#HABARI: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amezungumza baada ya kukipokea kikosi cha timu ya Taifa Stars kikitokea nchini Morocco ambapo walikuwa wakishiriki mashindano ya AFCON 2025 na kufanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.