@kongamoyo_band wameapa kukuongoza kuanza kunyoosha weekend yako Ijumaa ya leo hapa #Sentro @cloudstv ili kufungua milango ya faraja na kuongeza nafasi ya kuitumikia mipango yako ya weekend.
Njoo na popcorn tu ladha zipo huku kuanzia saa 1930 usiku.
@clouds 26
#Nyoosha!