Watu 15 wafariki dunia kwa Ebola Kongo
Waziri wa Afya Samuel Roger Kamba amesema kwamba huo ni mripuko wa 16 wa Ebola nchini humo na kwamba kufariki kwa asilimia 53.6 ya wagonjwa kunaonyesha uzito wake. Mwanamke mjamzito…
Waziri wa Afya Samuel Roger Kamba amesema kwamba huo ni mripuko wa 16 wa Ebola nchini humo na kwamba kufariki kwa asilimia 53.6 ya wagonjwa kunaonyesha uzito wake. Mwanamke mjamzito…
Kwa mujibu wa ripoti ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa, kuna uwezekano kulifanyika uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali…
Katika mkutano na waandishi wa habari hapo jana, msemaji wa UNICEF, Tess Ingram, amesema mji wa Gaza City, kimbilio la mwisho kwa familia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, unaibuka kwa…
Hayo ni baada ya Ufaransa kusema kuwa imekubaliana na washirika wake kutuma wanajeshi wa kulinda amani Ukraine. Putin pia alifutilia mbali wazo la kuwepo vikosi vya amani nchini Ukraine baada…
Utafiti huo unaakisi kukua kwa tatizo la upweke miongoni mwa vijana hasa wanaotoka katika mataifa masikini. Katika utafiti huo watu 1,000 walihojiwa kwenye mataifa 142. Kati ya nchi 29 zilizobainika…
Maelfu ya Wasomali wameandamana mitaani jijini Mogadishu kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, ikiwa ni sikukuu iliyotangazwa rasmi na serikali. Wizara ya Kazi na Masuala ya Kijamii ilitangaza siku…
Hii ni baada ya mataifa matatu ya Ulaya kuanzisha mchakato wa kuiwekea vikwazo kama makubaliano hayatofikiwa. Ufaransa Ujerumani na Uingereza hivi karibuni zilianzisha mchakato unaolenga kuiwekea tena vikwazo Iran kuhusu…
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Kabla ya Tianjin, viongozi hao watatu walikutana hapo awali Kazan mwaka jana Maelezo kuhusu taarifa Author, Osmond Chia Nafasi, Mwandishi masuala ya biashara,…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Harry Maguire Saa 4 zilizopita Harry Maguire wa Manchester United na England, mwenye umri wa miaka 32, amekuwa akiwindwa na vilabu viwili…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, HP Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam Saa 3 zilizopita Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Anguilla ni eneo la mbali la Uingereza linayojulikana kwa fukwe zake safi Dakika 15 zilizopita Huko nyuma katika miaka ya 1980 wakati…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Watu wasiopunguwa 31 wameuawa na wengine karibu 50,000 wamekimbia makazi yao kufuatia mapigano makali ya kikabila katika eneo la Savannah nchini Ghana, yaliyosababishwa na mzozo wa ardhi katika kijiji cha…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Makka, Kaaba na Msikiti Mkuu. Picha ilichapishwa Paris mnamo 1790. Dakika 19 zilizopita Ingawa leo hii ardhi ya Hijaz haina kabisa wafuasi…
Israel siku ya Alhamisi imekosoa vikali matamshi ya Makamu wa Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya, Teresa Ribera, ikiita vita vya Gaza kuwa ni “mauaji ya halaiki,” ikimtuhumu kuwa…
Washirika 26 wa nchi za Magharibi wamejitolea rasmi kupeleka wanajeshi “baharini, au angani” kwenda Ukraine siku moja baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron…
Chanzo cha picha, EPA Israeli inadhibiti 40% ya jiji la Gaza, msemaji wa jeshi alisema Alhamisi huku mashambulizi yake yakilazimisha Wapalestina zaidi kutoroka makazi yao na maelfu ya wengine wakikaidi…
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Septemba 4, Volker Türk, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, ametoa wito kwa mamlaka mjini Bamako kuchukua “hatua madhubuti na…
Mlipuko mpya wa Ebola umetangazwa na mamlaka ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kulingana na Wizara ya Afya, takriban vifo kumi na sita vimeripotiwa tangu mwisho wa mwezi…
Kampuni ya yenye kujihusisha na mchezo wa masumbwi, CSI Sports, imetangaza pambano hilo kati ya Tyson, ambaye atatimiza miaka 60 mwaka ujao, na Mayweather mwenye umri wa miaka 48. Hata…
Macron alitoa kauli hiyo baada ya mkutano uliofanyika jijini Paris wa kile kinachoitwa “Muungano wa Wenye Nia”, kundi la mataifa 35 yanayoiunga mkono Ukraine. Alisema kuwa mataifa 26 kati ya…
DIRA.BZ05.09.20255 Septemba 2025 Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema mataifa 26 washirika wa Ukraine yameahidi kupeleka wanajeshi kama “jeshi la kuhakikisha usalama” kwa taifa hilo+++Baada ya miezi kadhaa ya kuwa…
Miili zaidi ya 370 imepatikana baada ya maporomoko mabaya ya ardhi yalisababisha vifo vya karibu watu 1,000 Darfur magharibi mwa Sudan, kundi moja la Sudan lilisema siku ya Alhamisi. Ibrahim…
Mapigano ya kikabila kaskazini mwa Ghana yaliyotokea mwishoni mwa mwezi uliopita yamesababisha vifo vya watu 31 na kuwafanya karibu wengine 50,000 kuhama makazi yao,
Mamlaka ya afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza mlipuko mpya wa virusi vya Ebola, ambao tayari umesababisha vifo vya watu 15 tangu mwishoni mwa Agosti, Waziri wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel, Oren Marmorstein, kupitia mtandao wa X amesema “Tunalaani vikali madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na Makamu wa Rais Mtendaji wa Halmashauri…
Mlipuko wa Ebola umesababisha vifo vya watu 15, ikiwemo wafanyakazi wanne wa afya, katika eneo la Mweka mkoa wa kusini wa Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, waziri wa afya…
Inakadiriwa kuwa dola bilioni 88 za Marekani, sawa na euro 76 bilioni hutoka Afrika kila mwaka kupitia ukwepaji kodi, utakatishaji fedha na ufisadi, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Mwaka…
Viongozi wa Ulaya wamezungumza kwa njia ya video na rais wa Marekani Donald Trump baada ya kufanya mkutano na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kuhusu hakikisho la usalama kwa Ukraine…
Rais wa China Xi Jinping na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamekutana mjini Beijing na kuahidi kuimarisha urafiki wa jadi na ushirikiano kati ya nchi zao. Mazungumzo hayo…
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amekutana hivi leo na rais wa Israel Isaac Herzog. Viongozi hao wamejadiliana kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza. Papa Leo XIV…
Kikao hicho kiliwahusisha wapatanishi kutoka Qatar, Marekani, Togo na Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Jumatano.…
Misri an Sudan zimekubaliana kwamba bwawa la Ethiopia linakiuka sheria ya kimataifa, lina athari mbaya sana kwa nchi hizo mbili upande wa chini na linasimamia kitisho endelevu kwa uthabiti wa…
Misri an Sudan zimekubaliana kwamba bwawa la Ethiopia linakiuka sheria ya kimataifa, lina athari mbaya sana kwa nchi hizo mbili upande wa chini na linasimamia kitisho endelevu kwa uthabiti wa…
Kiongozi wa kanda wa chama cha mrengo wa kulia cha Alternative for Germany (AfD) amesema leo kwamba chama hicho hakina ushahidi kuhusu vifo visivyo vya kawaida baada ya baadhi ya…
Jeshi la anga la Nigeria limewaua wanamgambo zaidi ya 15 wenye msimamo mkali wa kidini katika shambulzi la kutokea angani lililolenga maficho yao kwenye msitu wa Sambisa katika jimbo la…
Hivi leo kiongozi wa chama mbadala kwa Ujerumani cha AfD katika jimbo la North Rhine Westphalia amesema chama chake hakina ushahidi kwamba vifo vya wagombea wake vimesababishwa na hali isiyokuwa…
Jean-Pierre Lacroix, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Operesheni za Ulinzi wa Amani, almewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Jumatano, Septemba 3, kwa ziara ya siku nyingi.…
Togo imefikia hatua ya kihistoria kwa kuwa nchi ya 22 barani Afrika kuanzisha chanjo ya malaria ya R21/Matrix-M, kuanzia Septemba 1, 2025. Nchi hiyo ni ya kwanza barani humo kufanya…
Viongozi wa Ulaya wamezungumza na rais wa Marekani Donald Trump baada ya mkutano wao wa kilele na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kuhusu dhamana za usalama kwa Kiev endapo kutakuwa…
Volker Turk, Mkuu wa Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Haki za Binadamu, amelaani hatua ya uongozi wa kijeshi nchini Mali, kuahirisha uchaguzi na kuendelea kuwakamata wapinzani na viongozi wa…
Watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha katika jimbo la Niger, nchini Nigeria, baada ya boti waliyokuwa wanasafiria kuzama kwenye mto Malale. Imechapishwa: 04/09/2025 – 16:35 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Akizungumza jimboni Busia Magharibi ya Kenya siku ya Jumatano, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen amenukuliwa na vyombo vya habari akieleza kuwa, kauli za uwepo wa majeshi…
Ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na ule wa waasi wa AFC/M23, umekuwa jijini Doha kwa wiki tatu sasa kwa ajili ya mazungumzo ya amani, lakini hatua…
Nchini Uganda, ripoti ya serikali inaonesha kuwa thuluthi moja ya watumishi wa umma, walitoa rushwa ya fedha ili kupata kazi walizonazo. Imechapishwa: 04/09/2025 – 16:12Imehaririwa: 04/09/2025 – 16:53 Dakika 1…
Katika mitaa ya Sonnenallee jijini Berlin, wanaume hukaa nje ya baa za shisha na wanawake waliovalia hijab wakisukuma mikokoteni ya watoto wakipita mbele ya mikahawa na maduka ya vyakula vya…
Mgodi mkubwa zaidi wa almasi nchini Lesotho, Letšeng, umewafuta kazi wafanyakazi 240, ikiwa ni sawa na asilimia 20 ya wafanyakazi wake, huku ukipambana na bei ya chini ya vito kutokana…
Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) nchini Tanzania kimewaomba Watanzania kukipa ridhaa ya kuiongoza nchi hiyo, kwa ahadi ya kusukuma mbele vuguvugu la mabadiliko katika nchi hiyo. Akizungumza mjini Morogoro,…