#Habari: Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Kamati ya Sera ya Fedha (MPC), imeamua kubakiza Riba ya Benki Kuu (CBR) katika kiwango cha asilimia 5.75 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2026. Uamuzi huu umelenga kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi huku ukiweka mfumuko wa bei ndani ya lengo la asilimia 3 hadi 5. Hatua hiyo inaungwa mkono na tathmini ya uchumi wa dunia ambayo inaonesha kuimarika kwa kuridhisha, huku bei ya mafuta ghafi ikishuka hadi kufikia kati ya dola 62 na 65 kwa pipa, hali inayosaidia kuimarisha thamani ya shilingi na kupunguza mahitaji ya fedha za kigeni nchini.

Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *