23 Novemba 2025

Tanzania yavishutumu vyombo vya habari vya Kimataifa kuandika habari za upande mmoja. Kansela Merz amesema makubaliano ya mpango wa amani kwa Ukraine yatakuwa magumu kufikiwa. Watoto 50 kati ya 300 waliotekwa wawatoroka watekaji wao Nigeria.

https://p.dw.com/p/5452G

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *