Hivi ni vipande vya video vilivyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Urusi kati ya Desemba 9 na 16 vikionesha maeneo kadhaa ya mji wa Guliaipole, kitovu muhimu cha usafirishaji katika Mkoa wa Zaporizhzhia kusini mwa Ukraine, ukiendelea kuhimili mashambulizi ya majeshi ya Moscow.

Shirika la AFP limefanikiwa kuthibitisha eneo la picha hizo, lakini halikuweza kuthibitisha tarehe, maudhui au uhalisia wake.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *