Mkasa Utumishi Girls’: DCI wawatambua wanafunzi 7 waliosababisha moto wa mauti shuleni
DCI yaripoti ufanisi katika uchunguzi wa moto wa Shule ya Wasichana ya Utumishi, ikitambua wanafunzi saba waliohusika katika tukio la kusikitisha lililowaua 16.
Matumaini mapya 150 wakipewa miguu bandia bure
Mapinduzi mapya ya yanatarajia kuanza visiwani Zanzibar kwa watu waliokatwa miguu kupatiwa...
Mwanasaikolojia Milton Tunge amesema kuwa mtu anayependa kazi au jambo analolifanya huwa na tabia ya kuheshimu muda, kutokana na…
Mwanasaikolojia Milton Tunge amesema kuwa mtu anayependa kazi au jambo analolifanya huwa na tabia ya kuheshimu muda, kutokana na hamu yake ya kuona kazi hiyo inakamilika kwa wakati. Amesema hali…
Mzee Tido, the elephant in newsrooms has finished the peanuts. It is now eating the furniture
DAR ES SALAAM: THERE is an old African belief that if a visitor stays long enough in your house, eventually he stops asking for permission before opening the refrigerator. The…
Media excellence awards highlight truth, accountability, democracy
DAR ES SALAAM: THE 16th Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT 2025), organised by the Media Council of Tanzania (MCT), once again underscored the indispensable role of journalists and media…
Media excellence awards highlight truth, accountability, democracy
DAR ES SALAAM: THE 16th Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT 2025), organised by the Media Council of Tanzania (MCT), once again underscored the indispensable role of journalists and media…
Zanzibar nears full immunisation coverage
ZANZIBAR: ZANZIBAR has achieved significant progress in immunisation, attaining an impressive 92 per cent vaccination coverage rate. However, authorities have called for intensified public education efforts to help achieve the…
Mshauri wa Ndoa na Maendeleo ya Kazi kwa Vijana, Angela Mutashobya, amesema ndoa nyingi za vijana kwa sasa zinakabiliwa na chang…
Mshauri wa Ndoa na Maendeleo ya Kazi kwa Vijana, Angela Mutashobya, amesema ndoa nyingi za vijana kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa zinazochangiwa na athari za utandawazi na kasi ya…
Mwanandoa Mrs
Mwanandoa Mrs. Joan Aron amesema kuwa maisha ya ndoa yana changamoto nyingi zinazohitaji uvumilivu, busara na ushirikiano ili ziweze kutatuliwa kwa mafanikio. Amesema wanandoa wanapaswa kutafuta njia sahihi za kukabiliana…
Mamia wakamatwa Ufaransa katika machafuko yaliyofutia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Maelfu ya maafisa walijaribu kudhibiti ghasia huku umati wa mashabiki - baadhi wakiwasha moto mitaani- kushangilia ushindi wa PSG dhidi ya Arsenal.
Drug trafficking networks face stronger national resistance
DAR ES SALAAM: FOR decades, the fight against illicit drugs has been one of the most complex challenges facing nations around the world. Drug trafficking networks adapt quickly, exploit new…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imeanza kutoa fursa kwa wauguzi wake kujiendeleza kielimu hadi ngazi za ubingwa, hatua in…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imeanza kutoa fursa kwa wauguzi wake kujiendeleza kielimu hadi ngazi za ubingwa, hatua inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Mkurugenzi wa hospitali…
Aliyekuwa Mwenyekiti Bodi ya MCL, Leonard Clement Mususa afariki dunia
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Charles Mususa amefariki dunia leo Jumamosi, Mei 30, 2026.
Mzee Zoa: Mwigizaji wa zamani wa Vitimbi afinywa na ukata, anaishi mitaani huku kipaji kikiozeana
Hapo awali alikuwa mwigizaji maarufu katika televisheni enzi hizo, kwa sasa Mzee Zoa hana makazi na amekuwa akiishi mitaani Nairobi baada ya umaarufu wake kufifia.
Zaidi ya shilingi bilioni 2.6 zinatarajiwa kukusanywa katika kampeni ya GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS mwaka 2026, …
Zaidi ya shilingi bilioni 2.6 zinatarajiwa kukusanywa katika kampeni ya GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS mwaka 2026, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI nchini. Kampeni hiyo…
Kamati yaipongeza TRA utendaji kazi mzuri
DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji kazi ambao unaiwezesha kuvuka malengo ya makusanyo ya kodi waliyowekewa na Serikali…
Kwa nini PSG watakabidhiwa tu kombe ‘feki’ la Ligi ya Mabingwa baada ya kuisakama Arsenal
Paris Saint-Germain walitetea taji lao la Ligi ya Mabingwa baada ya kuishinda Arsenal kwa mikwaju ya penalti. Fahamu sheria zinazohusu kombe la UEFA.
Responsible parenting remains society’s greatest investment
DAR ES SALAAM: THE rapid advancement of technology has created immense opportunities for learning, communication and economic growth. Yet, it has also introduced new challenges that demand greater attention from…
Vijana washauriwa kusoma masomo ya sanaa
DAR ES SALAAM: VIJANA wametakiwa kusoma masomo ya sanaa kwa kuwa ni nyenzo muhimu katika kuitangaza nchi, pamoja na kutoa ajira na kuongeza mahusiano na utamaduni wa nchi nyingine. Hayo…
Mashariki ya Kati: Israel yatangaza kupanua operesheni ya ardhini Lebanon
Jeshi la Israel limetangaza leo Jumapili, Mei 31, 2026, kwamba operesheni yake ya ardhini dhidi ya kundi la Hezbollah linalounga mkono Iran “inapanuka hadi maeneo mengine” baada ya wanajeshi wake…
Duale ajikung’uta taka asema kituo cha Ebola Laikipia kitasimamiwa na KDF, Wakenya pia watakitumia
Mipango ya Marekani kujenga kituo cha kuzuia kuenea kwa Ebola nchini Kenya inakabiliwa na upinzani kutoka kwa viongozi na raia Maambukizi yanaongezeka nchini DRC.
Nigeria: Wagombea wote wameteuliwa kwa uchaguzi mkuu wa 2027
Siku ya Jumamosi, Mei 30, 2026, ilikuwa siku ya mwisho ya kura za mchujo nchini Nigeria. Vyama mbalimbali sasa vimewateua wagombea wao wote kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Imechapishwa:…
Utumishi Girls’: Machozi huku majina na picha za wanafunzi walioangamia kwenye moto zikichapishwa
Wazazi waliomboleza wanafunzi 16 walioangamia kwa njia ya kusikitisha katika Utumishi Girls'. Walishiriki kumbukumbu zao na mabinti zao kabla ya mkasa huo.
Ofisi ya mwendesha mashtaka ya Antananarivo kuwashtaki majaji 4 wa Mahakama Kuu ya Katiba
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Antananarivo, nchini Madagascar, imeomba idhini ya kuwashtaki majaji wanne wa Mahakama Kuu ya Katiba kwa “njama ya kuhatarisha usalama wa taifa.” Utaratibu huu unakuja siku…
Tazama: Polisi walivyokabiliana na mashabiki wa PSG jijini Paris
Polisi nchni Ufaransa walirusha vitoa machozi kutawanya umati wa watu katikati mwa jiji la Paris.
Magazeti ya Kenya: Jinsi Wapelelezi Walivyowanasa Washukiwa Wanaodaiwa Kulipua Moto Utumishi Girls’
Ushahidi mpya unaonyesha wanafunzi wanane wa Utumishi Girls' wanahusishwa na uchomaji moto wa bweni uliowaua watu 16. Wapelelezi wanakusanya picha za CCTV.
‘Ndoa safari ya watu wanaojifunza kila siku’
Kujifunza kuishi pamoja kunahitaji muda, subira na unyenyekevu. Hakuna anayefuzu kikamilifu...
Industrial journey gathers pace in Bagamoyo
BAGAMOYO: THE transformation of the Bagamoyo Eco Maritime City as the heartbeat of the country’s industrialisation is in top gear with the Sinovest Industry Investment Limited expected to commence operations…
DRC: Kalemie inaendelea kupokea watu waliokimbia vita kutoka mikoa ya Kivu
Vita kati ya jeshi la Kongo na waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda inaendelea kusababisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao mashariki mwa DRC. Huko Kalemie, zaidi ya…
Wanaume waonywa kutelekeza watoto
DODOMA: Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga, amewataka wanaume nchini kuacha tabia ya kutelekeza watoto wenye ulemavu na…
Cleophas Malala ajitosa tena kwenye mng’ang’ane wa ugavana Kakamega baada ya kuchezewa ngware 2022
Cleophas Malala ameapa kurejesha ushindi wake anaodai uliibwa katika kinyang'anyiro cha ugavana wa Kakamega mwaka wa 2027 ili kupambana na Fernandes Barasa.
Senegal: Serikali mpya muhimu kwa uhusiano kati ya PASTEF na Bassirou Diomaye Faye
Baada ya kufukuzwa kazi kwa Ousmane Sonko siku ya Ijumaa, Mei 22, 2026 na kuteuliwa kwa mrithi wake Ahmadou Al Aminou Mohamed Lô kama Waziri Mkuu mpya wa Senegal, tangazo…
Market Research, Bitcoin, Ethereum and Betting
As per the market capitalization figures from TradingView, Bitcoin sits at $1.4 trillion with a...
Kwanini Trump anaishinikiza Uturuki kujiunga na Mkataba wa Abraham?
Moja ya vizingiti vikubwa vinavokabili uhusiano wa kidiplomasia kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu ni mtazamo wake dhidi ya Wapalestina.
Jinsi matumizi ya mabaya ya Saudi Arabia yalivyofikia kikomo
Mradi wa dira ya maendeleo ya 2030 wa MBS ulionekana kuwa hadithi za kisayansi. Sasa uhalisia ume
Anko Kitime: Tumerudi tulikotoka
Nimekuwa nikijihusisha na muziki wa majukwaani, maarufu kama muziki wa dansi, kwa namna moja...
Jumapili, 31 Mei, 2026
Leo ni Jumapili 14 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria sawa na 31 Mei 2026.
Kutafuna chakula vizuri kunaimarisha ubongo wako – Utafiti
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi…
Kutafuna chakula vizuri kunavyoimarisha afya ya ubongo wako
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi…
Kamati ya Bunge ya Bajeti yatoa tathmini utendaji kazi TRA
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda ameshukuru hatua ya Kamati ya Bunge kuzitembelea ofisi za...
Bunge la Iran kupigia kura mpango wa usimamizi wa Lango Bahari la Hormuz ‘hivi karibuni’
Bunge la Iran linatarajiwa kupitia na kuidhinisha sheria inayorasimisha usimamizi na mamlaka ya Jamhuri ya Kiislamu juu ya Mlango-Bahari wa Hormuz.
Utafiti: Wamarekani wengi wanasumbuliwa na njaa kuliko wakati wa janga la Covid-19
Utafiti wa Benki ya Hifadhi ya Shirikisho ya New York unaonyesha kwamba karibu 10% ya kaya zinaripoti kutokula chakula kutokana na kupanda kwa gharama na matatizo ya kifedha.
Uhaba wa dawa unavyotishia maisha ya wagonjwa nchini Sudan
Utafutaji wa dawa za binadamu nchini Sudan umegeuka kuwa maumivu ya kila siku yanayotishia maisha ya maelfu ya watu, huku kukiwa na uhaba mkubwa wa dawa muhimu na kuzagaa ovyo…