Kenya yasimamisha zoezi la kufukua miili huko Binzaro
Daktari wa serikali ya Kenya Richard Njoroge amesema zoezi la kitaalamu la kukusanya vijinasaba kwa miili hiyo litaanza mara baada ya kukamilika kwa vipimo vya mionzi vya X-ray kwenye miili…
Daktari wa serikali ya Kenya Richard Njoroge amesema zoezi la kitaalamu la kukusanya vijinasaba kwa miili hiyo litaanza mara baada ya kukamilika kwa vipimo vya mionzi vya X-ray kwenye miili…
Uturuki kuendelea kuongoza jitihada za amani kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine “Diplomasia na mazungumzo kati ya pande zinazohusika yanapaswa kupewa kipaumbele,” alisema Makamu wa Rais wa Uturuki baada…
Eneo la Nyala la Sudan ndiko kulikofanyika sherehe Agosti 31 ambayo itabadilisha muelekeo wa taifa lililokumbwa na mapigano, yaliyochochewa na mfarakano wa kisiasa kuwahi kutokeo tangu kujiondoa kwa Sudan Kusini.…
Mwanasheria Mkuu wa Uganda anasisitiza kuwa nchi hiyo imejitolea kwa makubaliano na Marekani kupokea watu waliofukuzwa kutoka nchi hiyo. Hayo yamethibitishwa Agosti, 2025.Hata hivyo, Uganda inasema makubaliano hayo yana masharti.…
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imethibitisha kuwa wanawake watatu kutoka vyama tofauti vya siasa wamechukua fomu za uteuzi kwa kiti cha urais wa Zanzibar. Hali hii inatoa picha mpya…
Pia aliwaombea wahanga wa maporomoko ya ardhi ya hivi majuzi na kuongeza kuwa kuenea kwa kipindupindu kunatishia maisha ya maelfu ya watu ambao “tayari wamechoka.” Zaidi ya watu 1,000 walipoteza…
Mashuhuda wanasema kwa siku tatu mfululizo hakuna shughuli zozote zinazofanyika. Masoko, maduka, ofisi zimefungwa, na hata usafiri wa barabarani hakuna. Asasi za kiraia zimeshirikiana na kundi la wapiganaji wanaoitwa Wazalendo…
Msemaji wa serikali ya Taliban, Hamdullah Fitrat amesema miili zaidi bado ipo chini ya vifusi, hivyo huenda idadi ya vifo ikaongezeka. Tetemeko hilo la ukubwa wa 6.0 lilitokea Jumapili usiku…
Hatua hiyo inadhihirisha msimamo mkali zaidi wa nchi hiyo dhidi ya wahamiaji, kufuatia ongezeko la wakimbizi waliowasili eneo la mipakani kusini mwa nchi hiyo mwaka huu. Nchi hiyo ya bahari…
Viongozi wa Ulaya na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky wanakutana leo mjini Paris katika jitihada mpya za kuongeza shinikizo kwa rais wa Urusi Vladimir Putin baada ya kiongozi huyo kuapa…
Hamas imesema bado inasubiri majibu kutoka Tel Aviv juu ya pendekezo la hivi punde zaidi lililowasilishwa na wapatanishi wa kimataifa. Israel imeendelea kusisitiza masharti yake kuwa makubaliano yoyote ya kusitisha…
Jeshi la Israel limesema kombora lilivurumishwa kutokea nchini Yemen kuelekea Israel lilianguka katika eneo lililo wazi nje ya himaya ya Israel na hakuna ving’ora vilivyowashwa. Waziri wa ulinzi wa Israel…
Rais wa China Xi Jinping na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un watakutana kwa mazungumzo mjini Beijing. Hayo yamesemwa leo na serikali ya mjini Beijing wakati kiongozi huyo wa…
Viongozi wa mataifa ya Magharibi ambayo ni washirika wa Ukraine katika mzozo wake na Urusi, wanakutana Alhamisi mjini Paris Ufaransa na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, kutafuta mpango wa jinsi…
Watu wapatao 60 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imewabeba abiria zaidi ya 100 kupinduka katika jimbo la Niger nchini Nigeria. Maafisa wa wilaya ya Malale wamesema, chombo hicho kiliondoka pwani…
Ureno inafanya maombolezo ya kitaifa ya siku moja hivi leo, baada ya ajali kutokea jana katika mji mkuu Lisbon iliyosababisha vifo vya watu 15. Mamlaka haijatoa taarifa kuhusu watu waliokufa…
Chanzo cha picha, Israel Foreign Ministry X Maelezo ya picha, Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Israel, satelaiti ya kijasusi ya “Horizon 19” ilirushwa angani kutoka kituo cha anga…
Chanzo cha picha, KCNA Maelezo ya picha, Kim Ju Ae (anayeonekana hapa 2023) amekuwa mtu wa kawaida katika gwaride la kijeshi huko Korea Kaskazini katika miaka michache iliyopita. 3 Septemba…
Raia wa Kenya wanaoishi karibu na mpaka na Somalia wanaishi kwa hali ya wasiwasi, kufuatia kumiminika kwa wingi kwa wapiganaji wenye silaha kutoka Somalia, wanaokimbia makabiliano baina yao na serikali…
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesisitiza kuwa Uturuki haitakaa kimya wakati Wapalestina wakiteseka chini ya mashambulizi ya Israel, akimsuta Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. “Hatuwezi kukaa kimya kama…
Maelezo ya picha, Musa al-Sadr alitoweka tangu 1978 Maelezo kuhusu taarifa Author, Moe Shreif Nafasi, Uchunguzi wa BBC Eye 3 Septemba 2025 Tahadhari: Ina picha ambazo baadhi zinaweza kukasirisha Mwanasayansi…
Watazamaji wana jukumu kubwa katika hafla za hiragasy, wakionyesha kuridhika au kutoridhishwa kwao na talanta ya washiriki wa kikundi na ujumbe wanaotangaza kupitia shangwe, au sauti tofauti. Maneno ya maonesho…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Clarke Oduor ndiye mchezaji pekee wa Grimsby kukosa penalti katika ushindi wao wa mikwaju 12-11 dhidi ya Manchester United Maelezo kuhusu taarifa…
“Rwanda inajenga mustakabali ambapo miji yetu ambayo imeunganishwa zaidi na uchumi wetu unaimarika zaidi kupitia ubunifu wa usafiri,” Waziri wa Miundombinu, Jimmy Gasore, alinukuliwa akisema katika taarifa hiyo. Mpango huu…
Wakati nchi nyingi zikijiandaa kulitambua Taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu ujao wa Umoja wa Mataifa, Israel inatishia kujibu kwa kunyakua maeneo yanayokaliwa kwa mabavu. Leo Alhamisi, Septemba 4, Waziri…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Andre Onana Saa 3 zilizopita Manchester United wako tayari kumwachia kipa wa Cameroon Andre Onana, mwenye umri wa miaka 29, ajiunge na…
Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia Mamo Mihretu alisema Jumatano kuwa anaacha kazi, baada ya kuiongoza Benki hiyo kupitia mageuzi ya kina ya uchumi ikiwa ni pamoja na mzunguko wa…
Upinzani wote wa kisiasa sasa ni kinyume cha sheria nchini Georgia: siku ya Jumatano, Septemba 3, Bunge la Georgia limepitisha ripoti ya kupiga marufuku vyama vya upinzani. Wakati maandamano dhidi…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Djed Spence began his career at Middlesbrough before joining Tottenham in 2022 Maelezo kuhusu taarifa Author, Tom Mallows Nafasi, BBC Sport journalist…
Ukiwa na zaidi ya hekta 1,000, Msitu wa Karura ni msitu wa pili kwa ukubwa wa mijini ulimwenguni. Tangu mwaka wa 2009, kutokana na kujitolea kwa mshindi wa Tuzo ya…
Wajumbe wa Kongo na AFC/M23 wamekuwa mjini Doha kwa karibu wiki tatu sasa kuendeleza mchakato wa amani. Lakini maendeleo bado ni madogo. Kwa mujibu wa taarifa zetu, hakuna mijadala ya…
Huku zikiwa zimesalia chini ya wiki mbili kabla ya uchaguzi wa urais nchini Malawi, kampeni zinaendelea kwa utulivu, lakini katikati ya mgogoro wa kiuchumi. Rais wa sasa Lazarus Chakwera anawania…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Katika ulimwengu wa biashara, kampuni ya saruji ya China ya Huaxin imepata mafanikio ya kimkakati nchini Nigeria. Imenunua mitambo kadhaa ya saruji kutoka kwa kampuni ya Uswisi kwa dola bilioni…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo kuhusu taarifa Author, Tessa Wong Nafasi, BBC Reporter Akiripoti kutoka China 4 Septemba 2025, 07:46 EAT Imeboreshwa Dakika 10 zilizopita China imezindua idadi kubwa…
ECOWAS, Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, inathibitisha kuwa imetuma ujumbe wa kiufundi nchini Sierra Leone kutathmini mzozo wa mpaka na Guinea karibu na kijiji cha Yenga. Eneo hili la…
Kufuatia kushuka kwa kasi kwa misaada ya maendeleo ya Marekani, kupungua kwa misaada kwa shughuli za kulinda amani kunatia wasiwasi Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 04/09/2025 – 06:33 Dakika 1 Wakati…
Kampuni ya uwekezaji ya Qatar ya Al Mansour Holding inakusudia kuwekeza dola bilioni 21 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo Doha ni mpatanishi wa mzozo mashariki mwa nchi hiyo,…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Kupunguzwa kwa misaada katika nchi za Afŕika Mashariki kumesababisha kesi za watoto kuzaliwa na Virusi vya Ukimwi kwasababu akina mama hawakuweza kupata dawa, kuongezeka kwa magonjwa hatarishi. Imechapishwa: 04/09/2025 –…
Ikulu ya Élysée itaandaa mkutano wa “muungano wa walio tayari” kwa ajili ya Ukraine leo Alhamisi, Septemba 4, huku Volodymyr Zelensky akihudhuria. Viongozi kadhaa wa Ulaya wanatarajiwa kusafiri kwenda Paris,…
Chanzo cha picha, Reuters Umoja wa Falme za Kiarabu umeionya Israel kwamba kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu ” kutavuka mpaka” na kudhoofisha ari ya Mkataba wa Abraham ambao…
Shirika la umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi, linasema wimbi la wakimbizi wanaokimbia kutoka Burkina Faso na kuingia Mali, linaongeza hali ya dharura ya kibinadamu, UNHCR sasa ikitaka misaada zaidi kutolewa…
Umoja wa Falme za Kiarabu umeonya kwamba hatua yoyote ya Israel ya kuunyakuwa Ukingo wa Magharibi itakuwa sawa na kuuvuka “mstari mwekundu,” pasipo kufafanua zaidi athari zake na hasa kwa…
Umoja wa Falme za Kiarabu umeonya kwamba hatua yoyote ya Israel ya kuunyakuwa Ukingo wa Magharibi itakuwa sawa na kuuvuka “mstari mwekundu,” pasipo kufafanua zaidi athari zake na hasa kwa…
Nchi za Qatar, Marekani na wawakilishi kutoka Umoja wa Afrika walikutana Jumatano hii kwa kikao cha pamoja kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda. Imechapishwa: 04/09/2025…
Taarifa yake hiyo ya jana jioni inasema kundi hilo bado linasubiri majibu kutoka kwa Israel kuhusu pendekezo la hivi karibuni la wapatanishi wa kimataifa kuhusu kusitisha mapigano.Kwa mujibu wa Waziri…
SK2 / S02S04.09.20254 Septemba 2025 Viongozi wa mataifa ya Magharibi ambayo ni washirika wa Ukraine katika mzozo wake na Urusi, wanakutana leo Alhamisi mjini Paris+++Serikali ya Kenya imechukua uamuzi wa…
DIRA.BZ04.09.20254 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kundi la Hamas Hamas, limesema liko “tayari kwa makubaliano ya kina” na Israel kuhusu kusitisha vita vya Gaza / Tume ya Uchaguzi…