Ufaransa yakabidhi fuvu la mfalme Toera
Ufaransa leo imerejesha nchini Madagascar mafuvu ya watu watatu waliouwawa wakati wa enzi za ukoloni. Miongoni mwa mafuvu yaliyorejeshwa ni la mtu anayeaminika alikuwa mfalme wa Madagascar aliyekatwa kichwa na…
Mawaziri wakuu wa Canada na Ubelgiji wakutana na Merz
Akihutubia mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari baada ya kukutana na kansela wa Ujerumani Friedrich Merz mjini Berlin, Carney amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa na fursa za malighafi na…
#HABARI: Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Bwana Salehe Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo wakati ak…
#HABARI: Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Bwana Salehe Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni. Akithibitisha kutokea…
Ushawishi wa muziki katika jamii
26.08.202526 Agosti 2025 Muziki una ushawishi mkubwa mno katika jamii – ni sauti iliyo na nguvu isiyoonekana na inayogusa mioyo ya watu, kubadilisha fikra na kuleta mabadiliko ya kijamii kwa…
Uchaguzi Tanzania 2025: Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania
Chanzo cha picha, Bunge Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 27 Juni 2025 Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Tangu Agosti 6, jeshi la Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 ya Mji wa Ghaza
Shirika la Ulinzi wa Raia la Palestina limetangaza kuwa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 katika vitongoji vya Zeitoun na Sabra katika Mji…
Iran yajadili masuala ya nyuklia na mataifa matatu ya Ulaya
Mataifa hayo ya E3 yalikuwa yametoa pendekezo la kuchelewesha utekelezaji wa mfumo huo unaojulikana kwa Kiingereza kama snapback mechanism iwapo Iran ingekubali masharti matatu: kuanza tena mazungumzo na Marekani, kuruhusu…
Waisraeli waandamana kushinikiza kumalizwa kwa vita Gaza
Waandamanaji hao walizuia barabara kadhaa katika mji wa Tel Aviv huku wakipeperusha bendera za Israel na picha za mateka. Baadhi yao walikusanyika karibu na Ubalozi wa Marekani huku wengine wakiandamana…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA: AGOSTI 26, 2025 – CHANGAMOTO YA CHEMBA YA MAJI TAKA YATATULIWA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA: AGOSTI 26, 2025 – CHANGAMOTO YA CHEMBA YA MAJI TAKA YATATULIWA
“Ndugu yangu Dkt
“Ndugu yangu Dkt. Khatibu Kazungu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, sio mgeni kweli hili umeshashika nafasi mbalimbali, nikuambie tu kwamba Dodoma sio tu Makao Makuu ya Nchi yetu bali…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fom…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fomu ya kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bariadi Vijijini…
UN: Mtu 1 kati ya wanne duniani hana maji salama ya kunywa
Umoja wa Mataifa umeonya leo kuwa zaidi ya watu bilioni mbili duniani kote bado wanakabiliwa na ukosefu wa upatikanaji wa maji ya kunywa yaliyo salama. UN imesema mtu mmoja kati…
Uchaguzi Tanzania 2025: Bunge lahitimishwa – Je, ‘No Reforms’ ya Chadema imezikwa rasmi?
Chanzo cha picha, Ikulu Maelezo ya picha, Rais Samia akihutubia kuhitimisha shughuli za bunge la 12, Juni 27, 2025 Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar…
Spoti, Agosti 25
Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia. BONYEZA…
Burkina Faso na Mali zakwepa mkutano wa ulinzi Nigeria
Mali, Burkinafaso na Niger, ambazo zote zipo chini ya uongozi wa kijeshi, zilijiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, mwezi Januari baada ya kuunda muungano wao wa pamojawa…
Ujerumani: Jeshi lina chembe chembe za siasa kali
Jeshi hilo pia limechukua hatua dhidi ya wanajeshi wengine sita walionesha mienendo ya siasa kali. Wizara ya ulinzi Ujerumani ambayo ilikuwa ikijibu maswali kwenye uchunguzi wa kamati ya bunge kutoka…
#HABARI: Miradi ya umeme inaendelea kuleta matokeo chanya nchini ambapo moja ya miradi hiyo ni Kinyerezi Complex, Vituo vya kuza…
#HABARI: Miradi ya umeme inaendelea kuleta matokeo chanya nchini ambapo moja ya miradi hiyo ni Kinyerezi Complex, Vituo vya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia vinavyozalisha hadi Megawati 575…
#HABARI: “Nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa kwamba wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wananchi, ili kuzifahamu kero zao na ku…
#HABARI: “Nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa kwamba wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wananchi, ili kuzifahamu kero zao na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na watendaji.” – Mhe.Samia Suluhu – Rais…
Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?
Chanzo cha picha, MITANDAO Maelezo kuhusu taarifa Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Kakulu Burchad Kakulu, amechukua fomu katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kwa ajili ya kuomba…
“Tunakushukuru kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi, umefanya kazi kubwa sana ya kukiunganisha Chama Cha Mapinduzi kipindi cha muda …
“Tunakushukuru kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi, umefanya kazi kubwa sana ya kukiunganisha Chama Cha Mapinduzi kipindi cha muda mfupi ambacho umefanya kazi kama Mwenezi wa chama” – Mhe.Samia Suluhu…
Jumanne, tarehe 26 Agosti, 2025
Leo ni Jumanne tarehe Pili Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na tarehe 26 Agosti 2025. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?
Chanzo cha picha, Dira 23 Julai 2025 Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Arusha mjini leo Agosti 26, 2025 alimpandisha j…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Arusha mjini leo Agosti 26, 2025 alimpandisha jukwaani mkewe na kumtambulisha kwa wana-Arusha. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania…
Pigo jingine kwa Mpango wa Abraham; Kwa nini Libya inapinga uhusiano wa kawaida na Israel?
Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imekataa nchi hiyo kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amech…
#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amechukua fomu INEC, ili kuanzakwa Kampeni za kugombea Ubunge katika Jimbo hilo…
Jinsi Taiwan inavyojiandaa na mashambulizi ya China
Maelezo kuhusu taarifa Author, Tessa Wong Nafasi, BBC Dakika 8 zilizopita Ilikuwa ni Ijumaa nyingine asubuhi kwenye kisiwa cha Taiwan cha Kinmen, kilomita chache kutoka pwani ya China, wakati king’ora…
Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki. BONYEZA HAPA USOME…
Khofu ya mafuriko yatanda Pakistan karibu na India
Pakistan imewahamisha maelfu ya watu na kuwapeleka maeneo salama baada ya nchi jirani ya India kufunguwa mabwawa yake yaliyofurika pamoja na mito na kuyaachia maji kumiminika kuelekea katika mikoa ya…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, ameonesha furaha wakat…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, ameonesha furaha wakati akielekea kuchukua fomu ya uteuzi, amesema alikuwa Benchi akisoma mchezo…
Nchi za Ulaya kujadili na Iran kuhusu mpango wa Nyuklia
Wajumbe kutoka mataifa ya Ulaya ya kile kinachojulikana kama E3 wanajiandaa leo Jumanne kwa mazungumzo ya dakika za mwisho pamoja na Iran mjini Geneva. Wajumbe kutoka Uingereza, Ufaransa na Ujerumani…
BurkinaFaso na Mali zasusia mkutano kuhusu ulinzi
Burkina Faso na Mali zimejizuia kutuma wawakilishi wake katika mkutano kuhusu masuala ya kijeshi barani Afrika unaoendelea nchini Nigeria. Mali na Burkinafaso zinazoongozwa na tawala za kijeshi bado hazina mahusiano…
🔴MEZAHURU: MOTISHA KWA WALIMU….AGOSTI 26, 2025
🔴MEZAHURU: MOTISHA KWA WALIMU….AGOSTI 26, 2025
Urusi yashambuliwa kwa droni na Ukraine
Viwanja kadhaa vya ndege nchini Urusi vimelazimika kusitisha shughuli zake nyingi usiku wa kuamkia leo kufuatia mashambulizi ya droni yaliyofanywa na Ukraine katika anga ya Urusi. Miongoni mwa viwanja vya…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Viongozi maarufu ‘walioasi’ na kuitikisa CCM
Maelezo kuhusu taarifa Author, Florian Kaijage Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 24 Julai 2025 Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi…
Umma wa Israel wapinga vita Ukanda wa Gaza
Israel imekabiliwa leo na maandamano makubwa ya umma unaotaka vita katika Ukanda wa Gaza visitishwe na kurudishwa nyumbani kwa mateka wanaoendelea kushikiliwa na kundi la Hamas. Maandamano hayo yamefanyika asubuhi…
Kampuni ya Mafuta ya Serikali ya Nigeria: Wizi wa mafuta kupitia mabomba wakaribia kukomeshwa
Kampuni ya mafuta ya serikali ya Nigeria (NNPC Limited) imeripoti kuwa karibu wizi wote wa mafuta uliokuwa ukifanywa kupitia mabomba umekaribia kukomeshwa, baada ya juhudi zilizoratibiwa na mashirika ya ulinzi…
Makoloni ya zamani ya Ufaransa, miaka 65 baada ya Uhuru
Licha ya mafanikio fulani, changamoto kubwa bado zinayakabili mataifa mengi ya Afrika yanayotumia lugha ya Kifaransa- Francophonie. Takwimu za Faharasi ya Maendeleo ya Binadamu (HDI) zinaonyesha nchi nane kati ya…
Mazungumzo ya kitaifa DRC bado ni kitendawili
Mpango huo wa amani shirikishi nchini Kongo ambao ni matokeo ya mikutano kadhaa ya kiufundi, unalenga kumaliza mzunguko mbaya wa migogoro ya kivita ambayo imeikumba nchi hiyo kwa miongo mitatu.…
Uchaguzi Tanzania 2025: Tanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025
Chanzo cha picha, Getty Images 26 Julai 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na…
Norway yalaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Norway imeutaja ukatili unaofanya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa, na kutangaza kwamba nchi hiyo ya Ulaya inafikiria kupiga marufuku…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Nani wakulaumiwa katika mivutano ya ndani Syria?
Zaidi ya mwezi mmoja umepita tangu Hamza al-Amareen atoweke. Raia huyo wa Syria mwenye umri wa miaka 33, ambaye alikuwa mkuu wa kituo cha dharura cha shirika la uokoaji la…
Balozi wa Iran atimuliwa kutoka Australia
Waziri mkuu wa Australia Anthony Albanese, amesema Shirika la Ujasusi wa Usalama la Australia (ASIO) limekusanya taarifa za kijasusi za kuaminika kwamba Iran ilielekeza mashambulizi hayo mawili katika miji ya…
Kenya yadhibiti uwindaji haramu wa faru kwa miaka mitano
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Kenya haijaripoti kisa chochote cha uwindaji haramu wa faru. Kulingana na Idara ya Ulinzi wa Wanyamapori nchini Kenya, KWS, matumizi ya teknolojia ya kisasa…
Xi: Uhusiano wa China na Urusi ndio thabiti zaidi duniani
Xi amesema hayo kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bunge la Urusi Vyacheslav Volodin na kuendelea kuusifia uhusiano huo alioutaja kama “chanzo thabiti cha amani ya ulimwengu,” hii ikiwa ni kulingana…
Hizi ndio nchi tano zilizo salama zaidi duniani kwa 2025
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 10 zilizopita Katika mwaka uliotawaliwa na na migogoro, mataifa matano yameendelea kuorodheshwa miongoni mwa mataifa yenye amani zaidi duniani. Wakazi wamefichua jinsi sera na…
UN yataka nchi za Afrika zishirikiane kijeshi ili kudumisha amani
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, amewataka viongozi wa kijeshi wa Afrika kushirikiana kwa karibu zaidi ili kukabiliana na ongezeko la vitisho vya usalama, ugaidi na…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, leo Agosti 26, 2025 amefunga mitaa ya Arusha mjini wakati msafara wake ukimsindikiza kuchukua fo…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, leo Agosti 26, 2025 amefunga mitaa ya Arusha mjini wakati msafara wake ukimsindikiza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini katika ofisi…