#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu wakazi wa Mbinga kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya haramu ya dawa za kulevya.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa, SACP Marco Chilya, amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Hashim Japhary, Zidadu Mbawala, na Justine Salufu, ambao walikamatwa wakiwa na kete 420 za dawa za kulevya pamoja na kilo tisa za bangi.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *