MSIMAMO: Pamba Jiji yatua nafasi ya tatu kutoka nafasi ya tano
MSIMAMO: Pamba Jiji yatua nafasi ya tatu kutoka nafasi ya tano. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
Fidan wa Uturuki akutana na Kamishna wa Maswala ya Wanachama wa EU, kujadili masuala ya ushirikiano
Pande zote mbili zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha uratibu katika masuala ya usalama na muunganisho wa kikanda katika maeneo ya Bahari Nyeusi, Caucasus Kusini na Asia ya Kati, ikiwemo nishati, usafirishaji,…
Kongo yawakubali wahamiaji wanaorejea kutoka Uingereza
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekubali kuwapokea wahamiaji walioingia Uingereza bila vibali stahiki baada ya waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo Shabana Mahmood kutishia kuzuia utoaji wa visa…
NBCPL: Kila timu imeondoka na alama moja
NBCPL: Kila timu imeondoka na alama moja. FT: Tanzania Prisons 0-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
NBCPL: Kila timu imeondoka na alama moja
NBCPL: Kila timu imeondoka na alama moja. FT: Tanzania Prisons 0-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
Mahakama ya Rufaa yaregesha Sheria ya NG-CDF, yatengua uamuzi wa Mahakama Kuu
Mahakama ya Rufaa imerejesha Sheria ya NG-CDF, 2015, imebatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu. Majaji waliangazia mno makosa katika uchambuzi wa katiba.
Kinachomleta Museveni Tanzania kesho hiki hapa
Yoweri Museveni anakuwa kiongozi wa kwanza wa kimataifa kufanya ziara yake Tanzania baada ya...
NBCPL: Bado hakuna goli
NBCPL: Bado hakuna goli 65’: Prisons 0-0 Mashujaa FC LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
NBCPL: Bado hakuna goli
NBCPL: Bado hakuna goli 65’: Prisons 0-0 Mashujaa FC LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
Urusi yaituhumu Ukraine kwa jaribio la kumuua jenerali wake
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema Ijumaa kuwa Umoja wa Ulaya uko tayari kufanya mazungumzo na Urusi katika juhudi za kuvimaliza vita nchini Ukraine.
Kule Championship msako Ligi Kuu Bara unaendelea
RAUNDI ya 17 ya lala salama ya Ligi ya Championship inaendelea tena Jumamosi hii kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea Jumapili, huku kila timu ikipambana kwa…
Super Bowl ya mwaka huu imegubikwa na mgawanyiko
Mchezo wa fainali wa Ligi ya Mpira wa Miguu Marekani (NFL) wa Super Bowl mwaka huu, unazikutanisha Seattle Seahawks na New England Patriots.
Pamba Jiji Kirumba yaichapa Coastal Union 3-0
Baada ya kupoteza michezo miwili ya ugenini, leo Pamba Jiji imerudi nyumbani kwa kishindo baada ya kuichapa Coastal Union kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhid…
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhidi ya Arsenal pale Wembley Mchi 22, 2026. Mchambuzi @sharif_bayona…
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhid…
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhidi ya Arsenal pale Wembley Mchi 22, 2026. Mchambuzi @sharif_bayona…
Wananchi Iringa wakumbushwa kuthamini bidhaa za asili, utamaduni
Wakati vijana wengi nchini wakikabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ajira, kundi la vijana...
Olimpiki ya majira ya baridi 2026 yaanza huko Italia
Michuano ya Olimpiki ya majira ya baridi 2026, imefunguliwa rasmi Februari 6-22 katika miji miwili ya Italia ya Milan-Cortina. Programu ya michezo hiyo iliyopewa jina la Milan-Cortina tayari imeanza siku…
Kakama kutathmini mafanikio miaka 10 ya Kiswahili Jumuiya ya Afrika Mashariki Zanzibar
Wanajumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya...
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union. Ni Shassiri Nahimana ambaye ameweka kambani magoli mawili kabla ya Mathew Momanyi kufunga la tatu. FT: Pamba Jiji 3-0…
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union. Ni Shassiri Nahimana ambaye ameweka kambani magoli mawili kabla ya Mathew Momanyi kufunga la tatu. FT: Pamba Jiji 3-0…
Gnabry arefusha mkataba wake na Bayern hadi 2028
Gnabry mwenye umri wa miaka 30, alijiunga na miamba hao wa Bavaria tangu mwaka 2017 baada ya kupita katika vikosi kadhaa ikiwemo Arsenal, West Brom na Werder Bremen.
Zungu apigia chapuo utalii wa dini, wadau wasema…
Spika wa Bunge, Mussa Zungu, amewataka viongozi wa Serikali wakae na kujadiliana namna ya...
Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya Iran na Marekani yafanyika Muscat
Wawakilishi wa Iran na Marekani leo wamefanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja mjini Muscat, Oman kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa Iran na kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi…
NBCPL: Mchezo umetamatika katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza
NBCPL: Mchezo umetamatika katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza Shassiri Nahimana na Mathew Momanyi wakibakisha alama zote tatu nyumbani. Pamba Jiji 3-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD Saa 10:15 ni Prisons…
Jose Mourinho: Kocha mahiri ”The Special One”
‘The Special One’ ni mmoja tu duniani. Huyu si mwingine, ni Jose Mourinho.
Sh11 bilioni zatengwa kupambana na ukeketaji, mimba za utotoni Arusha, Morogoro
Wakati ukeketaji kwa wasichana ukitajwa kuwa janga kwenye baadhi ya mikoa nchini Tanzania...
Maisha ya wakimbizi katika kambi ya Thobo nchini Sudan
Katika kambi ya Thobo, watoto na wanawake waliokimbia vita na njaa wameishi mwaka mzima bila msaada, wakiwa wamenaswa na kufungiwa nje ya dunia. Lakini licha ya njaa, vita na kukata…
NBCPL: Shassiri Nahimana wa Pamba Jiji ameshaweka chuma mbili nyavuni
NBCPL: Shassiri Nahimana wa Pamba Jiji ameshaweka chuma mbili nyavuni. 85’: Pamba Jiji 2-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD Saa 10:15 ni Prisons dhidi ya Mashujaa FC. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
KUTOKA ANGOLA: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steven Barker na mchezaji Neo Maema wamezungumzia maandalizi ya mchezo wao wa kesho wa Li…
KUTOKA ANGOLA: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steven Barker na mchezaji Neo Maema wamezungumzia maandalizi ya mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya wenyeji wao…
Madhara ya kukaa muda mrefu bila kusimama
Je, wewe ni dereva, mfanyakazi wa ofisini au mtu ambaye kazi yake inakufanya ukae muda mrefu bila kusimama Kama ndivyo, fahamu kuwa kukaa muda mrefu bila kusimama ni kitisho kikubwa…
Kampuni 408 za Tanzania zimepata usajili wa mamlaka kuu ya forodha ya Jamhuri ya Watu wa China na kuruhusiwa kusafirisha mazao y…
Kampuni 408 za Tanzania zimepata usajili wa mamlaka kuu ya forodha ya Jamhuri ya Watu wa China na kuruhusiwa kusafirisha mazao ya kilimo kwenda nchini humo, ikiwa ni sehemu ya…
Rais Samia kuzindua Soko la Kariakoo Februari 8
Chalamila amesema Rais Samia atawasili mkoani Dar es Salaam Jumapili saa mbili asubuhi kwa...
Kwa nini China inalenga kuibadilisha Dola kwa Renminbi (Yuan) katika kiwango cha kimataifa
Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito wa kuifanya Renminbi (Yuan), sarafu ya taifa hilo, kuwa sarafu ya akiba ya dunia.
NBCPL: Bado hakuna mbabe
NBCPL: Bado hakuna mbabe. 65’: Pamba Jiji 0-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiVsCoastalUnion #CoastalUnion #PambaJiji
Kaya masikini 11,276 Geita kunufaika na bima ya afya bure
Serikali mkoani Geita imezindua mpango wa kitaifa wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya...
PRISONS vs MASHUJAA: Tazama hali ilivyo katika dimba la Sokoine jijini Mbeya wakati vikosi vya timu zote mbili vikiwasili kwa aj…
PRISONS vs MASHUJAA: Tazama hali ilivyo katika dimba la Sokoine jijini Mbeya wakati vikosi vya timu zote mbili vikiwasili kwa ajili ya mechi. Ni mechi ya NBC Premier League ambayo…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: ‘Pepe’ anafunguka namna alivyojipanga kuelekea kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo z…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: 'Pepe' anafunguka namna alivyojipanga kuelekea kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo zilikuwa ni upepo tu. Uhondo unaanza kesho Februari 7. Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na…
AZAM FC vs AS MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Himid Mao Mkami awaita Watanzania bara na visiwani kuujaza uwanja wa New Amaan Co…
AZAM FC vs AS MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Himid Mao Mkami awaita Watanzania bara na visiwani kuujaza uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao…
Pinda: Vijana wahusishwe kampeni ya upandaji wa miti
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameshauri kampeni ya upandaji miti mkoani Dodoma iyahusishe...
Wakulima wengi nchini Tanzania wanakabiliana na changamoto ya kutumia teknolojia ya kisasa katika kilimo, jambo linalosababisha …
Wakulima wengi nchini Tanzania wanakabiliana na changamoto ya kutumia teknolojia ya kisasa katika kilimo, jambo linalosababisha uzalishaji mdogo na kupoteza fursa za kibiashara. Mkurugenzi wa TUKUTECH Company anasema changamoto hii…
NBCPL: Hakuna mbabe kwenye dakika 45 za kipindi cha kwanza
NBCPL: Hakuna mbabe kwenye dakika 45 za kipindi cha kwanza. Pamba Jiji 0-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiVsCoastalUnion #CoastalUnion #PambaJiji
AU: Shambulizi la M23 kwenye uwanja wa ndege ni ‘tukio la kigaidi’
Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”.
UN: Hofu inaendelea kuhusu taarifa za Israel kunyunyizia kemikali katika mstari wa Bluu Lebanon
Leo Umoja wa Mataifa umerejea tena kuonesha wasiwasi wake kufuatia taarifa kwamba majeshi ya Israel tarehe Mosi Februari yalinyunyiza dawa ya kuua mimea yenye sumu kali katika maeneo yaliyo kaskazini…
WFP yagawa msaada wa chakula cha kuokoa maisha mpakani mwa CAR na Sudan
Katika mpaka kati ya Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, na Sudan, maelfu ya familia waliokimbia makazi yao kutokana na vurugu wanapokea msaada wa chakula unaookoa maisha kutoka kwa Shirika…
Njiapanda ya matumaini na machungu, familia Gaza zinatafuta wapendwa wao kwa kuangalia picha za miili
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel, wiki hii, mamlaka za Israel zimewasilisha miili 54 pamoja na mifuko 66 iliyosheni mabaki ya viungo vya binadamu ya…