Iran kuokoa dola milioni 30 kwa kujizalishia aina 63 za dawa
Iran imezindua bidhaa mpya 63 za dawa zinazozalishwa ndani ya nchi—ikiwa ni pamoja na fomula 19 zinazozalishwa kwa mara ya kwanza hapa nchini—hatua inayotarajiwa kuifanya nchi hiyi iokoe kati ya…
UNICEF: Israel imeuwa watoto 37 wa Kipalestina katika mashambulizi Gaza mwaka huu
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeeleza kuwa watoto wa Kipalestinan wasiopungua 37wameuawa katika mashambuliiz ya Israel huko Gaza tangu kuanza mwaka huu wa 2026.
Afrika Kusini kuondoa wanajeshi wake katika kikosi cha kulinda amani cha UN, nchini Kongo
Afrika Kusini imesema kuwa itaondoa wanajeshi wake 700 waliokuwa wakihudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
Araqchi: Iran haiogopi kutumwa wanajeshi wa upande mwingine katika kanda hii
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu haiogopi vitisho vya kijeshi, akisema: "Iran ni nchi nchi inayofuata diplomasia na mantiki, na wakati huo huo iko…
Saad Kawemba aula Mbeya Kwanza
KLABU ya Mbeya Kwanza imefikia makubaliano ya kumuajiri, Saad Kawemba ili awe Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) baada ya pande mbili kufikia uamuzi huo, ikiwa ni pendekezo la mmiliki wa kikosi…
Mohamed Kijuso atangaza vita mpya mapema
KOCHA msaidizi wa Bigman FC, Mohamed Kijuso, amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kumaliza nafasi nne za juu, licha ya ushindani mkubwa uliopo hasa katika mechi za mzunguko…
Hatari ya kuwa mwanahabari ukiwa Urusi – Steve Rosenberg
Filamu ya BBC Panorama, inaangazia maisha ya wanahabari wa BBC mjini Moscow wakati ambapo Ikulu ya Kremlin inaendeleza vita vyake nchini Ukraine.
Majeraha yamtibulia Kapera Polisi Tanzania
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera, amejiweka kando na kikosi hicho, licha ya hivi karibuni kuanza mazoezi na timu hiyo, baada ya kusumbuliwa na jeraha la goti…
Maandalizi ufunguzi Soko Kuu Kariakoo yaridhisha
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo,…
Challe alia ufinyu wa kikosi KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema sababu ya timu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ni kutokana na ufinyu wa kikosi kilichopo, kwa sababu wachezaji wengi wanacheza maeneo…
Vijana wa UVCCM Kinondoni watakiwa kujiendeleza kielimu
Mbunge wa Kawe, Geofrey Timoth amewataka wajumbe wa Baraza la Kikanuni la Umoja wa Vijana wa...
Waziri wa Habari wa Somalia: Hatutaruhusu Israel kutumia ardhi yetu kuwatishia majirani
Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa Somalia, Daud Aweys Jama, amesema kwamba nchi yake imethibitisha mara kwa mara msimamo wake wa kupinga na kulaani ukiukaji wa wazi wa Israel…
Guardiola na kibarua kigumu Anfield
Timu pekee zilizotwaa taji la Ligi Kuu England katika misimu minane iliyopita zitakutana...
Tanzania, Uganda zafungua ukurasa mpya uchumi
TANZANIA na Uganda zimefungua ukurasa mpya wa kiuchumi huku zikisisitiza haja ya kuondoa vikwazo vya kiuchumi vinavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya kikanda. Hayo ni miongoni mwa masuala manane yaliyozungumzwa na…
Sita wanusurika kifo baada ya kupigwa radi
TABORA: WATU sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa…
Nchimbi awakumbusha viongozi wa dini wajibu kuombea taifa
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea taifa kama ambavyo Biblia Takatifu ilivyoelekeza. Dk Nchimbi aliyasema hayo wakati wa hafla…
Mamia wajitokeza ufunguzi wa Soko la Kariakoo
Mamia ya wafanyabiashara na wananchi wamejitokeza kushuhudia ufunguzi wa Soko la Kariakoo...
Bundesliga leo Jumapili
Bundesliga leo Jumapili Saa 1:30 usiku, Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena wakiwakaribisha Hoffenheim . Je, Hoffenheim ataweza msimamisha Bayern nyumbani kwake? Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. @bundesliga @fcbayern
Ofisi chimbo sahihi la kunasa mwenza maishani?
Kwa kawaida binadamu hujenga urafiki au uhusiano wa kimapenzi na watu wanaowaona mara kwa mara.
Moses Kuria asusia hafla muhimu ya kaka yake, maswali yaibuka kuhusu alikokuwa
Rigathi Gachagua alihudhuria mazungumzo ya mahari ya Aloise Kinyanjui, akiibua maswali kuhusu kutokuwepo kwa Moses Kuria na ushindani wao wa kisiasa uliokuwa mgumu.
Madhila ya ndoa za wenza chotara
Leo, tutaongelea ndoa za watu wa rangi mbili tofauti maarufu Kiingereza kwa jina la...
Kwanini muhimu kumpeleka mtoto kwa bibi na babu
Dhana ya kuwapeleka watoto kuishi au kumtembelea bibi na babu imeanza kupungua, licha ya kuwa...
Migogoro ya kihaiba na athari zake kazini, jamii
Migogoro ya kihaiba si laana, bali ni matokeo ya tofauti za kibinadamu.
Wakenya 2 Zaidi ambao ni mamluki wa Urusi wauawa katika vita Ukraine, watambuliwa
Wakenya wawili ambao ni mamluki wa Urusi nchini Ukraine wameuawa huko Lyman. Tukio hilo linafichua mbinu chafu za kuajiri zinazotumiwa na vikosi vya Urusi.
Dennis Ombwori: Familia ya Mkenya aliyeuawa katika vita kati ya Urusi na Ukraine yazungumza
Familia moja huko Kisii ilimwomboleza Dennis Bagaka Ombwori, ambaye alitafuta kazi Qatar lakini akafa akipigana Urusi katika vita vyao na Ukraine.
Iran yasisitiza kuwa itavishambulia vituo vya kijeshi vya Marekani, si ardhi za nchi jirani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameonya kwamba, iwapo Marekani itashambulia Iran, vituo vya kijeshi vya nchi hiyo katika eneo la Asia…
Gaidi aliyefunzwa na Mossad kuendesha ‘vita vya mitaani’ aangamizwa na vikosi vya intelijensia vya Iran
Sadeq Ashtari, kiongozi wa genge la kigaidi aliyepewa mafunzo na shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel Mossad kwa ajili ya kuendesha "vita vya mitaani" ameangamizwa katika mapigano…
Italia yasema haiwezi kujiunga na ‘Bodi ya Amani’ ya Trump, sababu ni kukinzana na katiba yake
Italia imesema haiwezi kujiunga na kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Rais wa Marekani Donald Trump kutokana na "mpaka wa kikatiba" ukiwa ni mkwamo mpya na wa karibuni zaidi kukikabili "chombo…
Katibu Mkuu wa UN alaani vikali kushadidi machafuko Sudan Kusini, ataka mapigano yasitishwe
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali kushadidi kwa machafuko na mapigano nchini Sudan Kusini, ambako watu wapatao milioni 10, wakiwa ni zaidi ya theluthi mbili ya…
Maelfu ya Wairaqi wajiandikisha kuingia vitani kuisaidia Iran endapo itashambuliwa na Marekani
Maelfu ya Wairaqi wamesaini hati ya ahadi ya kusaidia kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo itashambuliwa kijeshi na Marekani.
Kisumu: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno apatikana amekufa chumbani kwake
Kifo cha Dorcah Mogaka katika Chuo Kikuu cha Maseno kilizua maswali ya dharura kuhusu usalama wa wanafunzi na afya ya akili, na kuacha familia na masikitiko makubwa.
Unavyoweza kuishi na mwenza kisirani
Kukabiliana na mwenza kisirani kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
ONGEA NA AUNT BETTIE: Namtamani dada wa kazi mpaka nakosa raha
Anti usinifikirie vibaya, nalazimika kulisema hili ili nipate msaada naomba unistahi. Nina...
Wajapani wanapiga kura katika uchaguzi ulioitishwa ghafla na Waziri Mkuu Takaichi
Mamilioni nchini Japani wanapiga kura katika uchaguzi wa ghafla ulioitishwa na Waziri Mkuu Sanae Takaichi, ambaye muungano wake unatabiriwa kupata ushindi mkubwa.
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV inaendelea leo Jumapili
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV inaendelea leo Jumapili Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #SisiNiSoka #Azamtvsports #NBCPL #CAFCC
MAHUBIRI: Unaposaidia mhitaji, unagusa moyo wa Mungu
Bwana Yesu apewe sifa mtu wa Mungu, nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo aliye hai. Ni imani...
NAHUBIRI: Unaposaidia mhitaji, unagusa moyo wa Mungu
Bwana Yesu apewe sifa mtu wa Mungu, nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo aliye hai. Ni imani...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatutafanya mazungumzo kuhusu makombora yetu, si sasa wala baadaye
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza kwamba Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake, kwa sababu maudhui hiyo inahusu masuala ya ulinzi…
Tanzania, Uganda kuanza kuuza mafuta ghafi Julai mwaka huu
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema mafuta ghafi yatakayopita katika Mradi wa Bomba la Mafuta (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, Tanzania yataanza kusafirishwa kwenda…
Waziri wa Fedha wa US akiri hadharani: Tulisababisha uhaba wa dola ndani ya Iran ili kuchochea machafuko
Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Kenneth Homer Bessent amekiri kuwa, Washington ilisababisha uhaba wa sarafu ya dola ya nchi hiyo ndani ya Iran, hatua ambayo ilisababisha kushuka kwa kasi…
Shambulio la droni la RSF laua watu 24 wakiwemo watoto 8 Kordofan Kaskazini, Sudan
Shambulio la ndege zisizo na rubani la Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF lililolenga gari lililobeba familia za raia wa Sudan waliolazimika kuyahama makazi yao limeua watu wasiopungua 24, wakiwemo…
Akademia ya Geneva: Waliofariki Ghaza wanakaribia 200,000, watu wamepungua kwa 10%
Stuart Casey Maslen, mkuu wa Akademia ya Geneva ya Sheria za Kimataifa za Kibinadamu na Haki za Binadamu amesema, tangu Oktoba 2023 hadi sasa, idadi ya watu huko Ghaza imepungua…
Akademia ya Geneva: Waliofariki Ghaza wanakaribia laki mbili kwa sababu idadi ya watu imepungua kwa 10%
Stuart Casey Maslen, mkuu wa Akademia ya Geneva ya Sheria za Kimataifa za Kibinadamu na Haki za Binadamu amesema, tangu Oktoba 2023 hadi sasa, idadi ya watu huko Ghaza imepungua…
Wimbi jipya la vikwazo dhidi ya Iran; Trump awalenga washirika wa kibiashara wa Iran
Trump amesaini dikrii kwa ajili ya kuwatoza ushuru washirika wa kibiashara wa Iran.
Jumapili, 08 Februari, 2026
Leo ni Jumapili 19 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 8 Februari 2026 Miladia.
UN rights chief optimistic on TZ’s handling of challenges
GENEVA: THE United Nations High Commissioner for Human Rights, Mr Volker Türk, has expressed confidence in Tanzania’s ability to address recent challenges constructively, praising the government’s commitment to dialogue, reconciliation…
Yanga yapoteza ugenini, hesabu za robo fainali zipo hivi
IKICHEZA ugenini kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Yanga imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa AS FAR Rabat katika mechi ya tano ya kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa…
Yanga kugumu Morocco
MOROCCO; UNAWEZA ukakubali ni kweli mpira wa miguu huwa kuna wakati unaendana na bahati. Pengine ndivyo unavyoweza kusema baada mchezo wa AS FAR Rabat ya Morocco na Yanga ya Tanzania…