🔴HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA – DISEMBA 29, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA - DISEMBA 29, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA - DISEMBA 29, 2025
Mkuu wa mkoa wa Tabora PAUL CHACHA ametembelea kukagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo ambapo ameziagiza mamlaka kuhakikisha zinasimamia na kuzuia wanaoendelea kujenga bila…
Mjini hawaji kwa kelele, wanakuja na suti, tabasamu na ahadi, Wanapanda tamaa, akili ikilala umeisha. Michapo ya utapeli ni sanaa, sanaa ya kukusoma, kukuharakisha, kukupa ndoto usiyotegemea Somo lake ni…
Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar, unafanyika...
Mwaka mpya vitu vipya ndani ya AzamONE, MARVEL's THE PUNISHER kuanzia Ijumaa hii Januari 02, 2026. Baada ya kulipiza kisasi kwa watu waliohusika na vifo vya mkewe na watoto wake,…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, atakutana na rais Donald Trump huko Florida saa chache zijazo, wakati huu Marekani ikiendelea kushinikiza utekelezwaji kikamifu kwa mkataba, uliomaliza vita kwenye ukanda wa…
Maega kila akikumbuka haamini 😆
Grey’s Anatomy rasmi kupitia AzamONE kuanzia Januari 05, 2026. Madaktari wa upasuaji na wasimamizi wao wapo kwenye safari ya kimatibabu, iliyojaa mambo mbalimbali ikiwemo hadithi za kuhuzunisha na kufanya kulazimika…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuchelewa kwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda kumeibuka...
MCHAKATO wa mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) umeingia ‘mdudu’ baada ya Chama cha Mapromota wa mchezo huo (TAPBPA) kusema hakijafurahishwa na kilichofanyika na…
KATIKA mfumo wa utawala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge ni mhimili muhimu wenye jukumu la kutunga sheria, kuisimamia Serikali, na kuwakilisha wananchi. The post Fimbo ya Spika: Alama…
Master Chef Mzigo mpya kupitia Azam ONE, inaanza Ijumaa hii Januari 02, 2026 Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani…
Nchini Guinea, matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais, uliofanyika Jumapili, yanatarajiwa kutangazwa leo, huku kiongozi wa kijeshi Mamady Doumbouya, akitarajiwa kutangazwa mshindi. Imechapishwa: 29/12/2025 – 15:04Imehaririwa: 29/12/2025 – 15:08…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amezindua namba maalum itakayotumiwa na wananchi kufuatilia kitambulisho cha taifa baada ya kuwasilisha maombi ya kitambulisho hicho. Akizungumza leo, jijini…
Wakati Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ikiendelea kuwataka wamiliki wa vyombo vya usafiri wa...
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, amesema...
Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-FARDC, Meja Jenerali Sylvain Ekenge amesimamishwa kazi, kufuatia matamshi tata aliyotoa, yanayoashiria ubaguzi dhidi ya wanawake wa Kitutsi nchini humo, wakati wa…
Rais wa Vikoba endelevu Tanzania Mohamed Basanga amewataka wanachama wote wa Vikoba Tanzania kuhakikisha wanavitumia Kujiletea Maendeleo ya Kiuchumi na Kukuza hali ya Kipato cha familia na Taifa kwa Ujumla.…
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema idadi ya watalii wanaotibiwa katika tawi la Oyster Bay Plaza imeongezeka kutoka wagonjwa 10…
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha safari za ziada za Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa...
Madereva wa Malori zaidi ya 100 wamekwama Mpakani mwa Tanzania na Kenya katika eneo la horohoro Mkoani Tanga huku wakiiomba serikali kuwasaidia kuharakisha mazungumzo kati ya pande mbili za nchi…
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wamefungua mazungumzo na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ili kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi hicho, Mtanzania…
Kutoka Manyara, Wacloudsania wananyoosha !! #Clouds26Nyooshaa #LainiYawana
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa TRA United (zamani Tabora United), Emmanuel Mwanengo ameanza mazoezi na Yanga tayari kwa kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.
HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo isalie Morocco ama ifungashe virago kurudi nyumbani kama…
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target...
China imezindua mazoezi makubwa ya kijeshi, ikitumia silaha nzito za moto, ikiwa ni pamoja na mazoezi ya kurusha makombora na risasi moja kwa moja na kuiga kuzingirwa kwa bandari za…
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na UshÂauri (TUICO) ni...
Kwa kipindi cha miaka 30, Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, TaasiÂsi za Fedha, Huduma...
Katika taarifa yake iliyotolewa leo mjini Geneva, Uswisi Tom Fletcher, Mratibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu misaada ya kibianadamu na Masuala ya…
Tangazo la Israeli kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni nchi limezua upinzani mpana wa kikanda na kimataifa. Serikali ya Somalia imepinga hatua hiyo kama shambulio la makusudi na inasema haitaruhusu…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa ujumbe mzito wa Mwaka Mpya kwa ulimwengu akisema ulimwengu uko katika njia panda, ukikabiliwa na machafuko, sintofahamu na migawanyiko mikubwa na…
Mwaka 2025 umeelezwa kuwa mwaka wa kihistoria kwa sekta ya afya duniani. Hayo ni kwa mujibu wa ujumbe uliotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya…
Wahudumu wa misaada ya kibinadamu wako eneo la mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, wakikabiliana na athari za shambulio kubwa la usiku lililojeruhi raia na kukatiza huduma za kupasha joto na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemsifu shahidi na kamanda wa vita dhidi ya ugaidi, Luteni Jenerali Qassim Soleimani na kumtaja kuwa "mbunifu wa Mhimili wa Muqawama" katika eneo…
China imetoa wito kwa mamlaka za Somaliland kuangalia kuhusu muelekeo na mara moja waache 'mkwaruzano na watu kutoka nje'.
DAR ES SALAAM: IDARA ya Uhamiaji kupitia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji imetangaza nafasi ya ajira kwa mujibu wa Kifungu cha 11 (1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka…
Kwa mara ya kwanza, raia wengi wa Uganda wanaonekana kugundua nguvu ya kutumia bendera ya taifa lao kama chombo cha kujieleza kisiasa.
Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania.
JANA Jumatatu kuanzia saa 10:15 jioni, vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, Fufuni walikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Muembe Makumbi City katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kocha wa kikosi hicho,…
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA kutoka Uganda, wameambiwa wajiandae kupokea kipigo kutoka kwa watetezi wa michuano hiyo, Mlandege ya Unguja.
MLANDIZI: THE United Republic of Tanzania said it began implementing various water projects three years ago as a country’s efforts to address water shortages caused by climate change. The Tanzanian…
WINGA wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa, ameonekana akiichezea Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku kocha msaidizi wa…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge hajakaa kinyonge kwani baada ya mechi yao ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi iliyopangwa kuchezwa Desemba 28, 2025 dhidi ya URA kusogezwa mbele,…
Rais Volodymyr Zelensky amesema Marekani itaipatia Ukraine dhamana "kubwa" ya usalama kwa kipindi kinachoweza kuongezwa cha hadi miaka 15, ingawa amesema Kyiv inataka hakikisho la muda mrefu zaidi.
BAADA ya kurejea kuitumikia Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede ameonekana kupandisha mzuka kikosini hapo.
Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa hii leo kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwenye makazi yake binafsi ya Mar- a-Lago, Florida kujadiliana awamu inayofuata ya mpango wa…
China imeanza mazoezi ya kijeshi ikitumia silaha za moto karibu na Taiwan Jumatatu yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala.
Somalia imekosoa vikali uamuzi wa Israel wa wiki iliyopita wa kuitambua rasmi Somaliland kuwa taifa huru, ikisema hatua hiyo ni tishio kwa mamlaka ya taifa, umoja wa watu wa Somalia,…
Mwaka 2025 umeweka wazi jeraha lisiloonekana, lakini lenye maumivu makali la afya ya akili...