Morocco yafuzu hatua ya 16 bora Afcon 2025
Wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu, timu ya taifa ya Morocco, imejikatia tiketi ya kucheza hatua ya kumi na sita bora baada ya kupata ushindi…
Wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu, timu ya taifa ya Morocco, imejikatia tiketi ya kucheza hatua ya kumi na sita bora baada ya kupata ushindi…
Chini Côte d’Ivoire chama tawala cha RHDP kimeimarisha wingi wake kamili katika uchaguzi wa wabunge uliofanyika siku ya Jumamosi, Desemba 27. Chama cha Rais Alassane Ouattara, kilichochaguliwa tena miezi miwili…
🔴#KUMEKUCHA: 30 DESEMBA 2025-
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema kati ya Januari na Desemba 2025, matukio ya moto 3,091...
Uchangiaji wa damu katika hospitali nchini. Je, jamii ihamasishane kufanya muda wote siyo kipindi cha Sikukuu pekee?
🔴 #MAGAZETI:KIBANO WAMILIKI WA NYUMBA, HOTELI...DISEMBA 30, 2025
Admirali Ali Shamkhani, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelaani vikali vitisho vipya vilivyotolewa na Marekani vya kushambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu, akiapa kuwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 30, 2025
Wataalamu wa Palestina wamefichua ukatili na ukandamizaji unaowakabili mahabusu na mateka wa Palestina katika magereza ya utawala wa Israel na mienendo isiyo ya kibinadamu na ukatili wa Waziri wa Usalama…
Ripoti mpya inaonyesha kwamba mawimbi ya joto yaliyovunja rekodi, vimbunga vya kitropiki na mvua zilizosababisha mafuriko makubwa kote duniani, vimeufanya mwaka unaomalizika wa 2025 kuwa moja ya miaka yenye hasara…
Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema hatua ya Chuo Kikuu cha Georgetown cha Marekani ya kukata uhusiano naye ni sehemu…
Kufunguliwa tena kwa Jumba la Makumbusho Taifa la Libya baada ya kufungwa kwa miaka 14 kunatoa matumaini ya kurejea utulivu nchini humo na kujumuishwa utambulisho wa kitaifa.
Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Mark Rutte ameshikilia msimamo wa kutaka nchi za Ulaya ziendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani.
Leo ni Jumanne tarehe 9 Rajab 1447 Hijria sawa na Disemba 30 mwaka 2025.
TIMU za KVZ na TRA United zilizopo Kundi C la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ambalo pia linaijumuisha Yanga, zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1.
Kila zawadi inapaswa kuwa na historia, kuteka hisia na ladha ya kipekee. Serengeti Gift Packages zinakuletea hivyo vyote kwa msimu huu wa kumaliza mwaka. Name engraving kwenye kila chupa inafanya…
Serikali imevipiga marufuku viwanda vya kuchakata samaki nchini kujishughulisha na uvuvi na ununuzi wa samaki wakiwa ziwani katika hatua ya kudhibiti na kuwalinda wavuvi wadogo na biashara ya samaki nchini.…
"Kesho tutakuwa na kongamano la kufunga mwaka, linaitwa Vikoba Dar litafanyika pale Mwenge Social Hall kuanzia Saa Tatu asubuhi"- Mohammed Bassanga, Rais wa Vikoba Tanzania #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
#DAKIKA45: “Vitendo vya ukatili kwa watoto wa kike……Mwaka 2009 matendo ya ukatili wa kimwili kwa watoto wa kike ilikuwa 76% lakini mwaka jana 2024 vimepungua mpaka 24%….” Wakili Amon Mpanju,…
#DAKIKA45: “Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon…
#DAKIKA45: “Nitumie pia wasaa huu kuwashukuru Watanzania tukielekea kuhitimisha mwaka 2025, niwashukuru na kuwapongeza Watanzania walivyoshirikiana na Serikali hususani Wizara yetu….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…
Kuna kitu MUSSA amefanikiwa kukichukua ama kukiona kama alivyoagizwa na kina Mbote...
TUONGEE ASUBUHI - 29/12/2025
KOCHA Msaidizi wa Fufuni, Sueliman Abbas na Sheha Khamis Rashid wa Muembe Makumbi City, kila mmoja kwa waakati wake ameitaja presha ndiyo iliyoamua matokeo ya mechi baina yao.
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imezindua namba maalum ya ufuatiliaji wa vitambulisho vya taifa ikiwa ni sehemu ya maboresho ya utoaji wa huduma kwa wananchi. Uzinduzi wa namba…
🔴DAKIKA 45 NA WAKILI AMON MPANJU: 29 DESEMBA 2025
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumuhoji Fahima Twaibu (19)...
#HABARI: Nyumba 16 zimeezuliwa paa katika Kata ya Masakta, wilayani Hanang, mkoani Manyara, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali na kusababisha uharibifu wa mali katika kaya mbalimbali pamoja…
Vikosi vya jeshi la China vimefanya mazoezi kulizunguka eneo la kisiwa cha Taiwan na kudai kuwa ni sehemu ya kuboresha ulinzi na usalama dhidi ya maadui wanaotaka kukitumia kisiwa hicho…
Familia yenu hujumuika pamoja mwishoni mwa mwaka kwa ajili ya kujadiliana mambo yanayoihusu? Ukoo wa mwandishi wa habari wa Azam TV kutoka Tanga, Mariam Shedafa una utaratibu huo wa kukutana…
Hali ya hewa ya mvua imeendelea kuonekana kwenye maeneo mbalimbali nchini kwa nyakati tofauti huku mkoani Katavi zikisababisha kifo cha mtu mmoja na majengo kadhaa kuharibiwa. Taarifa ifuatayo inaangazia athari…
Shirika la reli nchini (TRC) limeongeza safari za treni ya kisasa (SGR) ili kuwahudumia abiria walioathirika na kukatizwa au kucheleweshwa kwa baadhi ya safari za SGR jana Disemba 28, 2025…
Utaje! #SentroYaCloudsTv #LainiYawana #Clouds26Nyooshaa
Katika zama hizi za kidijitali, taasisi, mashirika na vyama vya wafanyakazi kote ulimwenguni...
Katika zama za uchumi wa maarifa na miundo ya ajira inayobadilika kwa haraka, kuelewa umuhimu...
Huyu Shakei ndio maana Hamida anamuita dishi 😅
Harakati za vyama vya wafanyakazi Tanzania zimepitia katika vipindi tofauti vya kisiasa na...
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba leo Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt Mwigulu…
BINGWA wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Anthony Joshua, amelazwa hospitalini baada...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 29/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 29, 2025 - MVUA YAENDELEA KULETA MAAFA NCHINI
@pengo_makeke tayari ametua Mjengoni na ulinzi wa hatari. Una swali lolote kwake? Tupia hapo chini👇 #SentroYaCloudstv
Mbali na uhai, unamshukuru Mungu kwa jambo gani mwaka huu 2025? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Januari 13, 2026 kuanza kusikiliza ushahidi wa upande...
Asilimia kubwa ya wananchi waliolipwa fidia ya makaburi ya Bongololo yaliyopo Mtaa wa Shimo la...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wamiliki wa viwanja 6,560 vilivyoko maeneo ya Mtumba na...
Wanawake wanaojishughulisha na ufugaji wa sungura katika Kata ya Bonde la Songwe, Wilaya ya...