#DAKIKA45: “Kwenye hizi Bodaboda, Bajaji ni kweli wanaingilia utaratibu wa Daladala wengine wanavunja sheria, bali tunaona ni usafiri muhimu mjini tunachotakiwa ni kuuboresha, kwanza watii sheria, hivi ninavyozungumza kwa Mwaka 2024/2025 kwenye Bajaji tumetoa leseni kama Elfu 23, Bodaboda Elfu 53 jumla kama kama Elfu 76” CPA Dkt.Habibu Suluo – Mkurugenzi Mkuu LATRA.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania