Keane ashinikiza Amorim afukuzwe, ampendekeza Simeone Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben Amorim haraka iwezekanavyo, ili kuinusuru timu hiyo ambayo imeanza vibaya msimu huu 2025-2026. Post navigation #MALUMBANOYAHOJA: Siasa za mitandaoni wakati wa uchaguzi Uwe mzawa au mtalii, AzamPesa inakuhakikisha maisha ya kifahari yasiyo na usumbufu popote ulipo