‎#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zainab Abdallah (@zainababdallah) amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuendelea kuchukua hatua stahiki kwa Viongozi na Watumishi Wazembe na wasio na utayari wa kulitumikia Taifa akisema kuna Viongozi na Watumishi wasiolitakia mema Taifa wanaihujumu Serikali.

‎Zainab ametoa kauli hiyo, wakati akichangia mjadala unaohusu hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13.


‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *