“Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako. Kwamba usiandike ukavuka mipaka pengine ukajipakulia minyama zaidi, ukawasahau na wengine kwamba wakija wataimba wapi?- @officialwelle kutoka @welleandtheband

#SentroYaCloudstv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *