“….pamoja na mengineyo ibara hiyo inaelekeza kwamba, vyombo vyenye mamlaka vya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Mahakama ya …“….pamoja na mengineyo ibara hiyo inaelekeza kwamba, vyombo vyenye mamlaka vya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Mahakama ya …

“….pamoja na mengineyo ibara hiyo inaelekeza kwamba, vyombo vyenye mamlaka vya kutekeleza utoaji haki vitakuwa ni Mahakama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na kwa ajili hiyo ibara ya 107A (1) ya katiba inaelekeza kwamba mamlaka yenye kauli ya mwisho ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa ni Mahakama…..”-Jaji Mkuu wa Tanzania – George Masaju.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *