Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi wananchi kutobeza uwezo wa wagombea kwa kigezo cha jinsia.

Dkt. Samia anayegombea Urais kwa tileti ya CCM ametoa tahadhari hiyo mkoani Simiyu akiwa kwenye kampeni.

Ramadhani Mvungi ameandaa taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *