Tanzania yajipanga kuongoza uzalishaji dawa Afrika
Tanzania imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya sekta ya dawa barani Afrika baada ya Waziri...
Tanzania imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya sekta ya dawa barani Afrika baada ya Waziri...
Papa Leo XIV yuko Uturuki hadi Jumapili katika ziara yake ya kwanza ya nje ya nchi, na anatarajiwa kutembelea miji kadhaa, ikiwemo Istanbul na Iznik, iliyokuwa ikijulikana kama Nicaea.
MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB), Hosea Lugano amejiuzulu nafasi zote alizokuwa anazishikilia TFF.
Katika juhudi za kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa maji katika Shule ya Sekondari Nandembo wilayani Tunduru, wazazi kwa kushirikiana na walimu mkoani Ruvuma wameamua kuchanga fedha pamoja na kutumia…
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amekabidhi leseni kwa vikundi 21 vyenye wanachama 423 Wilaya...
Jeshi nchini Guinea-Bissau limemtangaza Jenerali Horta N'Ta Na Man kuwa rais wa mpito kwa kipindi cha mwaka mmoja, siku moja baada ya kumuondowa kwa nguvu madarakani, Rais Umaro Sissoco Embalo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimemtaka Waziri Mkuu kuacha propaganda na kuishauri serikali kufanya mabadiliko ya Katiba ili Tanzania iwe na chaguzi huru na za haki.
Jenerali Horta Nta Na Man ameapishwaAlhamisi 27.11.2025 kuwa Rais wa mpito wa Guinea Bissau baada ya jeshi kutangaza Jumatano kuwa limeipindua serikali ya Rais Umaro Sissoco Embalo.
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amewataka waandishi wa habari kutotoa taarifa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo wa 14 amelalalamikia mizozo iliyotawaliwa na umwagaji damu inayoendelea duniani na kusema kuwa inahatarisha mustakabali wa ubinadamu.
#MALUMBANOYAHOJA: WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA IANGAZIE MAENEO GANI ILI KUWANUSURU KIUCHUMI?"
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Dinah Mathamani ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufanya doria za kudhibiti wizi na ujambazi ziwa Tanganyika usiku na mchana katika mialo…
Wabunge wa bunge la Ulaya wamelaani vikali ukandamizaji wa wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania Oktoba 29 mwaka huu.
KIKOSI cha Azam FC tayari kimeshaanza mazoezi ya kujifua na mechi ya kesho dhidi ya Wydad, huku mastaa wakionekana kuwa na morali ya kutosha.
Mtandao wa WhatsApp umetangaza kuja na kipengele kipya cha kutumia zaidi ya akaunti moja kwenye...
Rais wa Urusi Vadimir Putin amesema kuwa vita dhidi ya Ukraine vitasitishwa kama wanajeshi wa Ukraine wakiondoka kwenye maeneo muhimu yaliyo chini yake la sivyo jeshi lake litatimiza malengo yake…
Ujerumani imemtunuku tuzo ya juu ya heshima kwa Afrika mwanaharakati wa Zimbabwe Namatai Kwekweza. Tuzo hiyo ni kutokana na ujasiri na dhamira yake ya dhati ya kuhakikisha utawala wa sheria…
Wanunuzi wa madini ya vito kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wamejitokeza kununua...
Wakati matukio ya ukatili dhidi ya watoto yakizidi kuripotiwa kila kona, Shirika la SOS...
DODOMA: THE identification of flagship infrastructure projects from East African Community (EAC) member states peaked the community’s joint meeting convened virtually today, November 27, 2025, in Dodoma. The Tanzanian government,…
Jopo huru la majaji 20 limemtunukia Namatai Kwekweza, Tuzo ya Ujerumani kwa bara la Afrika kwa mwaka huu wa 2025 kwa kujitolea kwake kwa ujasiri kupigania utawala bora wa sheria…
#HABARI: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi kuhakikisha wanazingatia utu wakati wa kuwahudumia wanachi. Amewataka watumishi hao Kufanya…
Serikali imesema kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, taratibu na miiko ya kazi...
IFAKARA: KILOMBERO Sugar Company has entered a three-year partnership with Ifakara Bakery and the Free Bread Initiative to support a long-running community program that provides free breakfast and bread to…
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa matanki 15...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE- 27 NOVEMBA 2025- WANANCHI WAPATIWA MAJIKO BANIFU KWA BEI YA RUZUKU
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary in the Ministry of Community Development, Gender, Women, and Special Groups, Dr John Jingu, has called upon officers providing alternative child care services in…
Mamlaka katika kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia zimesema idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi imeongezeka hadi watu zaidi ya 60 na wengine zaidi ya 50 hawajulikani…
LONDON: MJUMITA founder and Chief Executive Rahima Njaidi has been recognised at the 2025 Tusk Conservation Awards for her trailblazing work placing rural communities at the centre of Tanzania’s forest…
Askari waliofanya mapinduzi ya kijeshii nchini Guinea-Bissau leo Alkhamisi wametangaza kiongozi mpya wa kijeshi wa nchi hiyo, wakiimarisha unyakuzi wa madaraka ulioanza baada ya uchaguzi wa rais nchini humo.
Maafisa, wanaojiita “Kamandi Kuu ya Kijeshi kwa Urejeshaji wa Usalama wa Kitaifa na Utulivu wa Umma,” wamechukua madaraka katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Na Mwandishi Wetu MADEREVA katika baadhi ya mikoa huenda wakakutana na fursa za ajira zitakazosaidia kuongeza kipato na kujiimarisha kiuchumi baada ya Kampuni ya kimataifa ya usafiri wa mtandaoni, Maxim…
Vijana wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wameeleza sababu za maandamano yaliyotokea nchini...
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Mwinyi on Wednesday led scores of mourners in the burial of veteran politician Ali Ameir Muhammed, who passed away on Tuesday. The Zanzibar Second Vice-President,…
Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe...
DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewaagiza mameneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanatengeneza mpango kazi utakaowezesha kukabiliana na changamoto ya foleni jambo linalochangia kuzorotesha shughuli…
DAR ES SALAAM: THE Minister for Industry and Trade, Judith Kapinga, has commended the Business Registration and Licensing Agency (BRELA) for the major strides it has made in improving its…
Dar es Salaam kwa sasa ni kitovu cha idadi kubwa ya watu nchini, ikiwa na makadirio ya zaidi ya...
#HABARI: Wanafunzi katika Shule ya Msingi Azimio iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa madawati hali iliyokuwa inatishia ustawi wao wa kupata elimu bora,…
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameipongeza Taasisi ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa hatua kubwa ilizochukua katika kuboresha huduma zake kupitia…
SERIKALI: imewataka maofisa utumishi na wanasheria wa halmashauri kote nchini kuacha tabia ya kufanya kazi kwa misingi ya hisia, ukali na kiburi, na badala yake kuzingatia sheria, kanuni na miongozo…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amesema uanzishwaji wa...
Soko la usafiri wa mitandaoni mijini linazidi kuongeza ushindani baada ya Kampuni ya kimataifa...