‎#HABARI: Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati sintofahamu iliyojitokeza kufuatia agizo la serikali la kuondoa ofisi ndogo za Makampuni ya mabasi katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha.

‎TABOA imesema agizo hilo limeleta changamoto kwa wamiliki wa mabasi, kwa kuwa miundombinu ya stendi iliyopo kwa sasa haina nafasi ya kutosha kuhifadhi magari hayo.

‎Kilio hicho kimetolewa kufuatia tamko la serikali linalotaka ofisi ndogo za baadhi ya kampuni za mabasi zilizopo katika maeneo ya Mianzini, Stendi na Meliani, Makazi Mapya, ziondolewe ili kudhibiti msongamano wa magari katikati ya jiji.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *