#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taari…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wito wa maandamano, na kueleza…
Kifo cha Msajili sababu kuahirishwa mapema kesi dhidi ya Lissu
Kifo cha Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Shinyanga, Asha Mwetindwa, kimesababisha...
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
MSHIKEMSHIKE: Pacome Zouzoua ni mchezaji wa kwanza kutoka NBC Premier League kuwa sehemu ya timu za taifa zilizofuzu Kombe la Du…
MSHIKEMSHIKE: Pacome Zouzoua ni mchezaji wa kwanza kutoka NBC Premier League kuwa sehemu ya timu za taifa zilizofuzu Kombe la Dunia 2026. Una ushauri gani kwa mchezaji huyo anayekipiga Yanga…
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo l…
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo la Kyabajwa, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, endapo atachaguliwa kuunda serikali…
Mnyarwanda kupewa majukumu mapya Dodoma Jiji
WAKATI Dodoma Jiji ikikaribia kumtambulisha, Amani Josiah, kukiongoza kikosi hicho, kwa sasa uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho za kumpa majukumu mapya, Vincent Mashami raia wa Rwanda,…
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam …
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said…
Mradi wa umeme jua kukamilika Desemba
Serikali imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme jua...
Maabara tano kupima vifaa vya umeme majumbani
Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia...
Wanne mbaroni wakituhumiwa kuendesha TV kinyume cha sheria
Jeshi hilo limewataka wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 bila hofu, likisisitiza...