#KUMEKUCHA”….shida tuliyonayo sisi Tanzania ni kwamba viwanda hatunavyo vingi na kwa kuona hali hiyo sisi kama chama kikuu cha ushirika cha TANECU tumethubutu kupitia maelekezo ya Mheshimiwa Rais….kwamba ifikapo 2030 kuhakikisha tunakuwa na viwanda vingi vya kubangua korosho hapa nchini….tayari tumekwisha jenga kiwanda kimoja ambacho kinaweza kubangua tani 3500 kwa mwaka….”Juma Lamlani – Mjumbe wa Bodi TANECU LTD

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *