#HABARI: Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 31523 ya mwaka 2024, inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, pamoja na mwenzake Rweyemamu Rwezaura John, imeendelea leo katika Mahakama ya Kisutu.

Katika kesi hiyo, shahidi wa kumi na tatu ameeleza Mahakamani jinsi alivyotapeliwa na kampuni hiyo kiasi cha shilingi Milioni 14 alichowekeza mwaka 2021, akiahidiwa kupata shilingi milioni 48 baada ya mwaka mmoja, ahadi ambayo haikutimizwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *