#HABARI: Mamia ya abiria wanaosafiri kati ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Dar es Salaam wamekwama katika Daraja la Kikavu kufuatia ajali ya malori mawili yaliyogongana uso kwa uso katikati ya daraja hilo. Tukio hilo limesababisha kufungwa kabisa kwa barabara hiyo kuu, huku magari yakishindwa kupita upande wowote na kusababisha msongamano mkubwa wa magari ya abiria na yale ya mizigo yaliyokuwa yakielekea pande tofauti.

‎Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *