“Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya zaidi ya 30, unakuta mgombea anafanya mikutano zaidi ya 60 kwenda mbele, hiyo tulizoea ni vyama maalum” Said Miraaj – Mchambuzi wa Siasa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *