#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Manyara, imetatua changamoto za kikodi kwa wafanyabiashara zaidi ya 800, pamoja na kusajili biashara mbalimbali kupitia dawati maalumu la uwezeshaji wa biashara, ili kuwawezesha kufanya biashara kwenye mazingira rafiki na kulipa kodi stahiki ya serikali.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Manyara Bw. Alex Katundu wakati akizungumza katika kilele cha wiki ya huduma kwa wateja mkoani humo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.