Waliowengi Baraza la Usalama la UN walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon
Idadi kubwa ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonyesha kutokuridhishwa kwao na kuongezeka kwa mashambulizi ya kijeshi ya Israel dhidi ya Lebanon. Wakati hayo yakijiri, Marekani…
Visa vya Ebola vimefika 300 nchini DR Congo huku maeneo zaidi ya afya yakiathirika
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imevuka 300 kufikia Jumatatu.
TZ makes strides in coral reef conservation under GEF project
KIBAHA: TANZANIA is making significant progress in efforts to protect its coral reefs from the impacts of climate change through a global initiative aimed at conserving marine ecosystems that are…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wa Serikali ya Kenya kuruhusu kuanzishwa kwa kituo cha karantini ya Ebola …
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wa Serikali ya Kenya kuruhusu kuanzishwa kwa kituo cha karantini ya Ebola katika kambi ya jeshi ya Laikipia Air Base, akisema hatua…
Collective investment schemes: Silent financial shift
DAR ES SALAAM: A QUIET financial revolution is unfolding in Tanzania. While much attention is often directed towards large infrastructure projects, business expansions, and economic reforms, another remarkable success story…
Raia watano wa Msumbiji wauawa katika ‘Mashambulizi ya Chuki’ nchini Afrika Kusini
Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa takriban raia wake watano wameuawa katika “mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni” nchini Afrika Kusini mwishoni mwa juma lililopita. Vifo hivyo vinaashiria kushadidia maandamano yanayoendelea…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….JUNI 02, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JUNI 02, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Tsunami lessons: Building Tanzania’s economic resilience today
DAR ES SALAAM: THE conflict between Iran and Israel may seem distant from Tanzania. It is taking place thousands of kilometres away, involving countries with different histories, interests and geopolitical…
Mpira wa Kombe la Dunia 2026 kuchajiwa kabla ya mechi
Zikiwa zimebaki siku tisa kabla ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika Marekani...
#HABARI: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Hanang’ mkoani Manyara kutokubali …
#HABARI: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Hanang' mkoani Manyara kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano ya vurugu yanayoweza kusababisha uharibifu wa mali za umma.…
Zero Tariffs: The larger test for China-Africa cooperation lies in capacity building
BEIJING: AMID profound adjustments in the global trade landscape and an accelerating technological revolution and industrial transformation, China-Africa economic and trade relations are entering a new lens of observation. Since…
Taifa Stars yatua Morocco na mashabiki wa Serengeti Boys
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', na baadhi ya wadau na mashabiki wa soka nchini...
Emmanuela aibuka na ushindi wa 93.5% Isimani
IRINGA: Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, ameibuka mshindi kwa ushindi wa kishindo baada ya kupata kura 70,905, sawa…
Ruto avunja ukimya kuhusu kituo cha karantini ya Ebola Kenya, afunguka yote waliyosema na Trump
Rais William Ruto ametetea karantini ya Ebola kaunti ya Laikipia, akisisitiza kinafadhiliwa na Marekani na kukosoa siasa zinazopigwa kuhusu afya ya umma.
Huyu hapa mrithi wa Lukuvi Ismani
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Mtatifikolo...
Isles sets ambitious digital agenda with 53.39bn/- ICT budget
ZANZIBAR: ZANZIBAR is stepping up efforts to accelerate economic growth through digital transformation, with a strong focus on communication, information technology and innovation in the 2026/2027 financial year. Presenting a…
Vision 2050, from planning to performance
DAR ES SALAAM: THE endorsement of four key implementation frameworks for Tanzania’s Vision 2050 marks an important transition from aspiration to action. As the country prepares to officially launch the…
Tabora emerging as leader in historical, forest eco-tourism
TABORA: MINISTRY of Natural Resources and Tourism under the Department of Antiquities, plans to clearly identify and promote historical tourist attractions in the Tabora Region, including the Dr David Livingstone…
Utumishi Girls: Washukiwa wafichua sababu 3 zilizowachochea wakachoma bweni la shule
Kwa mujibu wa uongozi wa shule, wanafunzi wa kidato cha tatu huenda kulala saa 9:35 usiku huku wenzao wa kidato cha nne wakimaliza maandalizi yao ya jioni saa 10:45.
Women’s groups secure 136bn/- in 10pc loans
DODOMA: WOMEN’S empowerment groups across the country have secured a staggering 136.01bn/- under the government’s 10 per cent local government loan scheme over a 21-month period, smashing the state’s original…
Kafulila kuongoza mhadhara sekta ya umma, binafsi
DODOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, David Kafulila, anatarajiwa kuwa na Mhadhara Maalum wa Umma Chuo Kikuu cha Dodoma kesho ukijikita katika nafasi ya ubia kati ya Sekta ya Umma…
Government coordinates 1.8tri/- financing for small traders
DODOMA: MINISTRY of Community Development, Gender, Women and Special Groups has coordinated the disbursement of loans worth 1.8tri/- to small-scale traders across the country between July 2025 and April 2026…
PSG yaiwekea Arsenal mitego kumnasa ‘left winger’ wake matata Gabriel Martinelli
Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa PSG wameonyesha nia kubwa ya kusajili Gabriel Martinelli wa Arsenal, huku kocha Luis Enrique akijiandaa kwa msimu ujao.
TIGF powers Tanzania’s 16.6tri/- investment pipeline
ARUSHA: THE Tanzania Investment Growth Facility (TIGF) has been positioned as a central platform to prepare bankable projects and connect development opportunities with both domestic and international capital, as the…
Kiswahili hazina ya Tanzania
WAKATI mataifa mengi duniani yakitafuta njia za kukuza uchumi, kuimarisha diplomasia na kuunganisha wananchi wake, Tanzania inaendelea kunufaika na hazina kubwa ya lugha ya Kiswahili ambayo sasa imekuwa alama ya…
Mwanafunzi Utumishi Girls’ awalaani wenzake waliowasha moto wa mauti shuleni, awafariji waliofiwa
Joy Wanjiku aliyenusurika mkasa wa moto Utumishi Girls' amewalaani wanafunzi wenzake wanaoshukiwa kusababisha moto wa mauti shuleni na kutaka haki itendeke.
Subra Yavuta Heri baada ya Miaka 63: Wajir Yangia Katika Historia kwa Kuandaa Madaraka Dei
Miaka 63 baada ya uhuru, Wajir iliandaa Madaraka Day kwa mara ya kwanza huku Ruto akizawadiwa ngamia 100 na kuupa uwanja mpya jina la Ahmed Khalif.
Samia set for historic Russia visit
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to undertake a state visit to Russia from tomorrow to Friday at the invitation of President Vladimir Putin. According to a…
Magazeti ya Kenya: Ruto abadilisha karata kuhusu uchaguzi mkuu 2027, aamua kuwapuuza ‘Kingpins’
Magazeti yanaangazia mageuzi ya elimu ya Ruto, utata wa vituo vya Ebola, maendeleo makubwa ya miundombinu, na mabadiliko ya mienendo ya kisiasa kabla ya 2027.
Michuano ya U17 AFCON yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kuchezwa
Michuano ya U17 AFCON yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kuchezwa Serengeti Boys watakipiga na Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports2HD. Tunasema…
Ethiopia: Baadhi ya maeneo yakosa kupiga kura kwa hofu ya usalama
Zoezi la upigaji kura kwenye baadhi ya maeneo ya Oromia na Amhara nchini Ethipia, liliahirishwa kutokana na hofu za kiusalama, hata hivyo misururu mirefu ya wapiga kura ilionekana kwenye miji…
Sababu, kifo cha msanii Zay B
Wasanii wa muziki Tanzania, wameelezea kushtushwa na kifo cha msanii mkongwe wa Hip Hop na...
Wewe ni mwanamke mnene au mwembamba Vaa hivi upendeze
Wanawake bwana, wana mambo yao mengi sana hasa kwenye suala la mavazi. Utakuta mwingine anavaa...
Mapitio ya #MAGAZETI leo juni 2, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo juni 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
AFCON U-17: Tanzania kupoza machungu ya Oktoba 29 leo?
Fainali ya Tanzania vs Senegal inakuja katika kipindi ambacho taifa bado linaendelea kutafakari na kuponya majeraha yaliyoachwa na matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Kenya Met Yatangaza Kuhusu Hali ya Hewa, Yaorodhesha Kaunti Zitakazopokea Mvua Katika Siku 30 Zijazo
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya yaonya kuhusu mvua kubwa katika kaunti kadhaa mwezi huu wa Juni, huku hali tofauti zikitarajiwa kote nchini ikiwemo Nairobi
Kenya Met Yatangaza Kuhusu Hali ya Hewa, Yaorodhesha Kaunti Zitakazopokea MvuaKatika Siku 30 Zijazo
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya yaonya kuhusu mvua kubwa katika kaunti kadhaa mwezi huu wa Juni, huku hali tofauti zikitarajiwa kote nchini ikiwemo Nairobi
BMH Specialist team camps in Masasi as it honours Benjamin Mkapa’s healthcare vision
MASASI: OVER 500 residents in Masasi District, Mtwara Region have been targeted by the medical outreach programme aiming at upholding the former President Benjamin Mkapa’s legacy on extending specialist medical…
Bowen: Trump anataka vita viishe lakini Iran haitaki kurudi nyuma
Marekani na Iran zote zimeashiria kwamba hazingependelea kurejea kwenye vita ambavyo vimesitishwa tangu kutangazwa kwa usitishaji mapigano tarehe 8 Aprili
Senegal: Rais Faye atangaza serikali mpya
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, hapo jana alitangaza kuunda serikali mpya iliyohusisha wandani wake na baadhi kutoka chama cha aliyekuwa waziri mkuu wake Osumane Sonko, ambaye amesema wanachama wake…
Kilichobainika baada ya uchunguzi Mradi wa Nyengedi – 2
Lindi/Mtwara. Nyuma ya uzio unaozunguka Mradi wa Nyengedi, kuna simulizi za wananchi...
LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa
Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), amefariki Dunia Mei 30...
Mwisho wa enzi za Mususa
Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), amefariki Dunia Mei 30...
Jumanne tarehe Pili Juni mwaka 2026
Leo ni Jumanne tarehe 16 Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe Pili Juni 2026.
Qalibaf: Marekani ni lazima ilipe gharama za jinai za Israel Lebanon
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf ameilaani Marekani kwa kuhusika katika mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon na kueleza kuwa…
IRGC yapiga kambi ya anga ya Marekani iliyohusishwa na shambulio dhidi ya mnara wa mawasiliano kusini mwa Iran
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema limefanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya kambi ya anga iliyotumiwa na Marekani kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya…