Kiongozi Muadhamu: Marekani haina hadhi ya kuwa na uhusiano na Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kwenye hotuba yake kupitia televisheni ya taifa kwamba, Marekani haina hadhi ya kuwa na mahusiano na Jamhuri ya Kiislamu…