#HABARI: Watu wanne wamefariki na wengine 16 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Mwensino linalofanya safari zake kutoka wilayani Lushoto kwenda mkoani Arusha kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mizigo aina ya Scania katika iliyotokea katika eneo la Mkumbara wilayani Korogwe.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.