madai ya Ethiopia kuwa inahatarisha usalama wake

February 10, 2026 mjombazecoder

Eritrea imekanusha madai ya Ethiopia kuwa wanajeshi wake wapo katika nchi hiyo jirani, madai wanayosema ni ya uongo na yaliyotengezwa. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:59 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mkuu wa Operesheni za kikosi cha UM cha kulinda amani ziarani DRC kuthathmini hali ya amani

February 10, 2026 mjombazecoder

Mkuu wa Operesheni za kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani Pierre Lacroix, ameanza ziara ya siku tatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:53 Dakika…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Israel yaidhinisha hatua za kupanua mamlaka yake katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa

February 10, 2026 mjombazecoder

Baraza la Mawaziri nchini Israel, limepitisha hatua za kuchukua maeneo zaidi na kutawala katika Ukingo wa Magharibi inayokalia kimabavu. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:47 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…

MWANANCHI

Udhibiti bajaji, pikipiki za umeme ulivyo ‘kaa la moto’ kwa mamlaka-2

February 10, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Cristiano Ronaldo kusitisha mgomo wake Saudia

February 10, 2026 mjombazecoder

Cristiano Ronaldo anatazamiwa kurejea Saudi Arabia, mabadiliko katika chumba cha baraza la Barcelona huenda yakaamua iwapo Marcus Rashford atasalia Uhispania, na Zinedene Zidane huenda akarejea Real Madrid.

HABARI ZA KIPEKEE

Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya ‘kuabudu shetani’ ya watu mashuhuri wa Magharibi

February 10, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…

HABARI ZA KIPEKEE

Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya ‘kuabudu shetani’ ya watu muhimu wa Magharibi

February 10, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…

Posts pagination

1 … 73 74 75 … 643

Recent Posts

  • Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”
  • Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka
  • Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza
  • Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa
  • Kilifi: Mwanamume aliyemuua mkewe kwa sababu ya Instagram asukumwa jela miaka 30

Recent Comments

No comments to show.

Archives

  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

TUKO SWAHILI NEWS

Moses Wetang’ula atangaza rasmi kifo cha Mbunge Johanna Ng’eno: “Kwa masikitiko makubwa”

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Johanna Ngeno: Picha za kabla ya ajali za mbunge aliyekuwa ndani ya helikopta iliyoanguka zaibuka

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Nairobi: Mwanafunzi wa Gredi ya 9 asombwa na mafuriko akiwafuata wenzake kweenda kucheza

February 28, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Mashambulizi ya Israeli na Iran: Donald Trump aapa kuharibu silaha za Iran kabisa

February 28, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS