#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Kenya William Ruto, amesema Serikali inatumia teknolojia katika utoaji huduma ili kupambana na rushwa, huku Tume ya Kupambana na Ufisadi Kenya ikisema inaaminika kuwa nchi hiyo hupoteza takriban shilingi bilioni 2 kila siku kwa ufisadi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.