“Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie Ban zinamadhara”-Mohamed Thabit – Mshiriki.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.